Lissu afunguliwe mashtaka kwa kutoa taarifa za uongo

We bado ni mtoto sana!! Kati ktk tawala za kiraia hilo haliwezi tokea na ndo maana ktk katiba na utendaji kwa ujumla rank ya jeshi iko mbali sana!!
Asante kwa Mchango wako Lakin unaongea usiyoyajua
 
Kwahiyo unakubali kwamba alikuwa anakwambisha jitihada za serikali kulinda rasilimali madini

then he is a freak of nature

far from “debe tupu”

kama mtu mmoja anaweza kukwamisha jitihada zetu wooooote sisi milioni 60 kulinda rasilimali zetu then hatu deserve hizo mali… we are all a bunch of degenerate dunderheads!

mtu mmoja anawatikisa mpaka mnampiga risasi…. Kisa ? Kasema Waziri mpya mwenye dhamana ya Usalama wa Taifa kaoa binti wa Rais mpya Samia Suluhu!

Weak nation, weak leadership.
 
..kwa hiyo Mabeyo ndio asiyependa makongamano?

..Na Mabeyo ndiye aliyetupandishia kodi na tozo za miamala?

Hawa watoto wakionaga gwanda za Jeshi wanapatwa na nyege za ubongo!!

Kiongozi gani wa Afrika naweza thubutu huo upuuzi….

Hapa TZ CCM wenye nguvu na kuliko jeshi leo Mabeyo aongoze nchi hahahahaha!
 
Akiongea katika kipindi cha Maria Sarungi Space Jana akijibu maswali mbalimbali ya washiriki wa mjadala huo, Tundu Lissu ametoa taarifa serious kidogo kuhusu Rais na nchi yetu...

Kwamba, taarifa walizonazo kwa sasa ni kuwa "....Madam President Samia Suluhu Hassan is held hostage..." , kwamba si yeye anayeongoza nchi kwa sasa. Ameshauriwa yeye akae pembeni na swala la usalama wa nchi awaachie PM Majaliwa na waziri wa usalama, Mchengelewa washughulike nalo...
View attachment 1932324

MAONI YANGU:

Kama hii ni kweli, kikatiba imekaaje? Kama Rais huyu mama kakubali ushauri huu, atakuwa anajua kweli jukumu na wajibu wake kama Rais wa nchi...? Kwanini washauri wake wakuu wamefanya hivi..?

Kuna possibility kubwa hili linaweza kuwa la kweli kwa kuangalia viashiria fulani fulani...

Hebu chunguzeni ziara na matukio ambayo Rais Samia Suluhu anapangiwa kushiriki kwa takribani miezi miwili iliyopita....

Ni yale ya utoto utoto tu ambayo siyo level yake kuyafanya kwani yangeweza kufanywa na wasaidizi wake kama waziri wa sekta husika, RC au DC...

Inashangaza kuwa anajihusisha ktk mambo madogo madogo mno huku akiacha kuumiza akili kushughulika na maswala serious kama vile hali ngumu ya uchumi, tozo kandamizi, hali tete na mbaya ya kisiasa na mengine mengi yanayohusu nchi na wananchi ambayo kwa sasa yanaelea elea hewani tu bila mwongozo thabiti toka kwa Rais kiongozi makini wa nchi...

Angalia matukio anayoshiriki Rais; mfano Royal Tour, kushiriki tamasha la ngoma za kienyeji Magu Mwanza nk nk ni ya kupumbaza tu, yasiyo na positive impact yoyote katika maisha ya watu kwa ujumla. Nyuma ya matukio haya lipo lengo fulani baya nyuma ya pazia. THE TIME WILL TELL...

Naweza kuamini hili la Tundu Lissu kwa 99%...
Utamuamini Lissu kama Tanzania itashitakiwa na MIGA! Bila hivyo anatunga uongo kama alivyo zoea!
 
Inaonekana mmeumia sana baada ya ukweli huu kuwekwa hadharani ma Lissu.

Siku 100 alijaribu...ila baada ya speech yake tu ... wenye nchi yao wameichukua kabakia cerebrete president.
Mkuu Mimi ni raia Kama wewe, ila nimekuwa sipendezwi na taarifa Kama hizi.
 
Akiongea katika kipindi cha Maria Sarungi Space Jana akijibu maswali mbalimbali ya washiriki wa mjadala huo, Tundu Lissu ametoa taarifa serious kidogo kuhusu Rais na nchi yetu...

Kwamba, taarifa walizonazo kwa sasa ni kuwa "....Madam President Samia Suluhu Hassan is held hostage..." , kwamba si yeye anayeongoza nchi kwa sasa. Ameshauriwa yeye akae pembeni na swala la usalama wa nchi awaachie PM Majaliwa na waziri wa usalama, Mchengelewa washughulike nalo...
View attachment 1932324

MAONI YANGU:

Kama hii ni kweli, kikatiba imekaaje? Kama Rais huyu mama kakubali ushauri huu, atakuwa anajua kweli jukumu na wajibu wake kama Rais wa nchi...? Kwanini washauri wake wakuu wamefanya hivi..?

Kuna possibility kubwa hili linaweza kuwa la kweli kwa kuangalia viashiria fulani fulani...

Hebu chunguzeni ziara na matukio ambayo Rais Samia Suluhu anapangiwa kushiriki kwa takribani miezi miwili iliyopita....

Ni yale ya utoto utoto tu ambayo siyo level yake kuyafanya kwani yangeweza kufanywa na wasaidizi wake kama waziri wa sekta husika, RC au DC...

Inashangaza kuwa anajihusisha ktk mambo madogo madogo mno huku akiacha kuumiza akili kushughulika na maswala serious kama vile hali ngumu ya uchumi, tozo kandamizi, hali tete na mbaya ya kisiasa na mengine mengi yanayohusu nchi na wananchi ambayo kwa sasa yanaelea elea hewani tu bila mwongozo thabiti toka kwa Rais kiongozi makini wa nchi...

Angalia matukio anayoshiriki Rais; mfano Royal Tour, kushiriki tamasha la ngoma za kienyeji Magu Mwanza nk nk ni ya kupumbaza tu, yasiyo na positive impact yoyote katika maisha ya watu kwa ujumla. Nyuma ya matukio haya lipo lengo fulani baya nyuma ya pazia. THE TIME WILL TELL...

Naweza kuamini hili la Tundu Lissu kwa 99%...
Eti ngoma za jadi unadharau 😇😇😇 ndio maana cdm mmekoswa mvuto kabisa kanda ya ziwa
 
Nashauri serikali imfungulie mashtaka Wakili Msomi Tundu LISSU kwa kutoa taarifa za uongo na kusababisha taharuki kuwa Rais ametekwa/amewekwa mateka na Waziri Mkuu ndiye anaongoza nchi. Hata Kama yupo nje ya nchi anapaswa kuheshimu uhuru wa maoni. Mara nyingi akihojiwa na vyombo vya habari amekuwa akipotosha taarifa. Na hii si mara ya kwanza kutoa taarifa hizi. Hata wakati alipohojiwa na BBC alisema hili.

Wewe mwenyewe uliyeandika hapa ndiye Lissu, unataka kujua hisia za Watz humu ndani ya Jf kuhusu kauli yako kwamba Rais katekwa (anaendeshwa na watu wengine).

Tumeisha kushitukia, isipokuwa tuache tufanye upelelezi ili tuone kama hicho usemacho ni kweli kama sio kweli tutakuburuza mahakamani in absentia.
 
Hujui kitu chochote wewe. Hizi info ziko mitaani na hata mimi nimesikia kutoka kwa mtu credible sana. Wewe saizi yako ni hii thread za vijembe vya Chadema vs CCM. Habari nyeti kama hizi nina uhakika huwezi kuzijua.

Halafu anaonesha mtoto sana
 
Itakuwa jambo zuri sana. Tunausubiri wakati huo kwa hamu..

Lakini haitakuwa kwa sababu "mambo yamemshinda huko" bali itakuwa kwa sababu "wasiojulikana, watakuwa wamejulikana" na mmoja mmoja kulipa gharama ya uovu wake...

Mmoja ameshapata adhabu ya natural death....kafa. Ni mpanga mwovu mkuu, Mwendazake JPM, shina na mzizi. Haya yaliyobaki ni matawi tu. Yatakauka soon...!
Well said
 
Akiongea katika kipindi cha Maria Sarungi Space Jana akijibu maswali mbalimbali ya washiriki wa mjadala huo, Tundu Lissu ametoa taarifa serious kidogo kuhusu Rais na nchi yetu...

Kwamba, taarifa walizonazo kwa sasa ni kuwa "....Madam President Samia Suluhu Hassan is held hostage..." , kwamba si yeye anayeongoza nchi kwa sasa. Ameshauriwa yeye akae pembeni na swala la usalama wa nchi awaachie PM Majaliwa na waziri wa usalama, Mchengelewa washughulike nalo...
View attachment 1932324

MAONI YANGU:

Kama hii ni kweli, kikatiba imekaaje? Kama Rais huyu mama kakubali ushauri huu, atakuwa anajua kweli jukumu na wajibu wake kama Rais wa nchi...? Kwanini washauri wake wakuu wamefanya hivi..?

Kuna possibility kubwa hili linaweza kuwa la kweli kwa kuangalia viashiria fulani fulani...

Hebu chunguzeni ziara na matukio ambayo Rais Samia Suluhu anapangiwa kushiriki kwa takribani miezi miwili iliyopita....

Ni yale ya utoto utoto tu ambayo siyo level yake kuyafanya kwani yangeweza kufanywa na wasaidizi wake kama waziri wa sekta husika, RC au DC...

Inashangaza kuwa anajihusisha ktk mambo madogo madogo mno huku akiacha kuumiza akili kushughulika na maswala serious kama vile hali ngumu ya uchumi, tozo kandamizi, hali tete na mbaya ya kisiasa na mengine mengi yanayohusu nchi na wananchi ambayo kwa sasa yanaelea elea hewani tu bila mwongozo thabiti toka kwa Rais kiongozi makini wa nchi...

Angalia matukio anayoshiriki Rais; mfano Royal Tour, kushiriki tamasha la ngoma za kienyeji Magu Mwanza nk nk ni ya kupumbaza tu, yasiyo na positive impact yoyote katika maisha ya watu kwa ujumla. Nyuma ya matukio haya lipo lengo fulani baya nyuma ya pazia. THE TIME WILL TELL...

Naweza kuamini hili la Tundu Lissu kwa 99%...
Hayo chini ni maoni yako au ya tundu lisu?kama ni wewe basi utakuwa nzi mfuata kinyesi na mizoga
 
Braza Lissu kaniangusha kwa hili. Nilimuomba asubiri kidogo tu wikendi ipite awahabarisge umma. Ila nimemuelewa ni mihemko tu ya Uzalendo. Kuna very sensitive issue nataka nimsogezee huyu mzalendo kutoka jikoni. Kuna classified documents nilizifumania jikoni yani zikimfikia Lissu taifa litasimama. Nimeshawaandaa vijana wangu Rama na Frenki kufanikisha kila kitu
Dadadadadeki
 
Narudia tena , niliisema sehemu Anayeongoza nchi ni Mabeyo na Vyombo vya Usalama Mama akiwa kama kivuli ila Majaliwa na mchengelwa hawana wanalojua hapo LISSU naye kachemka!!! Nchi iko kwa Mabeyo kitambo sana

Britanicca
Mabeyo tena? Wala hana muda mrefu huyo 'anastaafu', yule aliyeteuliwa kuwa mnadhimu mkuu anachukuwa nafasi yake.
 
Back
Top Bottom