Lini Tanzania ilibadili msimamo wake kuhusu Israel?

Hiki ni tatizo kwake( Mzee Mohamed) na baadhi ya Waislam...! Wao Kila kinachofanywa na Mwarabu ni kizuri! Hmmbonankuna Waislam weusi huko Sudan wanajmchinjwa na Janjaweed wamekaa kimyaaaa!

Yani kama hawaoni kinachoendelea sudani wanafiki hawa.
 
Paschal, umeliweka vizuri sana hili. Uko Ukraine hakuna watu wanaokufa? Zitto na huyu mzee mbona wako kimya? Vilevile sijawahi kuwasikia wakitoa tamko la kulaani mauwaji ya Wayaudi million 6 wakati wa vita ya 2 ya dunia, lakini utawasikia wanalaani mauwaji yaliyofanywa na Crusaders mamia ya miaka iliyopita. Kwao wao Muislam akiguswa it is a story na kulalamika kwa Sana, lakini wanayoyafanya boko haramu, janja weed, alshababu na makundi kama hayo hutokaa uwasikie kabisa!!!

Huyu mzee na genge lake ni wapuuzi sana na wanafiki,waisalmu wa aina hii ni hovyo kabisa.
 
Ndugu zangu,

Lini Tanzania ilibadili msimamo wake?

Zitto Kabwe Mbunge wa Kigoma Mjini na Mwenyekiti wa ACT Wazalendo ni kijana hodari mwenye kujua kuchagua maneno yake vyema.

Hapo chini ameandika masikitiko yake kuhusu Tanzania kukataa kupiga kura kulaani mauaji ya Waislam Myanmar.

Katika maandishi yake neno, ''Waislam,'' halipo.

Lakini dunia nzima inajua kuwa wanaouliwa Myanmar ni Waislam si suala la kuuliwa ''wananchi.''

Iwe itakavyokuwa Zitto Kabwe kaeleza masikitiko yake ili Watanzania wajue nini kimetokea.

Kwa sera ya Tanzania kuhusu msimamo wake wa kusimamia haki duniani kote kitendo hiki ni mabadiliko makubwa sana katika msimamo huo uliowafikisha Watanzania kupigana Msumbiji bega kwa bega na Frelimo na kutoa misaada kote kulikokuwa na dhulma sawa na kauli ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere aliposema, ''Tunataka kuwasha mwenge uangaze kote na kuleta matumaini kule watu walikokata tamaa.''

Hii sera mpya ya kushindwa kulaani mauaji ya Waislam wanaouliwa Myanmar huenda ikawa ni sera mpya ambayo kwa sasa ndiyo inaongoza Tanzania na uhusiano wake na mataifa mengine.

Ndiyo kusema kuwa sasa Tanzania haijali tena dhulma bali inaongozwa na maslahi yake mengine ambayo kwa bahati mbaya kwa sasa hayajakuwa bayana.

Tanzania ilianza na kurejesha uhusiano na Israel uliovunjwa na Baba wa Taifa mwenyewe nusu karne iliyopita.

Leo Tanzania imeridhia kutopiga kura kwenye mauaji ya kimbari ya Waislam wa Mynmar.

Wachunguzi wa siasa wanasubiri kutazama nini lingine litafuatia.

Labda hilo litatoa mwanga zaidi kuonyesha nchi yetu imesimama upande gani na kwa nini.

Ingekuwa ni kura ya East Timor na wanaouliwa ni Wakatoliki Tanzania ingekaa pembeni ikaacha kupiga kura?

Jibu unalo wewe ndugu msomaji wangu.

Maandamano ya kuwaunga mkono Wapalestina yamezuiwa yasifanyike na kiongozi wake Sheikh Issa Ponda, Katibu wa Shura ya Maimamu Tanzania amekamatwa.

Ndugu zangu iwe iwavyo.

Kweli Tanzania ni ya kuwazuia wananchi kufanya maandamano ya amani kuwaunga mkono Wapalestina?

Nitaweka hapa historia ya Wapalestina na Tanganyika kuanzia miaka ya 1940 hadi uhuru unapatikana na msimamo wa Nyerere katika kuwaunga mkono Wapalestina.

Umma unasubiri.

Siasa zinabadilika kulingana na utawala wa nchi uliopo madarakani.

Serikali ya JPM iliona kuna haja ya kupanua zaidi uhusiano na Israel kwa manufaa ya nchi ni kama vile UAE, Morocco walipoamua kufufua ushirikiano na Israel (Abram Accords) japo suala la Wapalestina bado hawajaliacha.
 
Yanayotkea Sudan wako kimyaa
Mohamed Said huwasiki wakifungua mdomo

Ova
Mrangi,
Kuna mtu kaniandikia kama wewe kuhusu Sudan.

Sina taarifa nyingi kuhusu yanayotokea Sudan na nikamwandikia maneno hayo hapo chini:

Msiba mkubwa sana.

Nimefika Sudan na nimetembea kwa barabara kutoka Khartoum hadi Jazeera ambako Mahdi alianza kampeni yake na Ansar dhidi ya Waingereza.

Jazeera ni Central Sudan.

Nimeishuhudia historia ya Sudan kwa macho Omdurman na kusali Masjid Kabir Khartoum ambako kuna darsa zisizo idadi kila siku.

Wasudani wanaishi Uislam.

Nimeingia Sudan wiki chache baada ya mapinduzi ya Omar Bashir nchi ikiwa katika "curfew," bado lakini haikuwa shida nilikuwa mgeni maalum na nilipitishwa VIP uwanja wa ndege.

Mara yangu ya kwanza maishani mwangu.

Nakueleza haya upate picha kuwa niliingiliana vyema na ndugu zangu hawa.

Niliwashuhudia Wasudani katika harakati zao.

Nimewaona Ansar na Ikhwani.
Vita hivi vinasikitisha.

Umeweka hayo.
Lakini sijui ulikoyapata.

Inahitaji ithbati kwani huenda ikawa ni propaganda za maadui wa Uislam.

Ili kutoa hukumu Uislam unataka pande zote mbili zisikilizwe.

Sudan ndiyo nchi iliyokuwa haina ukimwi duniani.
 
Heshima yako Mzee Mohamed Said🙏
Naomba kuuliza machache japo nitakuwa nimetoka kidogo nje ya mada:

1. "Tunataka kuwasha mwenge uangaze kote na kuleta matumaini kule watu walikokata tamaa", alisema Nyerere au alimnukuu Forojo Ganze?

2. Ni kweli kuwa mwasisi wa mwenge Tanzania ni Forojo Ganze?

3. Inasemekana Forojo Ganze alikuwa mchawi. Ikiwa ni kweli, kuukimbiza mwenge haitakuwa ni aina fulani ya ushirikina?

4. Mwenge umeweza kuleta matumaini kwa waliokata tamaa?

5. Tunaweza kupata faida gani na hasara gani kama nchi na mtu mmoja mmoja endapo mbio za mwenge zitasitishwa?

Nataraji kupata ufafanuzi.

Asante🙏
 
Mnataka huruma ya dunia kwa mambo mnayochokoza watu nyie wenyewe..? Mfanye makosa waislam afu Tanzania ihangaikie watu waliochokoza. Tanzania sio kwa ajili ya kueneza dini yeyote ile.
 
Siasa zinabadilika kulingana na utawala wa nchi uliopo madarakani.

Serikali ya JPM iliona kuna haja ya kupanua zaidi uhusiano na Israel kwa manufaa ya nchi ni kama vile UAE, Morocco walipoamua kufufua ushirikiano na Israel (Abram Accords) japo suala la Wapalestina bado hawajaliacha.
Mimi nashangaa sana hii dini wanataka kupangia hili taifa wapi pakuweka ushirika. Hii nchi ki yetu sote na haitatumika kidini eti kisa palestina na israel wana mgogoro na sisi tuweke mgogoro na mmoja wao..? Hiki kituko sasa.
 
Heshima yako Mzee Mohamed Said🙏
Naomba kuuliza machache japo nitakuwa nimetoka kidogo nje ya mada:

1. "Tunataka kuwasha mwenge uangaze kote na kuleta matumaini kule watu walikokata tamaa", alisema Nyerere au alimnukuu Forojo Ganze?

2. Ni kweli kuwa mwasisi wa mwenge Tanzania ni Forojo Ganze?

3. Inasemekana Forojo Ganze alikuwa mchawi. Ikiwa ni kweli, kuukimbiza mwenge haitakuwa ni aina fulani ya ushirikina?

4. Mwenge umeweza kuleta matumaini kwa waliokata tamaa?

5. Tunaweza kupata faida gani na hasara gani kama nchi na mtu mmoja mmoja endapo mbio za mwenge zitasitishwa?

Nataraji kupata ufafanuzi.

Asante🙏
Gold...
Sijui lolote kuhusu Forojo Ganze.
 
Ndugu zangu,

Lini Tanzania ilibadili msimamo wake?

Zitto Kabwe Mbunge wa Kigoma Mjini na Mwenyekiti wa ACT Wazalendo ni kijana hodari mwenye kujua kuchagua maneno yake vyema.

Hapo chini ameandika masikitiko yake kuhusu Tanzania kukataa kupiga kura kulaani mauaji ya Waislam Myanmar.

Katika maandishi yake neno, ''Waislam,'' halipo.

Lakini dunia nzima inajua kuwa wanaouliwa Myanmar ni Waislam si suala la kuuliwa ''wananchi.''

Iwe itakavyokuwa Zitto Kabwe kaeleza masikitiko yake ili Watanzania wajue nini kimetokea.

Kwa sera ya Tanzania kuhusu msimamo wake wa kusimamia haki duniani kote kitendo hiki ni mabadiliko makubwa sana katika msimamo huo uliowafikisha Watanzania kupigana Msumbiji bega kwa bega na Frelimo na kutoa misaada kote kulikokuwa na dhulma sawa na kauli ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere aliposema, ''Tunataka kuwasha mwenge uangaze kote na kuleta matumaini kule watu walikokata tamaa.''

Hii sera mpya ya kushindwa kulaani mauaji ya Waislam wanaouliwa Myanmar huenda ikawa ni sera mpya ambayo kwa sasa ndiyo inaongoza Tanzania na uhusiano wake na mataifa mengine.

Ndiyo kusema kuwa sasa Tanzania haijali tena dhulma bali inaongozwa na maslahi yake mengine ambayo kwa bahati mbaya kwa sasa hayajakuwa bayana.

Tanzania ilianza na kurejesha uhusiano na Israel uliovunjwa na Baba wa Taifa mwenyewe nusu karne iliyopita.

Leo Tanzania imeridhia kutopiga kura kwenye mauaji ya kimbari ya Waislam wa Mynmar.

Wachunguzi wa siasa wanasubiri kutazama nini lingine litafuatia.

Labda hilo litatoa mwanga zaidi kuonyesha nchi yetu imesimama upande gani na kwa nini.

Ingekuwa ni kura ya East Timor na wanaouliwa ni Wakatoliki Tanzania ingekaa pembeni ikaacha kupiga kura?

Jibu unalo wewe ndugu msomaji wangu.

Maandamano ya kuwaunga mkono Wapalestina yamezuiwa yasifanyike na kiongozi wake Sheikh Issa Ponda, Katibu wa Shura ya Maimamu Tanzania amekamatwa.

Ndugu zangu iwe iwavyo.

Kweli Tanzania ni ya kuwazuia wananchi kufanya maandamano ya amani kuwaunga mkono Wapalestina?

Nitaweka hapa historia ya Wapalestina na Tanganyika kuanzia miaka ya 1940 hadi uhuru unapatikana na msimamo wa Nyerere katika kuwaunga mkono Wapalestina.

Umma unasubiri.

Kwanini huzungumzii yanayotokea Sudan wababntu wenzetu wanavyouwawa na Janjaweed (Waarabu)!
 
Nitaweka hapa historia ya Wapalestina na Tanganyika kuanzia miaka ya 1940 hadi uhuru unapatikana na msimamo wa Nyerere katika kuwaunga mkono Wapalestina.
Kwenye hiyo historia usisahau kubainisha kuwa askari Wapalestina walimsaidia nduli Iddi Amin Dada kupigana na majeshi ya Tanzania kule Uganda
 
Anti...
Ikiwa hilo ni kweli kwa ushahidi vipi litakatalika?
 
Ndugu zangu,

Lini Tanzania ilibadili msimamo wake?

Zitto Kabwe Mbunge wa Kigoma Mjini na Mwenyekiti wa ACT Wazalendo ni kijana hodari mwenye kujua kuchagua maneno yake vyema.

Hapo chini ameandika masikitiko yake kuhusu Tanzania kukataa kupiga kura kulaani mauaji ya Waislam Myanmar.

Katika maandishi yake neno, ''Waislam,'' halipo.

Lakini dunia nzima inajua kuwa wanaouliwa Myanmar ni Waislam si suala la kuuliwa ''wananchi.''

Iwe itakavyokuwa Zitto Kabwe kaeleza masikitiko yake ili Watanzania wajue nini kimetokea.

Kwa sera ya Tanzania kuhusu msimamo wake wa kusimamia haki duniani kote kitendo hiki ni mabadiliko makubwa sana katika msimamo huo uliowafikisha Watanzania kupigana Msumbiji bega kwa bega na Frelimo na kutoa misaada kote kulikokuwa na dhulma sawa na kauli ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere aliposema, ''Tunataka kuwasha mwenge uangaze kote na kuleta matumaini kule watu walikokata tamaa.''

Hii sera mpya ya kushindwa kulaani mauaji ya Waislam wanaouliwa Myanmar huenda ikawa ni sera mpya ambayo kwa sasa ndiyo inaongoza Tanzania na uhusiano wake na mataifa mengine.

Ndiyo kusema kuwa sasa Tanzania haijali tena dhulma bali inaongozwa na maslahi yake mengine ambayo kwa bahati mbaya kwa sasa hayajakuwa bayana.

Tanzania ilianza na kurejesha uhusiano na Israel uliovunjwa na Baba wa Taifa mwenyewe nusu karne iliyopita.

Leo Tanzania imeridhia kutopiga kura kwenye mauaji ya kimbari ya Waislam wa Mynmar.

Wachunguzi wa siasa wanasubiri kutazama nini lingine litafuatia.

Labda hilo litatoa mwanga zaidi kuonyesha nchi yetu imesimama upande gani na kwa nini.

Ingekuwa ni kura ya East Timor na wanaouliwa ni Wakatoliki Tanzania ingekaa pembeni ikaacha kupiga kura?

Jibu unalo wewe ndugu msomaji wangu.

Maandamano ya kuwaunga mkono Wapalestina yamezuiwa yasifanyike na kiongozi wake Sheikh Issa Ponda, Katibu wa Shura ya Maimamu Tanzania amekamatwa.

Ndugu zangu iwe iwavyo.

Kweli Tanzania ni ya kuwazuia wananchi kufanya maandamano ya amani kuwaunga mkono Wapalestina?

Nitaweka hapa historia ya Wapalestina na Tanganyika kuanzia miaka ya 1940 hadi uhuru unapatikana na msimamo wa Nyerere katika kuwaunga mkono Wapalestina.

Umma unasubiri.

Mzee Mohamed Said
Nini maoni yako juu ya hawa waislamu Boko Haram walioteka watoto wadogo wa kike na kuwashikilia msituni kwa miaka kadhaa sasa?
👇
Je, wasichana wa Boko Haram bado wamepotea?

Miaka tisa baada ya Boko Haram kuwateka nyara wanafunzi 276 kutoka shule ya wasichana huko Chibok, wasichana 98 bado wanashikiliwa na Boko Haram na mauaji ya utekaji nyara yamefanyika tangu wakati huo, na kufichua kushindwa kabisa kwa mamlaka ya Nigeria kujifunza kutoka kwa moyo wa Chibok. na, hatimaye, kulinda watoto, Amnesty ...14 Apr 2023
 
Mrangi,
Kuna mtu kaniandikia kama wewe kuhusu Sudan.

Sina taarifa nyingi kuhusu yanayotokea Sudan na nikamwandikia maneno hayo hapo chini:

Msiba mkubwa sana.

Nimefika Sudan na nimetembea kwa barabara kutoka Khartoum hadi Jazeera ambako Mahdi alianza kampeni yake na Ansar dhidi ya Waingereza.

Jazeera ni Central Sudan.

Nimeishuhudia historia ya Sudan kwa macho Omdurman na kusali Masjid Kabir Khartoum ambako kuna darsa zisizo idadi kila siku.

Wasudani wanaishi Uislam.

Nimeingia Sudan wiki chache baada ya mapinduzi ya Omar Bashir nchi ikiwa katika "curfew," bado lakini haikuwa shida nilikuwa mgeni maalum na nilipitishwa VIP uwanja wa ndege.

Mara yangu ya kwanza maishani mwangu.

Nakueleza haya upate picha kuwa niliingiliana vyema na ndugu zangu hawa.

Niliwashuhudia Wasudani katika harakati zao.

Nimewaona Ansar na Ikhwani.
Vita hivi vinasikitisha.

Umeweka hayo.
Lakini sijui ulikoyapata.

Inahitaji ithbati kwani huenda ikawa ni propaganda za maadui wa Uislam.

Ili kutoa hukumu Uislam unataka pande zote mbili zisikilizwe.

Sudan ndiyo nchi iliyokuwa haina ukimwi duniani.
HAKUNA MTU ANAEMJUA MZEE SAIDI KAMA MIMI KIJANA WAKE NELSON.
TATIZO LA MZEE WANGU NI MOJA TU.
UDINI NA KUTOKUA MKWELI
WAMEMUULIZA KUHUSU SWALA LA WAISLAMU WAARABU WA JANJAWED WANAOUA WAISLAMU WABANTU HUKO NORTHEN DARFUR NA AMEKWEPA KULIJIBU
 
Mrangi,
Kuna mtu kaniandikia kama wewe kuhusu Sudan.

Sina taarifa nyingi kuhusu yanayotokea Sudan na nikamwandikia maneno hayo hapo chini:

Msiba mkubwa sana.

Nimefika Sudan na nimetembea kwa barabara kutoka Khartoum hadi Jazeera ambako Mahdi alianza kampeni yake na Ansar dhidi ya Waingereza.

Jazeera ni Central Sudan.

Nimeishuhudia historia ya Sudan kwa macho Omdurman na kusali Masjid Kabir Khartoum ambako kuna darsa zisizo idadi kila siku.

Wasudani wanaishi Uislam.

Nimeingia Sudan wiki chache baada ya mapinduzi ya Omar Bashir nchi ikiwa katika "curfew," bado lakini haikuwa shida nilikuwa mgeni maalum na nilipitishwa VIP uwanja wa ndege.

Mara yangu ya kwanza maishani mwangu.

Nakueleza haya upate picha kuwa niliingiliana vyema na ndugu zangu hawa.

Niliwashuhudia Wasudani katika harakati zao.

Nimewaona Ansar na Ikhwani.
Vita hivi vinasikitisha.

Umeweka hayo.
Lakini sijui ulikoyapata.

Inahitaji ithbati kwani huenda ikawa ni propaganda za maadui wa Uislam.

Ili kutoa hukumu Uislam unataka pande zote mbili zisikilizwe.

Sudan ndiyo nchi iliyokuwa haina ukimwi duniani.
VIPI KUHUSU WAARABU WALIOKUA WANAUA WABANTU HUKO DARFUR NA BLUE NILE NA JUBA LAND??
 
Back
Top Bottom