Lini Tanzania ilibadili msimamo wake kuhusu Israel?

Najua mzee wangu kwa kua janjaweed ni waarabu waislamu basi huwezi kuwajadili.
But Jews you can.
 
Nelson...
Tunaweza kujadili.
Waislamu wa afrikia hawawezi kukemea matendo ya al shabab na boko haram na janja weed kwa sababu washirika wanaopata madhara sio waarabu.
Wao sio ndugu zao ,,ila waarabu wa palestina tu ndio ndugu zao.
NB: ARABIZATION WITHIN ISLAM FAITHER.
 
Waislamu wa afrikia hawawezi kukemea matendo ya al shabab na boko haram na janja weed kwa sababu washirika wanaopata madhara sio waarabu.
Wao sio ndugu zao ,,ila waarabu wa palestina tu ndio ndugu zao.
NB: ARABIZATION WITHIN ISLAM FAITHER.
Nelson...
Mimi si msemaji wa Waislam wa Afrika siwezi kuwasemea.
 
Nelson...
Mimi si msemaji wa Waislam wa Afrika siwezi kuwasemea.
Kwa hiyo wewe mzee Mohamed Said na Sheikh wako Issa Ponda ni wasemaji wa Waarabu ndiyo maana mnataka kuanzisha maandano ya kuwasemea Wapalestina?
 

1. Ngorongoro Masai wamehamishiwa msomera bila utaratibu,ingekuwa na tija na ingempendeza Mungu wetu kusimama na hawa watu na kukemea vitu vya namna hiyo sababu ni dhambi.

2. Mahusiano na muumba wako ni issue personal, jitahidi kuwa mwema na kueneza mema (maneno na matendo)..hauwezi kumuokoa mtu mbaya kwa kivuli cha taasisi yake,kila mtu atahukumiwa mwenyewe, dunia inaenda kushuhudia mabadiliko makubwa sana ya kiimani hapa karibuni, kila mtu atabebwa na uthabiti wake kiimani (maneno na matendo yake binafsi, sio taasisi).

3. Tanzania inatuhusu sana kipindi hiki,tuna report ya CAG,katiba,tume huru ya uchaguzi,maji,umeme,elimu,mafuriko nk..tukiweka nguvu zetu hapa na mengi ya namna hii yanayotuhusu tutafika mbali, dini zote zibaki kutuelimisha mema na mabaya na tubebe mema,mengine tuyaache! Binafsi sijawahi sikia Agenda inayomuhusu mtu mweusi kimaendeleo tokea kwa Mzungu au Mwarabu, tunajitenya na kucheka wenyewe kama mazuzu wao wanatuona manyani tu, inasikitisha saaaaana!
 
Kwani Tanzania tuna msimamo wowote kuhusu siasa za kimataifa siku hizi? Tumekuwa waoga wa kusimamia tunachoamini. Tumekuwa kama popo.
 
Maandamano yalikuwa hayana maana wakati vijana wetu walishikiliwa na HAMAS na kuuliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…