Uchaguzi 2020 Lissu adai kucheleweshwa KIA makusudi na TCAA

Unajua maana ya kupigwa miti?

Embu anzia kupiga wa hapo kwenu.. ukinaliza nenda kachukue kitambulisho cha 20K ufanye biashara.. ukimaliza uje unambie umepiga miti wangapi.. hata magogo wapige nayo woteeeee... awamu hii na tano tena hakuna vya kiwa wezi na kujaa wizi.. mali za Umma ni kwa sisi Wananchi..

💚💛💚💛💚
 
Woté hawana akili union wataja ni wajinga n'a wangese hawana la kufanya
 
Kwanini hamkuoversee hii possibility,,?,ndo maana nasemaga hamjawa tayari kuongoza,hii ilitakiwa muione kabla na muweke plan B,C,D
plan B ulitaka wakuambie wewe?
kawasubiri Kawe Leo wanafunga kampeni. Ndio utajua kama ilikuepo au làa
 
Ikitokea Lissu akawa Rais hao wakurugenzi wa hizi taasisi wataendelea na kazi zao au ndio basi tena nao wataondoka na chama wanachokisaidia? Watende haki tu
 
Ikitokea Lissu akawa Rais hao wakurugenzi wa hizi taasisi wataendelea na kazi zao au ndio basi tena nao wataondoka na chama wanachokisaidia? Watende haki tu
Amesema atabadili tume na kuunda ya haki na usawa, watendaji hawana shida ni maagizo.Na nchi ikishakuwa ya maagizo hakuna nchi hapo bali ni kikundi cha dhuluma.
 
Mamlaka ya anga inamuandalia majibu mazuri ya hoja zake.

Unashindwa kuheshimu mamlaka ukiwa mgombea, ukipewa nchi utaiongozaje kama kiburi kinakupa upofu wa nafsi?!!
 

Tatizo ni HILA wanazomfanyia ktk kumpatia approval ya kuruka. Kila hatua serikali na vyombo vyake lazima wamemuwekee Tundu Lissu vizingiti. WHY? Lissu siyo mtu wa kiburi. Ni mtu mmoja poa sana, anayependa kusaidia watu, na mwenye heshima na mnyenyekevu Ukimjua Lissu utashangaa alivyo na heshima na adabu kwa watu wote.
 
Acha kulalama Lissu, tabia hii haikujengi bali inaonyesha namna unavyotaka kuhurumiwa kila wakati. Maisha hayako hivyo, PAMBANA NA HALI YAKO. TCAA wamekunyima kibali, so what, hawa unaowandikia watakusaidiaje au unatafuta huruma tu!?
 
Lisu anataka helikopta ianguke asingizie CCM kuwa ndio waliiruhusu helikopta wakijua haki ya hewa Dar mbaya

Hadi mida hii naandika hali ya hewa dar mbaya mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…