Lipi ni tatizo hadi wanaume kunyanyapaa wanawake waliowahi kuwa na wapenzi wengi awali?

Lipi ni tatizo hadi wanaume kunyanyapaa wanawake waliowahi kuwa na wapenzi wengi awali?

Hakuna tatizo bali ni sheria tu kama ilivyo kwenye ununuzi wa magari 0 km inabei nzuri kuzidi 1000 km.
 
Ni saikolojia ya kimaumbile tu. Mwanaume ana mentality ya kutaka umiliki kwaiyo anapendelea cha peke ake.

Ni kama tu hypergamy nature ya wanawake. Kupendelea mwanaume mwenye hela na mali wakati na wao wamepewa access zote za kutafuta hivyo vitu.

Hakuna logical explanation, ni nature tu mkuu. Sometimes nature haipo fair lakini ndio haiwezekani ku-argue au ku-negotiate nayo, bali ni kufuata tu matakwa yake ili uwe salama
 
Sasa unakuta Mwanamke age go hana mtoto na wala hajawahi kuolewa
Kwanini usimuulize Maswali
 
Back
Top Bottom