Ni saikolojia ya kimaumbile tu. Mwanaume ana mentality ya kutaka umiliki kwaiyo anapendelea cha peke ake.
Ni kama tu hypergamy nature ya wanawake. Kupendelea mwanaume mwenye hela na mali wakati na wao wamepewa access zote za kutafuta hivyo vitu.
Hakuna logical explanation, ni nature tu mkuu. Sometimes nature haipo fair lakini ndio haiwezekani ku-argue au ku-negotiate nayo, bali ni kufuata tu matakwa yake ili uwe salama