Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Kwa wanaume wanatafuta wake au wenza wa kudumu tatizo huwa ni mwanamke kuwa na wanaume wapenzi wengi kabla ya ndoa au aina ya wanaume aliokuwa nao kama wapenzi wake?
Mimi naona kama mwanamke alikuwa na wapenzi wengi wakiwa maarufu au watu wa hadi hata akazaa nao sidhani kama hunyanyapaliwa kama mwanamke aliyekuwa na wapenzi wawili tu choka lakini mbaya mfano bodaboda na muuza bucha, ndio maana wanaume na vijana wengi humtamani sana Hamisa Mobeto au mashangazi wenye pesa pamoja na kuwa na utitiri wa wapenzi.
Nafikiri mwanamke wapenzi wake waliopita wakiwa ni viongozi wakubwa, matajiri na celebrities hata wawe wengi vipi vijana hawana shida sana wala hatachukuliwa amechakazwa na kuchoshwa na wala hawatahitaji story za bikira masikini.