Lini Tanzania ilibadili msimamo wake kuhusu Israel?

Ndugu zangu,

Lini Tanzania ilibadili msimamo wake?

Zitto Kabwe Mbunge wa Kigoma Mjini na Mwenyekiti wa ACT Wazalendo ni kijana hodari mwenye kujua kuchagua maneno yake vyema.

Hapo chini ameandika masikitiko yake kuhusu Tanzania kukataa kupiga kura kulaani mauaji ya Waislam Myanmar.

Katika maandishi yake neno, ''Waislam,'' halipo.

Lakini dunia nzima inajua kuwa wanaouliwa Myanmar ni Waislam si suala la kuuliwa ''wananchi.''

Iwe itakavyokuwa Zitto Kabwe kaeleza masikitiko yake ili Watanzania wajue nini kimetokea.

Kwa sera ya Tanzania kuhusu msimamo wake wa kusimamia haki duniani kote kitendo hiki ni mabadiliko makubwa sana katika msimamo huo uliowafikisha Watanzania kupigana Msumbiji bega kwa bega na Frelimo na kutoa misaada kote kulikokuwa na dhulma sawa na kauli ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere aliposema, ''Tunataka kuwasha mwenge uangaze kote na kuleta matumaini kule watu walikokata tamaa.''

Hii sera mpya ya kushindwa kulaani mauaji ya Waislam wanaouliwa Myanmar huenda ikawa ni sera mpya ambayo kwa sasa ndiyo inaongoza Tanzania na uhusiano wake na mataifa mengine.

Ndiyo kusema kuwa sasa Tanzania haijali tena dhulma bali inaongozwa na maslahi yake mengine ambayo kwa bahati mbaya kwa sasa hayajakuwa bayana.

Tanzania ilianza na kurejesha uhusiano na Israel uliovunjwa na Baba wa Taifa mwenyewe nusu karne iliyopita.

Leo Tanzania imeridhia kutopiga kura kwenye mauaji ya kimbari ya Waislam wa Mynmar.

Wachunguzi wa siasa wanasubiri kutazama nini lingine litafuatia.

Labda hilo litatoa mwanga zaidi kuonyesha nchi yetu imesimama upande gani na kwa nini.

Ingekuwa ni kura ya East Timor na wanaouliwa ni Wakatoliki Tanzania ingekaa pembeni ikaacha kupiga kura?

Jibu unalo wewe ndugu msomaji wangu.

Maandamano ya kuwaunga mkono Wapalestina yamezuiwa yasifanyike na kiongozi wake Sheikh Issa Ponda, Katibu wa Shura ya Maimamu Tanzania amekamatwa.

Ndugu zangu iwe iwavyo.

Kweli Tanzania ni ya kuwazuia wananchi kufanya maandamano ya amani kuwaunga mkono Wapalestina?

Nitaweka hapa historia ya Wapalestina na Tanganyika kuanzia miaka ya 1940 hadi uhuru unapatikana na msimamo wa Nyerere katika kuwaunga mkono Wapalestina.

Umma unasubiri.

Kwani ni nvhi gani nyingine za Africa zimepiga kura julaani? Hebu ziorodheshe hapa kwanza ili mjadala uchemke!
 
Hatutaku kuchanganya dini na sissa hapa! Halafu wewe unekurupukia nchi za mbali wakati hapa jirani tu DRC watu wanauliwa kila siku umekaa kimya kama kalumekenge, huko Sudan Kusini hivyo hivyo lakini eewe upo kimya kama kalumekenge
 
Ni vile sio muislamu, so huwezi kuelewa

Palestine 🇵🇸 will be free in shaa Allah
 
Ni vile sio muislamu, so huwezi kuelewa

Palestine [emoji1193] will be free in shaa Allah

Uislamu ni nyumbani kwako, siyo hapa. Kwani hao watu wa DRC hapo jirani Congo siyo ndugu zako hadi unarukia huko kusikotuhusu? Dini kale nyumbani kwako kama ni chakula, kila mtu ana imani yake!
 
Ndugu zangu,

Lini Tanzania ilibadili msimamo wake?

Zitto Kabwe Mbunge wa Kigoma Mjini na Mwenyekiti wa ACT Wazalendo ni kijana hodari mwenye kujua kuchagua maneno yake vyema.

Hapo chini ameandika masikitiko yake kuhusu Tanzania kukataa kupiga kura kulaani mauaji ya Waislam Myanmar.

Katika maandishi yake neno, ''Waislam,'' halipo.

Lakini dunia nzima inajua kuwa wanaouliwa Myanmar ni Waislam si suala la kuuliwa ''wananchi.''

Iwe itakavyokuwa Zitto Kabwe kaeleza masikitiko yake ili Watanzania wajue nini kimetokea.

Kwa sera ya Tanzania kuhusu msimamo wake wa kusimamia haki duniani kote kitendo hiki ni mabadiliko makubwa sana katika msimamo huo uliowafikisha Watanzania kupigana Msumbiji bega kwa bega na Frelimo na kutoa misaada kote kulikokuwa na dhulma sawa na kauli ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere aliposema, ''Tunataka kuwasha mwenge uangaze kote na kuleta matumaini kule watu walikokata tamaa.''

Hii sera mpya ya kushindwa kulaani mauaji ya Waislam wanaouliwa Myanmar huenda ikawa ni sera mpya ambayo kwa sasa ndiyo inaongoza Tanzania na uhusiano wake na mataifa mengine.

Ndiyo kusema kuwa sasa Tanzania haijali tena dhulma bali inaongozwa na maslahi yake mengine ambayo kwa bahati mbaya kwa sasa hayajakuwa bayana.

Tanzania ilianza na kurejesha uhusiano na Israel uliovunjwa na Baba wa Taifa mwenyewe nusu karne iliyopita.

Leo Tanzania imeridhia kutopiga kura kwenye mauaji ya kimbari ya Waislam wa Mynmar.

Wachunguzi wa siasa wanasubiri kutazama nini lingine litafuatia.

Labda hilo litatoa mwanga zaidi kuonyesha nchi yetu imesimama upande gani na kwa nini.

Ingekuwa ni kura ya East Timor na wanaouliwa ni Wakatoliki Tanzania ingekaa pembeni ikaacha kupiga kura?

Jibu unalo wewe ndugu msomaji wangu.

Maandamano ya kuwaunga mkono Wapalestina yamezuiwa yasifanyike na kiongozi wake Sheikh Issa Ponda, Katibu wa Shura ya Maimamu Tanzania amekamatwa.

Ndugu zangu iwe iwavyo.

Kweli Tanzania ni ya kuwazuia wananchi kufanya maandamano ya amani kuwaunga mkono Wapalestina?

Nitaweka hapa historia ya Wapalestina na Tanganyika kuanzia miaka ya 1940 hadi uhuru unapatikana na msimamo wa Nyerere katika kuwaunga mkono Wapalestina.

Umma unasubiri.

Mzee wangu umekaa kidini sana.
Waza kwanza wale wanaokufa Burundi, Kongo, Sudan, nk. ambao ni majirani zeti
 
Unaonaje hayo maandamano yakaanza na kushinikiza kuachiwa kwa mateka wanaoshikiliwa na hamasi akiwemo mtanzania mwenzetu na mpaka saivi hatujui alipo au walipo!

Ukiandamana peke yako inatosha, wengine hayatuhusu,,, nitakua mpumbavu nishinikize maandamano kwa ajili ya mtanzania kwanza hatujui ametekwa na nani,

Mh rais, nakuomba uruhusu maandamano ya amani kwa ajili ya ndugu zetu wapalestina.
 
HAKUNA MTU ANAEMJUA MZEE SAIDI KAMA MIMI KIJANA WAKE NELSON.
TATIZO LA MZEE WANGU NI MOJA TU.
UDINI NA KUTOKUA MKWELI
WAMEMUULIZA KUHUSU SWALA LA WAISLAMU WAARABU WA JANJAWED WANAOUA WAISLAMU WABANTU HUKO NORTHEN DARFUR NA AMEKWEPA KULIJIBU
Nelson...
Nimekwepa kujibu au hukumpendezewa na jibu langu?
 
Aende akapiganie hiyo dini . Ubaguzi wa kidini hautamsaidia bahati mbaya unaye muita mpenda haki kazi yake ni kuvuruga vyama vya siasa pinzani. Ndio maana anazeeka mwili kuliko miaka yake
 
Omu...
Ubaguzi wa dini Tanzania somo hili linakuhitajia wewe ili kujadili uwe na ujuzi mkubwa wa historia ya Tanzania inayokwenda nyuma takriban miaka 100.

Huyu unaejadilinae ameandika vitabu vitatu ambavyo tatizo hili limo.

Labda nikuulize endapo umemsoma Bergen (1981), Sivalon (1992) na Njozi (2002).

Vitabu hivi ni muhimu kupita kiasi katika somo la udini.

Muhimu ni kuwa waandishi wote hawa hakuna aliyeonyesha kuwa Waislam wana nguvu za maamuzi katika serikali kuweza kuwabagua waumini wa dini nyingine.
 
Hivi hapa duniani waislamu pekee yake wakutetewa wakiuliwa? Mbona wayahudi 1400 wameuawa na Hamas sijaona malalamiko ya zito kabwe na waislamu,mbona wakurdi wameawa na waturuki na mauaji ya warmenia na uturuki hatujaona malalamiko,waukraine wanaendelea kuuawa na urusi zaidi tunaona waislamu wanamshangilia Putin,tunaona alshababu,bokoharamu wanavyouawa wakristo,waislamu,wapagani hatuoni malalamiko yenu kwa haya makundi ya kigaidi

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Angejibu hii hoja Kwanza .
 
Mrangi,
Kuna mtu kaniandikia kama wewe kuhusu Sudan.

Sina taarifa nyingi kuhusu yanayotokea Sudan na nikamwandikia maneno hayo hapo chini:

Msiba mkubwa sana.

Nimefika Sudan na nimetembea kwa barabara kutoka Khartoum hadi Jazeera ambako Mahdi alianza kampeni yake na Ansar dhidi ya Waingereza.

Jazeera ni Central Sudan.

Nimeishuhudia historia ya Sudan kwa macho Omdurman na kusali Masjid Kabir Khartoum ambako kuna darsa zisizo idadi kila siku.

Wasudani wanaishi Uislam.

Nimeingia Sudan wiki chache baada ya mapinduzi ya Omar Bashir nchi ikiwa katika "curfew," bado lakini haikuwa shida nilikuwa mgeni maalum na nilipitishwa VIP uwanja wa ndege.

Mara yangu ya kwanza maishani mwangu.

Nakueleza haya upate picha kuwa niliingiliana vyema na ndugu zangu hawa.

Niliwashuhudia Wasudani katika harakati zao.

Nimewaona Ansar na Ikhwani.
Vita hivi vinasikitisha.

Umeweka hayo.
Lakini sijui ulikoyapata.

Inahitaji ithbati kwani huenda ikawa ni propaganda za maadui wa Uislam.

Ili kutoa hukumu Uislam unataka pande zote mbili zisikilizwe.

Sudan ndiyo nchi iliyokuwa haina ukimwi duniani.
Hili ni tatizo kubwa kwa waislamu
Ubaya wanaoutenda wenzao unapotajwa huwa wanakuja na neno ni propaganda za maadui wa uislamu.
Uislamu umejengeka katika misingi ya chuki, ukorofi, ukatili na lawama
Hulalamika kuonewa ili wawe huru kutenda chuki na ukorofi wao.
 
Omu...
Ubaguzi wa dini Tanzania somo hili linakuhitajia wewe ili kujadili uwe na ujuzi mkubwa wa historia ya Tanzania inayokwenda nyuma takriban miaka 100.

Huyu unaejadilinae ameandika vitabu vitatu ambavyo tatizo hili limo.

Labda nikuulize endapo umemsoma Bergen (1981), Sivalon (1992) na Njozi (2002).

Vitabu hivi ni muhimu kupita kiasi katika somo la udini.

Muhimu ni kuwa waandishi wote hawa hakuna aliyeonyesha kuwa Waislam wana nguvu za maamuzi katika serikali kuweza kuwabagua waumini wa dini nyingine.
Mzee wangu, mwandishi nafahamu umeandika vitabu na huwa nafauatilia makala zako za uhuru na historia iliyofichwa na nazipenda makala lakini kwa hili nikuukize swali moja kama lizakisha jingine sawa.
Nimesoma elimu ya msingi na kuendelea na wewe vivyo hivyo.
Swali. Niambie nikipindi gani darasani tulibaguliwa kwa udini aidha kulingana na maeneo tuliyotoka au kwa majina ambapo ilipelekea waislamu wasifundishwe vipindi au masomo fulani na ikapelekea kufeli na wasiendelee? Iwe shule ya msingi, sekondari au chuo?
 
Back
Top Bottom