Uchaguzi 2020 Lissu adai kucheleweshwa KIA makusudi na TCAA

Msitegemee kutawala nchi katu. Mnataka kuhalalisha ushoga. Nendeni huko kwenye nchi walohalisha ushoga mkale bata

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Pumbafu
 
Hizi figisu Lisu alishazisema kwamba zipo njama za kumzuia asifunge kampeni dar Kama ambavyo wa ccm ameenda kufungia kwenye uzinduzi wa msikiti
 
Pole sana Lissu! Nimeweka tetesi hapa ya kitu hiki wamefuta, sijui kama hii itakaa
Mods siku hizi wana bore. Mpaka wakati mwingine naanzisha mijiuzi kibao kuwafanya wasome mpk wakome. Maana unaanzisha uzi eti subiri kwanza upitiwe. Baada ya mda hola.
 
Chopa sio sawa na ndege zingine bila v coordinate unafika popote tu kwa kutumia gps na visibility ya chini unaruka chinichini tu
sasa ukikutana na fog si utapiga mlima mkuu alafu afe muilaumu ccm na leo hali ya hewa ni mvua
 
Halu ya hewa Dar umeiona ? Imechafuka .Niko Dar kuna mvua na upepo mkali.Huo mkutano wataufanya kwenye ukumbi au?
Mkoa wa Pwani hali ni Muruwaa atatua huko halafu achukue mwendo kasi
See kundi na kundi na moja hakuna mvua
 
Huko aliko lala usidhani alikuwa fofofo. Think broadly
 
Kwanini hamkuoversee hii possibility,,?,ndo maana nasemaga hamjawa tayari kuongoza,hii ilitakiwa muione kabla na muweke plan B,C,D
Eti anasema wataruka bila kibali, labda aiendeshe yeye mwenyewe. Kuna pilot bwege wa aina hiyo angani? Kama ulivyosema, anajieleza eti ni kawaida ya TCAA, yaani mtu anayetafuta urais hawezi kuikwepa kawaida!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…