Ndiyo inawezekana. Kama mtu tinayeambiwa ni mwanasheroa nguli naye anaogopa sasa wengine itakuwaje. Nini maana ya kusoma sheria kama we ni mwoga unakuja kubweka tu kwenye majukwaa?Nimekuuliza swali, hivi Tanzania hii unaweza kumshataki mtoto wa rais polis au takukuru wakaja kumkamata?
Sasa kama mpaka wanasheri wanamuogopa Abdul je wasiosoma sheria. Sasa nani aondoe hizi impurities au woga kama siyo wasomi. Hivi lisu alifika hata chuo kweliKuna polisi wa kumkamata Abdul hivi sasa??
Umesahau R1 enzi zake alikuwa anawanasa vibao polisi pale airport alipokuwa akitaka mzigo wake wa ngada upandishwe ndege?
Angalia sasa umesababisha mpk nimemkumbuka Masogange.
Sheria gani ambazo hata viongozi wa CCM akiwemo makonda na waziri Slaa anasema majudge ni wala rushwa. Tena hayo yanasemwa na viongozi wa CCM wenyewe sasa kama mhimili wa kusimamia sheria na kutoa haki hata viongozi wa serikali ya CCM hawauamini, kwanini Lissu anapaswa kuuamini?Ndiyo inawezekana. Kama mtu tinayeambiwa ni mwanasheroa nguli naye anaogopa sasa wengine itakuwaje. Nini maana ya kusoma sheria kama we ni mwoga unakuja kubweka tu kwenye majukwaa?
Mbona Mtikila aliwezakuishtaki serikali several times na alishinda kesi nyingi tu. The only problem ni kwamba wasomi wa sheria wameshakufa tumebaki na wababaishaji kama akina lisuSheria gani ambazo hata viongozi wa CCM akiwemo makonda na waziri Slaa anasema majudge ni wala rushwa. Tena hayo yanasemwa na viongozi wa CCM wenyewe sasa kama mhimili wa kusimamia sheria na kutoa haki hata viongozi wa serikali ya CCM hawauamini, kwanini Lissu anapaswa kuuamini?
Hajamuogopa. Kamtimua na tusi juu....shenziSasa kama mpaka wanasheri wanamuogopa Abdul je wasiosoma sheria. Sasa nani aondoe hizi impurities au woga kama siyo wasomi. Hivi lisu alifika hata chuo kweli
Tutakuwa na uhakika gani kama aliukataa mgaoSioni kama analazimika kwenda kutoa ripoti Polisi! Kule kukataa kupokea rushwa amezuia Rushwa kutendeka!
Vipi angekuwa wewe ungeacha huo mgao?
Ushahidi kama kamtimua uko wapiHajamuogopa. Kamtimua na tusi juu....shenzi
Ushahidi kama kamtimua uko wapiHajamuogopa. Kamtimua na tusi juu....shenzi
Ni zama zile, na hatukuwahi kusikia kiongozi yeyote wa serikali kama waziri akisema kuwa hana imani na mifumo ya kutoa haki. Sasa zama hizi hadi kiongozi wa chama tawala anasema kuwa ukidhulumiwa usiende mahakamaninkumejaa wala rushwa tafuta haki yako kivingine. Mwingine waziri anasema kwua mahakimu wanashirikiana na watu kutotenda haki. Sasa kwanini Lissu aamini vyombo hivyo ambavyo hata wana CCM wenye vyeo vikubwa hawaviamini zama hizi.Mbona Mtikila aliwezakuishtaki serikali several times na alishinda kesi nyingi tu. The only problem ni kwamba wasomi wa sheria wameshakufa tumebaki na wababaishaji kama akina lisu
Popote mashtaka mtu aweza peleka ila aweke ushahidi Sio kuwa unaposhtaki Kwa wananchi hutakiwi kuweka ushahidi.
..anaweza kushtaki Polisi.
..anaweza kushtaki kwa wananchi.
..hajavunja sheria yoyote ile.
Angalia hiyo video hapo. Mpk alimtusi ......shenzi!!Ushahidi kama kamtimua uko wapi
Yule aliyempa ajiandae kutoa ripoti Polisi sasa ijulikane kama alimpa Lissu rushwa!Tutakuwa na uhakika gani kama aliukataa mgao
Basi wajiuzuru siasa maama kila kitu wao ni waoga. Sasa kwa nini wanaendelea kizurula, wanatafuta nini. Micango auHata uwe lawyer kama mfumo wa utoaji haki ni corrupt ina maana haufuati sheria wala ushahidi hauwezi kufanya kazi. Vitu vinafanya kazi kama mfumo uko sawa kama hauko sawa hauwezi kufanya kazi kila kitu kitafail. Ni sawa uwe daktari mzuri ila hakuna vifaa tiba.
Na hizo tuhuma za kua mfumo wa kusimamia na kutoa haki uko corrupt, hatujasikia akitoka kiongozi wa huo mfumo kuwapinga au wao kufukuzwa kwa kusema uongo. Hivyo ni kuwa wanakubali kuwa mfumo uko corrupt. Sasa kama serikali ya CCM haiamini mifumo yake kwanini mpinznai auamini?
Sasa kama.hajui sheri kwa nini anawaaminisha watu kuwa ni mwanasheriaYule aliyempa ajiandae kutoa ripoti Polisi sasa ijulikane kama alimpa Lissu rushwa!
Maana katika kesi ya Rushwa lazima aliyetoa na aliyepokea wote wakiri kuwa walifanya hivyo! Mmoja akikataa hapo hakuna kesi.
Kwa hiyo hata Lissu angeenda kuripoti Polisi kama aliyempa rushwa atakataa hapo hakuna kesi.
Mjanja tu huyo angeweza mtukana tukana tusi lolote sababu ni Abdul asoyejulikana hakumfafanua ni Abdul Gani shenzi typeAngalia hiyo video hapo. Mpk alimtusi ......shenzi!!
Mtu ambaye alipigwa risasi na bado anaweza simama jukwaani kumsema rais na mtoto wake hadharani si kama wanaojificha nyuma ya keyboard unamwita muoga? Waoga ni wale keyboard warriors.Basi wajiuzuru siasa maama kila kitu wao ni waoga. Sasa kwa nini wanaendelea kizurula, wanatafuta nini. Micango au
Mpokeaji akitoa ushahidi kuwa alitaka kuhongwa mtoaji anakomaliwa .Lisu atoke ushahidi hadharani wa huyo Abdul kutaka kumhonga na amfafanue vizuri ni Abdul yupi.Yeye ndie atoe ushirikiano kama kweli hapendi rushwaYule aliyempa ajiandae kutoa ripoti Polisi sasa ijulikane kama alimpa Lissu rushwa!
Maana katika kesi ya Rushwa lazima aliyetoa na aliyepokea wote wakiri kuwa walifanya hivyo! Mmoja akikataa hapo hakuna kesi.
Kwa hiyo hata Lissu angeenda kuripoti Polisi kama aliyempa rushwa atakataa hapo hakuna kesi.