Lini Tanzania ilibadili msimamo wake kuhusu Israel?

Omu...
Sijapata kusikia hilo.
 
Hiki ni tatizo kwake( Mzee Mohamed) na baadhi ya Waislam...! Wao Kila kinachofanywa na Mwarabu ni kizuri! Hmmbonankuna Waislam weusi huko Sudan wanajmchinjwa na Janjaweed wamekaa kimyaaaa!
Wanaona fahari Mwarabu akimegewa Bandari zetu kama Peremende.
 
Hicho kijikofia alichovaa balozi ni alama ya uyahudi
tangu lini balozi wetu ni myahudi?
 
Nelson...
Nimekujibu lakini kuna jibu ulilotegemea kutoka kwangu hukulipata.
Hapana sikukuuliza mm hilo swali mzee wangu.
Bali nilikuuliza mbona hujajibu ulichoulizwa kuhusu mauaji ya wabantu north darfur na Blue Nile,,,,wanaouliwa na waarabu wa janjaweed.
Na ukakimbilia kusimulia historia ya Mahid movement.
Au waislamu waafrika wa Sudan kwako hawana thamani ya uhai kama waislamu waarab wa Palestine ????
 
Nelson...
Samahani kama nimekosea kukupa jibu wewe.

Kukimbilia: "kukimbilia," historia ya Mahdi.

Labda unifafanulie mtu anakimbilia vipi?
 
Nelson...
Samahani kama nimekosea kukupa jibu wewe.

Kukimbilia: "kukimbilia," historia ya Mahdi.

Labda unifafanulie mtu anakimbilia vipi?
Tutaongea kesho mzee wangu.
Nipo naandika makala mbili zipitie uzisome.
RISASI SIO SULUHISHO NA MZOZO KATI YA FDRL NA RPF KIMBUKUMBU ZANGU
 
Nelson...
Inabidi umjue unaejadiliananae kwanza ndiyo ufanye mjadala.

Mimi nimesoma elimu ya mjadala na nimefundushwa miko yake.

Siwezi kutumia kalamu yangu kuunga mkono dhulma.

Haya ndiyo mafunzo niliyopitia.

Ukishikilia habari za Dafur kutafuta undani wangu utakuwa unapoteza muda wako.

Niulize maswali yenye maana nikujibu ukumbi ufaidike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…