Uchaguzi 2020 Lissu adai kucheleweshwa KIA makusudi na TCAA

mimi nipo Dar muda huu hali ya hewa ni shwari. acheni uzushi
Uongo Mimi.pia Niko Dar Gongo LA mboto mvua imesimama hainyeshi ila kuna wingu LA mvua LA kufa MTU dakika yeyote mvua inashuka
 
Mbona naona upo maghetoni umejifungia.
 
Once a mistake, twice a habit

Ni wafuasi wa CDM ndio wanaweza amini uongo wa Lissu. Kuna rubani anaweza ingia angani bila ya kuwa na mawasiliano.

Yaani rubani arushe ndege bila ya mamlaka ya anga labda kama anataka kufutiwa leseni yake.

Hakuna cha kucheleweshwa na mamlaka ya anga wala nini alikuwa anavuta upepo kama watu wamejaa kwanza uwanjani ndio aamue aende au aukache mkutano.

Sijui yukoje huyu mtu yaani anawadharau kweli wafuasi wa CDM mtu ana uongo wa kishamba kweli halafu unakuta mijitu inatetea tu.
 
Kwa nini asitume boda boda imletee hayao mafuta kwenye dumu la maji ajazie huko alikokuwa kisha aondoke bila kupita KIA?
 
Kwa kuaanza ku over see kila possibility ya kukwamisha huwezi kufanya kampaini, kumzuia lissu kutofika Dar kwenye mkutano huo wahamisho kwa vikwanzo vya TCAA ni faida kubwa kwake katika kampeini kuliko kuhudhuria hicho kikao
Atafika Dar wapende wasipende!
 
Uongo Mimi.pia Niko Dar Gongo LA mboto mvua imesimama hainyeshi ila kuna wingu LA mvua LA kufa MTU dakika yeyote mvua inashuka
Unabishana na jamaa aliyepo Machame huyo, chadema kwa akili hizi ndio wa kuongoza Jamhuri ya Tanzania hawa...
 
Na kila kampeni zake ni mane o ya kuonewa huruma. Kwann haishi kulalamika kuonewa kwa kila jambo?

Wamwambie aongee aache kulia lia. Na i atakuwa Urais ili hali ni dhaifu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…