Lissu afunguliwe mashtaka kwa kutoa taarifa za uongo

Huzo hekaya za wazungu wazungu wazungu zimeshapitwa na wakati. Kajipange tena..Magaidi wao ndani ya ccm unasingizia wazungu😅😅
Duuuh......

Yaani alichosema ni hekaya?!!

Mkuu endelea kujipumbaza....
 
Hivi hamna jema Mama Samia atafanya mkamsifia.......
Mh Rais Mama Samia yuko vzr tuu na sivyo dua zenu mbaya zitawarudia wenyewe...
Tulia wewe hujui kitu...wewe ni panya mdogo Sana......Halafu jifunze kutuliza akili na usome kitu kwa makini...sio unakurupuka kuandika...

Shwain
 
She has been insisting all along the way that she is gonna deal with economy. Tourism sector is one of the major contributor of our economic growth and she is right on putting it on top of her list.

Nyinyi endeleeni kukosoa tu

Unatumia nguvu nyingi sana
 
Nilikuwa nawaza utawavutiaje wawekezaji na utalii Hadi "uchifu" unaenda kuwapora wasukuma
 
Kwahiyo na wewe mkuu unadhani hata akiwemo ofisini hayo "mafaili mazito " anaweza kuya-access yeye tu??

Hamuelewi kwamba Urais ni taasisi???
Hawataki kuelewa kwa kuwa pale UFIPA kuna "one man show" kwa hii miaka yote 20....mwenyekiti wao ambaye "ANAHODHI" kila kitu na kila jambo walimpa "uchifu" wao wenyewe humohumo ndani muda mrefu sana kabla ya hata hivi majuzi CHIFU MKUU CHIFU WA MACHIFU HANGAYA yeye kusimikwa na machifu wa makabila zaidi ya 100....zaidi ya 100!!!!
 
Duuh bado unang'ang'ana tu kuwa huyo mlinzi hayuko hai?!!! 😲😲🤣🤣
Haya mkuu endelea KUJIFURAHISHA NAFSI YAKO.....

Karibu kahawa ya "cappuccino" hapa.....
Mkuu unaipigia wapi hii kitu??

Right after my shift ends I would like to join for a cup or two.

Hii hapa coffee house huku stone town karibu na mchamba wima pale nshaizoea sana
 
duuh
 
Ila Lisu anapoint hapa! Tusimchukulie poa mambo nchi hii yanaenda ovyo ovyo yaani kama nchi za wenzet hizi tozo pangenuka!
 
Ninachojiuliza, kwa uchumi upi Mama atakaotumia mwakani kuongeza Watumishi Mishahara!!? Au ndiyo danganya toto!! Yaaani mambo ni mengi sana!
Sio katika level yako kuweza kuona hilo. Wewe kaa usubiri tarehe 1 May 2022 Mheshimiwa rais Mama Samia Suluhu Hassan anavyoongeza mishahara.
 
Hata kabla ya TAL, niliambiwa na afisa mkubwa wa wasiojulikana kuwa wao kwa sasa wanaripoti kwa Maajaliwa.

Kwa ujumla hanangaya, yupo ka alama tu lakini siyo kiutendaji.
Acheni kudanganyana nyie yani mtu akivaa kaunda suti basi kashakua afisa usalama
 
Siasa za maji taka
 
Kipindi Mkapa akimwita Lissu kuwa ni mjinga aliyefichama kwenye taaluma, ilikuwa ni baada ya lisu kusema kuwa mikataba ya madini tunayoingia ni mibovu. Miaka 20 baadaye CCM na serekali yake ikakiri kuwa Mikataba hiyo ni mibovu............ slow learners!
 
Ndio mnavyoligawa taifa hamuangalii mioyo ya mliowaumiza siku majitu yenu yakifa Kama magufuli msitulazimishe tulie wote.
Sasa hata kama ni kweli tunaendelea na maisha yetu tusiseme??

Yaani nyinyi mtudanganye tu kwamba hali mbaya, sijui nchi inaongozwa na waziri, tutashtakiwa MIGA tukae tu tunawaangalia kisa sijui kuligawa taifa???

Kama kufa kila mtu atakufa, akifa Magu nyinyi msilie na akifa Baregu na Sisi hatulii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…