Lissu afunguliwe mashtaka kwa kutoa taarifa za uongo

Lissu afunguliwe mashtaka kwa kutoa taarifa za uongo

Nashauri serikali imfungulie mashtaka Wakili Msomi Tundu LISSU kwa kutoa taarifa za uongo na kusababisha taharuki kuwa Rais ametekwa/amewekwa mateka na Waziri Mkuu ndiye anaongoza nchi. Hata Kama yupo nje ya nchi anapaswa kuheshimu uhuru wa maoni. Mara nyingi akihojiwa na vyombo vya habari amekuwa akipotosha taarifa. Na hii si mara ya kwanza kutoa taarifa hizi. Hata wakati alipohojiwa na BBC alisema hili.
Wewe ni ndondocha kweli kweli wewe. Matishio ya kijinga namna hiyo yalishapitwa na wakati!
 
Kwa hiyo kumbe alistahili kuuliwa?

Kwamba alikuwa anakejeli hatua za kupambana na ubeberu? Kumbe hafai

Umesema hana maana, na ni “debe tupu.”

Tundu Lissu aliwauliza watu wake ndani ya utawala, nampataje Rais?

Wakampa namba, akapiga, ikapokelewa, akaambiwa nyakati hizi Rais anapokea madaraka, tutakutafuta mkuu.

Katibu wa Rais Suluhu akarudisha simu Ujerumani, Rais pembeni ya simu, wanamtafuta Tundu Lissu. Huyo unamwitaje debe tupu ?

Mpinzani Kambona akiwa Uingereza miaka 30 hakuwahi kupigiwa simu na Nyerere. He couldn’t shake up Nyerere’s regime.

When Tundu Lissu speaks the Tanzanian regime pays attention.
 
Eti halafu nyinyi ndio mpewe nchi muongoze??? Badala ya kushughulika na vitu vya maana mnaendekeza umbea tu.

Nyinyi endeleeni kupiga soga huku CCM inajipanga na mikutano ya mpaka kwenye matawi huko. Mkija mkishtuka ni July 2025, mnachezea kichapo tena ikifika October 2025 mnaanza kujazana ujinga wa muandamane.

Ama kweli CCM itaendelea kutawala for more years to come.

Viva CCM viva Mama Samia Suluhu Hassan.
Natamani wangeelewa unachozungumza
 
Mbona hili lilikuwepo hadharani kabla ya Lissu kutia neno? Hanga ya KUDEMKA 😂😂
1631301281815.png

Nashauri serikali imfungulie mashtaka Wakili Msomi Tundu LISSU kwa kutoa taarifa za uongo na kusababisha taharuki kuwa Rais ametekwa/amewekwa mateka na Waziri Mkuu ndiye anaongoza nchi. Hata Kama yupo nje ya nchi anapaswa kuheshimu uhuru wa maoni. Mara nyingi akihojiwa na vyombo vya habari amekuwa akipotosha taarifa. Na hii si mara ya kwanza kutoa taarifa hizi. Hata wakati alipohojiwa na BBC alisema hili.
 
Nashauri serikali imfungulie mashtaka Wakili Msomi Tundu LISSU kwa kutoa taarifa za uongo na kusababisha taharuki kuwa Rais ametekwa/amewekwa mateka na Waziri Mkuu ndiye anaongoza nchi. Hata Kama yupo nje ya nchi anapaswa kuheshimu uhuru wa maoni. Mara nyingi akihojiwa na vyombo vya habari amekuwa akipotosha taarifa. Na hii si mara ya kwanza kutoa taarifa hizi. Hata wakati alipohojiwa na BBC alisema hili.
Unaongelea huyu chizi na muongo wa kutupwa! Hakuna haja ya kupoteza muda na machizi na wachumia tumbo kama huyu na yule aliyeko Kanada aka Godcurse Mremavu
 
You truly a Great Thinker...

You are very intelligent...

Hii kitu inatafakarisha sana hasa uki connect dots za matukio ya ajabu ajabu yanayotokea...

Hata mijadala inayoendeshwa kule space ni ya kimkakati zaidi kuibua mambo yasiyoweza kuibukika ktk mazingira ya kawaida kufikisha ujumbe kwa serikali na umma kujipima..!!
CCM ya leo siyo ile aliyoiasisi Nyerere
 
Umesema hana maana, na ni “debe tupu.”

Tundu Lissu aliwauliza watu wake ndani ya utawala, nampataje Rais mpya?

Wakamwambia unataka namba yake kama mwanamke au unataka kuongea kazi, Lissu akasema namba ya kikazi zaidi. Wakampa, akapiga, ikapokelewa, akaambiwa nyakati hizi Rais anapokea madaraka, tutakutafuta mkuu.

Katibu wa Rais Suluhu akarudisha simu Ujerumani, Rais pembeni ya simu, wanamtafuta Tundu Lissu. Unamwitaje debe tupu ?

Mpinzani Kambona akiwa Uingereza miaka 30 hakuwahi kupigiwa simu na Nyerere. He couldn’t shake up Nyerere’s regime.

When Tundu Lissu speaks the Tanzanian regime pays attention.
Hizi stori zako zipeleke pale ufipa ila huyo mtu wenu ni debe tupu!

Hana ishu
 
Madaraka ni matamu sana. Mtu ukionja uwaziri utatamani sana upate uwaziri mkuu, ukiupata utatamani upate uraisi. Hizi ni preparation za kujenga cv ya kugombea uraisi. Toka nisome kitabu cha mkapa kwa kweli wazaramo na watu wa kusini uraisi hawatufai kabisa.

Masuala ya usalama yote yako chini ya Waziri mkuu, yeye ndio bosi wa Tiss kiutendaji na ndio maana Mawaziri wakuu wote walikuwa watu wa Tiss. Waweza kukumbuka ukaribu wa Mzee Lowasa na Marehemu Mwang'onda mpaka chadema.

It makes a lot of sense haya anayoyasema Lissu na potrayed blurr image anayoibuka nayo namba moja. Leo tozo zimekubalika, kesho Royal Tour, mara Mbowe alikimbia Nairobi, mara chanjo, mara ndege, mara yatima hadeki walimu siwezi kuongeza mshahara, sinema hazifikii katikati director anarukia scene ingine. Tukumbuke usemi wa hayati Nyerere aliposema Upinzani wa kweli utatoka ndani ya ccm. Kazi iendelee lakini hali ya gharama za vitu mtaani inazidi kupanda.
 
Asante nitafuatila,
Fanya hivyo ... Utaijua vizuri zaidi .. North and south korea(ancient Korea=koryo/Goryeo).
Very interesting. Nimeipenda hii...

Ukipata wasaa wa kutosha, tueleze hili kwa mapana yake na uhusiano wake na hali ya nchi yetu sasa ktk uzi maalumu kabisa..
Walikuwa wanawekwa ..wasimamizi kwa niaba ya watawala ..na mlolongo ukienda hivyo ..sio storry teller mzuri ... Nitajaribu enteresting sana hawa majamaa ....
 
Akiongea katika kipindi cha Maria Sarungi Space Jana akijibu maswali mbalimbali ya washiriki wa mjadala huo, Tundu Lissu ametoa taarifa serious kidogo kuhusu Rais na nchi yetu...

Kwamba, taarifa walizonazo kwa sasa ni kuwa "....Madam President Samia Suluhu Hassan is held hostage..." , kwamba si yeye anayeongoza nchi kwa sasa. Ameshauriwa yeye akae pembeni na swala la usalama wa nchi awaachie PM Majaliwa na waziri wa usalama, Mchengelewa washughulike nalo...
View attachment 1932324

MAONI YANGU:

Kama hii ni kweli, kikatiba imekaaje? Kama Rais huyu mama kakubali ushauri huu, atakuwa anajua kweli jukumu na wajibu wake kama Rais wa nchi...? Kwanini washauri wake wakuu wamefanya hivi..?

Kuna possibility kubwa hili linaweza kuwa la kweli kwa kuangalia viashiria fulani fulani...

Hebu chunguzeni ziara na matukio ambayo Rais Samia Suluhu anapangiwa kushiriki kwa takribani miezi miwili iliyopita....

Ni yale ya utoto utoto tu ambayo siyo level yake kuyafanya kwani yangeweza kufanywa na wasaidizi wake kama waziri wa sekta husika, RC au DC...

Inashangaza kuwa anajihusisha ktk mambo madogo madogo mno huku akiacha kuumiza akili kushughulika na maswala serious kama vile hali ngumu ya uchumi, tozo kandamizi, hali tete na mbaya ya kisiasa na mengine mengi yanayohusu nchi na wananchi ambayo kwa sasa yanaelea elea hewani tu bila mwongozo thabiti toka kwa Rais kiongozi makini wa nchi...

Angalia matukio anayoshiriki Rais; mfano Royal Tour, kushiriki tamasha la ngoma za kienyeji Magu Mwanza nk nk ni ya kupumbaza tu, yasiyo na positive impact yoyote katika maisha ya watu kwa ujumla. Nyuma ya matukio haya lipo lengo fulani baya nyuma ya pazia. THE TIME WILL TELL...

Naweza kuamini hili la Tundu Lissu kwa 99%...
SSH lazima awe mwoga kwa sababu anakijua fika kilichomsibu Mwendachato. Wenye akili na weledi wa kutosha na wanaoijua NJI hii itokako na iendako hawashangai wala hawadanganyiki asilan! Ni swala la muda tu! Wanaojifanya wajanja watajua kwamba hawajui kitu! If you can't CHANGE, CHANGE itself will CHANGE YOU! Hiyo ni kanuni ya maumbile sio yangu mimi kapurwa!
 
Narudia tena , niliisema sehemu Anayeongoza nchi ni Mabeyo na Vyombo vya Usalama Mama akiwa kama kivuli ila Majaliwa na mchengelwa hawana wanalojua hapo LISSU naye kachemka!!! Nchi iko kwa Mabeyo kitambo sana

Britanicca

We bado ni mtoto sana!! Kati ktk tawala za kiraia hilo haliwezi tokea na ndo maana ktk katiba na utendaji kwa ujumla rank ya jeshi iko mbali sana!!
 
Back
Top Bottom