Uchaguzi 2020 Lissu adai kucheleweshwa KIA makusudi na TCAA

Tumeuzwa nakuambia. I used to trust this JF sio sasa hivi. Huyu max yupo tu kama picha
 
Mimi niko Geita nimejiandaa vilivyo ni Molotov Cocktails na zingine tumegawana na Vijana wa ActWazalendo

Kesho njano kijani
Inameremeta nchi nzima.. πŸ’šπŸ’šπŸ’›πŸ’›πŸ’šπŸ’š
 
Hivi kwann hapendi kutii sheria bila shuruti

Sheria ya kuzuia kuruka kuja kwenye mkutano wake hiyo ni sheria au ni hujuma hivi wewe unaweza kitii hujuma za mpinzani wako. Acha hizo bwana kuna sheria gani ya kutii hapo ndo amekuja sasa tuone itakuwaje na kesho anachaguliwa
 
Sasa kibali hajapewa analazimisha kuruka,muhimu jeshi liwe makini akilazisha kurusha ipopolewe tu na kombora.
 
Unategemea nini, watu wanapewa kazi kindugu hakuna ueledi kabisa.

..wengine siyo ndugu, wako kwenye hizo nafasi on merit.

..tatizo mfumo wetu unalinda watu wa hovyo-hovyo badala ya kulinda watu waadilifu.
 

Kuandika haya yote..wewe umeweka nondo gani humo.. viongozi wamemaliza yote.. leo watu burudani tu.. kesho πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’š. Hasira za kubanwa kutodokoa zimekujaaa.. on ulivyo.. nina miaka 90 juwa vizuri.. pokea πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰... ati umenisoma hujaumia niliyoandika halafu ukaandika yote hayo.. 🀣🀣🀣🀣πŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³

Coco the Coco
Nipo na nazidi kupaaaaaaaa.. lia tu..
Maneno yangu humu.. hauwezi kujizuia kuyasoma...

Kachukue za 20K ufanye biashara..

πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’š
 
Huko aliko lala usidhani alikuwa fofofo. Think broadly

..I know.

..lakini mimi hii helikopta sikuipenda toka mwanzo.

..sema kufungiwa kampeni wiki moja kulilazimisha matumizi ya helikopta.

..anyway, leo kampeni zinahitimishwa, hivyo tuombee USHINDI.
 
Pascal Mayalla
Bia yetu
Etii wakuu nini tatizo hapo KIA
 
You fly without approved flight plan ? Utaongozwa na nani angani ? Ndege ya kwako au ya nani? bila approved flight plan, unasafiri bila insurance ya hiyo ndege. Na hata ukimaliza mkutano wako ndege inaenda nyumabani kwako? How can you fly in total violation of airspace rules? How Lissu hicho kiburi nikupitiliza, labda wajinga wachache sana watakubali uamuzi huo. Wenye akili wanawezaje kuunga mkono that mad decision ?.

UMEPEWA LESENI YA KURUKA WEWE, UNATU CHEMSHA VICHWA KUTENGENEZA CHUKI NA SERIKALI.

I hold valid private pilot licence.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…