Lissu afunguliwe mashtaka kwa kutoa taarifa za uongo

Kila siku nawaambia TL hana quality za kuwa Rais hata kidogo....taarifa za JF ndio taarifa alizonazo kifupi he is not well informed, nakumbuka issue ya mlinzi wa Marehemu JPM tena mbele ya international media anaongea tango poli....kipindi cha kampenin ametema waste nyingi sana binafsi nilimdharau sana..

inanikumbusha Dr Slaa vs Riz na madawa China, Bomba la gas Mt to Dubai chini ya bahari eti gas inaibiwa nilicheka sana na kumuona Dr kituko kabisa aisee...dah hawa ndio wanasiasa wanaotaka tuingie barabarani....ZZK anaweza kuwa mwanasiasa mzuri kuliko mwanasiasa yeyote interm of IQ nk...
 
Huyu bwana lissu ashukuru kukimbilia kwa mabeberu,angekuwa singida sasa hivi angekuwa anaokota makopo,anachokiongea Wala hakieleweki.
Alitaka kumuua lissu yuko futi sita chini ya ardhi

Funga domo lako
 
ZZK ndonani?
 
Kama wao Ccm wanakutanika na wapinzani wamewekewa vigingi na vyombo vya dola na vya maamuzi. Unataka wafanyeJe ?!
1. Waanzishe vita vya msituni ndiyo itafurahi ?!


Ccm ni waoga fulani wa mambo ya fair .
 
Wanarukaruka sana mwishowe wanaanguka......

Kweli CHADEMA ni genge la kifamilia......

#SiempreChifuMkuuHangaya
 
Mswahili hawezi kuendesha nchi maana hana lugha ya moja kwa moja tofauti ni kubwa mno toka kwa Jpm kwenda kwa mama samia,Tulizoea kufanya kazi kwa lugha moja iwe nzuri au mbaya msimamo ulikuwepo ila kwa sasa kauli zina mashaka haziko wazi
Kuna rais wa Tanzania ambaye si mswahili ?!!

Hivi wengi wa sisi waafrika shule huwa zina tija kwetu?!!! Khaaa😲😲
 
Unaongelea huyu chizi na muongo wa kutupwa! Hakuna haja ya kupoteza muda na machizi na wachumia tumbo kama huyu na yule aliyeko Kanada aka Godcurse Mremavu
Why unapoteza muda kufuatilia uzi wa chizi...nani ni chizi basi.
 
Hata kabla ya TAL, niliambiwa na afisa mkubwa wa wasiojulikana kuwa wao kwa sasa wanaripoti kwa Maajaliwa.

Kwa ujumla hanangaya, yupo ka alama tu lakini siyo kiutendaji.
Chai hizi khaaa 😲😲😲🤣🤣🤣🤣🤣
 
Lisu ni debe tupu yule!

Yani haya uliyosema ndio unaona lisu ni mtu wa maana?
Sasa Lissu akiwa debe wewe si utakuwa kisoda? Wewe endelea kulia lia hapa tuu maana hata korido za lumumba huzijui, Lissu ana legacy nchi hii kwa aliyofanya so far.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…