Lini Tanzania ilibadili msimamo wake kuhusu Israel?


Kwani ni nvhi gani nyingine za Africa zimepiga kura julaani? Hebu ziorodheshe hapa kwanza ili mjadala uchemke!
 

Hatutaku kuchanganya dini na sissa hapa! Halafu wewe unekurupukia nchi za mbali wakati hapa jirani tu DRC watu wanauliwa kila siku umekaa kimya kama kalumekenge, huko Sudan Kusini hivyo hivyo lakini eewe upo kimya kama kalumekenge
 
Hatutaku kuchanganya dini na sissa hapa! Halafu wewe unekurupukia nchi za mbali wakati hapa jirani tu DRC watu wanauliwa kila siku umekaa kimya kama kalumekenge, huko Sudan Kusini hivyo hivyo lakini eewe upo kimya kama kalumekenge

Ni vile sio muislamu, so huwezi kuelewa

Palestine 🇵🇸 will be free in shaa Allah
 
Ni vile sio muislamu, so huwezi kuelewa

Palestine [emoji1193] will be free in shaa Allah

Uislamu ni nyumbani kwako, siyo hapa. Kwani hao watu wa DRC hapo jirani Congo siyo ndugu zako hadi unarukia huko kusikotuhusu? Dini kale nyumbani kwako kama ni chakula, kila mtu ana imani yake!
 
Mzee wangu umekaa kidini sana.
Waza kwanza wale wanaokufa Burundi, Kongo, Sudan, nk. ambao ni majirani zeti
 
Unaonaje hayo maandamano yakaanza na kushinikiza kuachiwa kwa mateka wanaoshikiliwa na hamasi akiwemo mtanzania mwenzetu na mpaka saivi hatujui alipo au walipo!

Ukiandamana peke yako inatosha, wengine hayatuhusu,,, nitakua mpumbavu nishinikize maandamano kwa ajili ya mtanzania kwanza hatujui ametekwa na nani,

Mh rais, nakuomba uruhusu maandamano ya amani kwa ajili ya ndugu zetu wapalestina.
 
HAKUNA MTU ANAEMJUA MZEE SAIDI KAMA MIMI KIJANA WAKE NELSON.
TATIZO LA MZEE WANGU NI MOJA TU.
UDINI NA KUTOKUA MKWELI
WAMEMUULIZA KUHUSU SWALA LA WAISLAMU WAARABU WA JANJAWED WANAOUA WAISLAMU WABANTU HUKO NORTHEN DARFUR NA AMEKWEPA KULIJIBU
Nelson...
Nimekwepa kujibu au hukumpendezewa na jibu langu?
 
Aende akapiganie hiyo dini . Ubaguzi wa kidini hautamsaidia bahati mbaya unaye muita mpenda haki kazi yake ni kuvuruga vyama vya siasa pinzani. Ndio maana anazeeka mwili kuliko miaka yake
 
Aende akapiganie hiyo dini . Ubaguzi wa kidini hautamsaidia bahati mbaya unaye muita mpenda haki kazi yake ni kuvuruga vyama vya siasa pinzani. Ndio maana anazeeka mwili kuliko miaka yake
Omu...
Ubaguzi wa dini Tanzania somo hili linakuhitajia wewe ili kujadili uwe na ujuzi mkubwa wa historia ya Tanzania inayokwenda nyuma takriban miaka 100.

Huyu unaejadilinae ameandika vitabu vitatu ambavyo tatizo hili limo.

Labda nikuulize endapo umemsoma Bergen (1981), Sivalon (1992) na Njozi (2002).

Vitabu hivi ni muhimu kupita kiasi katika somo la udini.

Muhimu ni kuwa waandishi wote hawa hakuna aliyeonyesha kuwa Waislam wana nguvu za maamuzi katika serikali kuweza kuwabagua waumini wa dini nyingine.
 
Angejibu hii hoja Kwanza .
 
Hili ni tatizo kubwa kwa waislamu
Ubaya wanaoutenda wenzao unapotajwa huwa wanakuja na neno ni propaganda za maadui wa uislamu.
Uislamu umejengeka katika misingi ya chuki, ukorofi, ukatili na lawama
Hulalamika kuonewa ili wawe huru kutenda chuki na ukorofi wao.
 
Mzee wangu, mwandishi nafahamu umeandika vitabu na huwa nafauatilia makala zako za uhuru na historia iliyofichwa na nazipenda makala lakini kwa hili nikuukize swali moja kama lizakisha jingine sawa.
Nimesoma elimu ya msingi na kuendelea na wewe vivyo hivyo.
Swali. Niambie nikipindi gani darasani tulibaguliwa kwa udini aidha kulingana na maeneo tuliyotoka au kwa majina ambapo ilipelekea waislamu wasifundishwe vipindi au masomo fulani na ikapelekea kufeli na wasiendelee? Iwe shule ya msingi, sekondari au chuo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…