Uchaguzi 2020 Lissu adai kucheleweshwa KIA makusudi na TCAA

Haujui TCRA wataminya mtandao hata hiyo unayosema haitawezekana.
 

Kuna changamoto kule Kongo na Rwanda .
Wakuu wote wa idara waliweka watu wa makabila yao . Sasa figisu zinakua ni za kikabila kwa mgongo wa serikali.
 
Kwa ujinga wako unadhani helicopter inategemea kuongozwa kutoka ardhini? Halafu wewe ni nani mpaka povu linakutoka mkunduni?
 
Hivi ukiwa ccm lazima uunge mkono dhilma? Johnthebaptist mlokole wewe unaweza kuishia mbingu ya lumumba tuu
 
Kwa ujinga wako unadhani helicopter inategemea kuongozwa kutoka ardhini? Halafu wewe ni nani mpaka povu linakutoka mkunduni?
Naona hasira zimekupanda, keshokutwa ndio utakuwa mwekundu kabisa
 
Kuna flight level huhitaji control tower.
 
mimi nipo Dar muda huu hali ya hewa ni shwari. acheni uzushi
 
..I know.

..lakini mimi hii helikopta sikuipenda toka mwanzo.

..sema kufungiwa kampeni wiki moja kulilazimisha matumizi ya helikopta.

..anyway, leo kampeni zinahitimishwa, hivyo tuombee USHINDI.
Amina
 
Idara za serikali hata kama zinatumika na CCM ziache uzembe usiokuwa na sababu za msingi kuepusha maafa, msisubiri mpaka mtu alalamike ndio mchukue hatua, timizeni wajibu wenu.

Wakitimiza wajibu wao wanaondoka madarakani.

Kwa sasa CCM bila hila na wizi wa kura, vitisho na kuua hawashindi uchaguzi.

CCM haijajiandaa kuachia madaraka na hili ni tishio kwa amani ya nchi hii.
 
Sheria zipi???
kwahiyo unafikiri ukiwa na chopper unajirushia muda wowote unaotaka?😄
hali ya hewa ukanda huu wa pwani leo umeiona?angeweza hata kupanda ndege za kawaida ili awahi ratiba zake,hamna haja ya kulazimisha mambo.
 
Lissu amesharuka yuko njiani
Haina shida ila hali ya hewa Dar mbaya tena mno mvua imeisha ila yaweza shuka muda wowote mawingu yamefunga hasa

Lukitokea LA kutokea kama kalazimisha TCAA wasilaumiwe
 

mm nadhan ungekua mkweli wala izo chopper usingetumia, kwa sababu sio kipaumbele chako, unapinga alafu unakua mshabiki, tutakufundisha kazi kwenye kura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…