Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Kasema wao ndio wanatumiwa kama 'front men" wa hao watu wanaoongoza nchi,Kwa hiyo Mchengelwa na Majaliwa' ndio wanaongoza nchi? Ni upuuzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kasema wao ndio wanatumiwa kama 'front men" wa hao watu wanaoongoza nchi,Kwa hiyo Mchengelwa na Majaliwa' ndio wanaongoza nchi? Ni upuuzi.
Wana hasira sana na mama, hakuna kitu wataacha kuzusha. Hata kama sijui Majaliwa, sijui TISS, then so what? Majaliwa ni waziri mkuu, right hand man wa mkuu wa nchi. Mambo yote ya kiserikali anayotaka Rais yafanyike yatafanyika kupitia Majaliwa. Kikatiba. TISS ni intelligence gathering institution ya nchi. Hakuna kitu Rais wa nchi atafanya bila kupewa go ahead au kushauriwa na watu wa TISS.Kinachowatesa chadema sasa hivi ni kwamba walimsifia sana mama mwanzoni pale.
Awali mlisema anaongozwa na team jk, baada ya kuona amewawashia moto na wakati mlimsifia sana ndio mnaanza kusema ametekwa!
Kalete statement yangu popote nilipoandika neno 'Sukuma gang'na mama anaupiga mwingi" short of that utakuwa umekosa uteuzi tu unamaliza stress zako JFKwani huyu majaliwa si mlisema ni sukuma gang na mlisema mama anawakoemsha?
Rwehumbiza ni nani!?LISSU anatakiwa mambo mengine akae Kimya yanamshushia credibility, nchi inajulikana anayeongoza ni nani hata Majaliwa hana ubavu huo! Na take over ilifanyika tokea mwezi March 13 ,2021 … LISSU ajichunge sana na Rwehumbiza atamuingiza Chaka kwa baadhi ya Taarifa
Ni manara msomiLisu ni manara aliyechangamka
Kila mtu humu jf anatafuta uteuzi?Kalete statement yangu popote nilipoandika neno 'Sukuma gang'na mama anaupiga mwingi" short of that utakuwa umekosa uteuzi tu unamaliza stress zako JF
Nenda kawajibu hao siyo mimiKila mtu humu jf anatafuta uteuzi?
Bavicha wenzio walikuwa wanachekelea kila siku humu kwamba mama anaupiga mwingi. Anawakomesha mataga na sukuma gang.
Leo hii wanalia kwamba sukuma gang ndio wanaongoza nchi?
Akiongea katika kipindi cha Maria Sarungi Space Jana akijibu maswali mbalimbali ya washiriki wa mjadala huo, Tundu Lissu ametoa taarifa serious kidogo kuhusu Rais na nchi yetu...
Kwamba, taarifa walizonazo kwa sasa ni kuwa "....Madam President Samia Suluhu Hassan is held hostage..." , kwamba si yeye anayeongoza nchi kwa sasa. Ameshauriwa yeye akae pembeni na swala la usalama wa nchi awaachie PM Majaliwa na waziri wa usalama, Mchengelewa washughulike nalo...
View attachment 1932324
MAONI YANGU:
Kama hii ni kweli, kikatiba imekaaje? Kama Rais huyu mama kakubali ushauri huu, atakuwa anajua kweli jukumu na wajibu wake kama Rais wa nchi...? Kwanini washauri wake wakuu wamefanya hivi..?
Kuna possibility kubwa hili linaweza kuwa la kweli kwa kuangalia viashiria fulani fulani...
Hebu chunguzeni ziara na matukio ambayo Rais Samia Suluhu anapangiwa kushiriki kwa takribani miezi miwili iliyopita....
Ni yale ya utoto utoto tu ambayo siyo level yake kuyafanya kwani yangeweza kufanywa na wasaidizi wake kama waziri wa sekta husika, RC au DC...
Inashangaza kuwa anajihusisha ktk mambo madogo madogo mno huku akiacha kuumiza akili kushughulika na maswala serious kama vile hali ngumu ya uchumi, tozo kandamizi, hali tete na mbaya ya kisiasa na mengine mengi yanayohusu nchi na wananchi ambayo kwa sasa yanaelea elea hewani tu bila mwongozo thabiti toka kwa Rais kiongozi makini wa nchi...
Angalia matukio anayoshiriki Rais; mfano Royal Tour, kushiriki tamasha la ngoma za kienyeji Magu Mwanza nk nk ni ya kupumbaza tu, yasiyo na positive impact yoyote katika maisha ya watu kwa ujumla. Nyuma ya matukio haya lipo lengo fulani baya nyuma ya pazia. THE TIME WILL TELL...
Naweza kuamini hili la Tundu Lissu kwa 99%...
Yah right. .... Jamuhuri ya Wagagagigikoko....!!Kumbe na ubelgiji viroba vipo...jamaa kaishiwa kabisa..