Ahmad Abdurahman
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 3,251
- 6,299
Lissu ni wa kupuzwa. Ni mjinga tu asoejiewa. **** siku alosema tz inyimwe msaada ili raia tufe chadema iingie ikulu. Sikuelewa mpaka kesho.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍Lissu ni wa kupuzwa. Ni mjinga tu asoejiewa. **** siku alosema tz inyimwe msaada ili raia tufe chadema iingie ikulu. Sikuelewa mpaka kesho.
Alitaka kumuua lissu yuko futi sita chini ya ardhiHuyu bwana lissu ashukuru kukimbilia kwa mabeberu,angekuwa singida sasa hivi angekuwa anaokota makopo,anachokiongea Wala hakieleweki.
ZZK ndonani?Kila siku nawaambia TL hana quality za kuwa Rais hata kidogo....taarifa za JF ndio taarifa alizonazo kifupi he is not well informed, nakumbuka issue ya mlinzi wa Marehemu JPM tena mbele ya international media anaongea tango poli....kipindi cha kampenin ametema waste nyingi sana binafsi nilimdharau sana..
inanikumbusha Dr Slaa vs Riz na madawa China, Bomba la gas Mt to Dubai chini ya bahari eti gas inaibiwa nilicheka sana na kumuona Dr kituko kabisa aisee...dah hawa ndio wanasiasa wanaotaka tuingie barabarani....ZZK anaweza kuwa mwanasiasa mzuri kuliko mwanasiasa yeyote interm of IQ nk...
Kaka, majitu huwa hayaelewi mambo...maza hana mamlaka ya utawakla wa nchi .Mbona hili lilikuwepo hadharani kabla ya Lissu kutia neno? Hanga ya KUDEMKA 😂😂 View attachment 1932457
Nchi ipo na typically agenda to be addressed wewe Rais unatumwa kwenda kupiga picha na twiga kweli??Lissu ni wa kupuzwa. Ni mjinga tu asoejiewa. **** siku alosema tz inyimwe msaada ili raia tufe chadema iingie ikulu. Sikuelewa mpaka kesho.
Kama wao Ccm wanakutanika na wapinzani wamewekewa vigingi na vyombo vya dola na vya maamuzi. Unataka wafanyeJe ?!Eti halafu nyinyi ndio mpewe nchi muongoze??? Badala ya kushughulika na vitu vya maana mnaendekeza umbea tu.
Nyinyi endeleeni kupiga soga huku CCM inajipanga na mikutano ya mpaka kwenye matawi huko. Mkija mkishtuka ni July 2025, mnachezea kichapo tena ikifika October 2025 mnaanza kujazana ujinga wa muandamane.
Ama kweli CCM itaendelea kutawala for more years to come.
Viva CCM viva Mama Samia Suluhu Hassan.
Huu mjadala umekuzidi kimo dogoo [emoji23][emoji23]Kuna hoja gani hapo zaidi porojo za bwabwa lenu liuso?
Lissu amekinza au amezuia maoni ya nani ?Uhuru wa kutoa maoni Kama ilivyoainishwa na katiba
Wanarukaruka sana mwishowe wanaanguka......Eti halafu nyinyi ndio mpewe nchi muongoze??? Badala ya kushughulika na vitu vya maana mnaendekeza umbea tu.
Nyinyi endeleeni kupiga soga huku CCM inajipanga na mikutano ya mpaka kwenye matawi huko. Mkija mkishtuka ni July 2025, mnachezea kichapo tena ikifika October 2025 mnaanza kujazana ujinga wa muandamane.
Ama kweli CCM itaendelea kutawala for more years to come.
Viva CCM viva Mama Samia Suluhu Hassan.
Kuna rais wa Tanzania ambaye si mswahili ?!!Mswahili hawezi kuendesha nchi maana hana lugha ya moja kwa moja tofauti ni kubwa mno toka kwa Jpm kwenda kwa mama samia,Tulizoea kufanya kazi kwa lugha moja iwe nzuri au mbaya msimamo ulikuwepo ila kwa sasa kauli zina mashaka haziko wazi
Why unapoteza muda kufuatilia uzi wa chizi...nani ni chizi basi.Unaongelea huyu chizi na muongo wa kutupwa! Hakuna haja ya kupoteza muda na machizi na wachumia tumbo kama huyu na yule aliyeko Kanada aka Godcurse Mremavu
Schizophrenic...Huyu bwana lissu ashukuru kukimbilia kwa mabeberu,angekuwa singida sasa hivi angekuwa anaokota makopo,anachokiongea Wala hakieleweki.
Jibu unalo. Chizi ni wewe na Lissu. Tafadhali uliza swali na siyo jibu mwananguWhy unapoteza muda kufuatilia uzi wa chizi...nani ni chizi basi.
Chai hizi khaaa 😲😲😲🤣🤣🤣🤣🤣Hata kabla ya TAL, niliambiwa na afisa mkubwa wa wasiojulikana kuwa wao kwa sasa wanaripoti kwa Maajaliwa.
Kwa ujumla hanangaya, yupo ka alama tu lakini siyo kiutendaji.
Schizophrenic......Kama hawa ndio wagombea urais, hii nchi inaelekea pabaya.Hoja kama hii haitegemewi kutolewa na mtu mwenye akili timamu.So what?
Ha ha ha, ur struggling.....time!!Jibu unalo. Chizi ni wewe na Lissu
Sasa Lissu akiwa debe wewe si utakuwa kisoda? Wewe endelea kulia lia hapa tuu maana hata korido za lumumba huzijui, Lissu ana legacy nchi hii kwa aliyofanya so far.Lisu ni debe tupu yule!
Yani haya uliyosema ndio unaona lisu ni mtu wa maana?