The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,541
Utakuwa na tatizo la kuelewa...Binafsi sijaelewa kitu hapo.
JESUS IS LORD!
Natudia niliisema sehemu Anayeongoza nchi ni Mabeyo na Vyombo vya Usalama Mama akiwa kama kivuli ila Majaliwa na mchengelwa hawana wanalojua hapo LISSU naye kachemka!!! Nchi iko kwa Mabeyo kitambo sana
Britanicca

WanaCCM wenzangu,
Hoja aina hii siyo za kukurupukia maana mtu kama Lissu lazima atakuwa na mvujisha taarifa kutoka pakachani.
Naona watu wanajibu kwa kebehi
Kuna jambo halipo sawa and yet we joke about it.
I can sense indoor plumbing
Tutafika TU hvyo hvyo!!Akiongea katika kipindi cha Maria Sarungi Space Jana akijibu maswali mbalimbali ya washiriki wa mjadala huo, Tundu Lissu ametoa taarifa serious kidogo kuhusu Rais na nchi yetu...
Kwamba, taarifa walizonazo kwa sasa ni kuwa "....Madam President Samia Suluhu Hassan is held hostage..." , kwamba si yeye anayeongoza nchi kwa sasa. Ameshauriwa yeye akae pembeni na swala la usalama wa nchi awaachie PM Majaliwa na waziri wa usalama, Mchengelewa washughulike nalo...
View attachment 1932324
MAONI YANGU:
Kama hii ni kweli, kikatiba imekaaje? Kama Rais huyu mama kakubali ushauri huu, atakuwa anajua kweli jukumu na wajibu wake kama Rais wa nchi...? Kwanini washauri wake wakuu wamefanya hivi..?
Kuna possibility kubwa hili linaweza kuwa la kweli kwa kuangalia viashiria fulani fulani...
Hebu chunguzeni ziara na matukio anayoshiriki Rais Samia Suluhu kwa takribani miezi miwili iliyopita, ni utoto utoto tu huku maswala serious burning issues haki ngumu ya uchumi, tozo kandamizi, haki tete na mbaya ya kisiasa na mengine mengi yanayohusu nchi na wananchi yakielea elea hewani bila mwongozo thabiti toka kwa Rais kiongozi makini wa nchi...
Angalia matukio anayoshiriki Rais; mfano Royal Tour, kushiriki tamasha la ngoma za kienyeji Magu Mwanza nk nk ni ya kupumbaza tu kwa lengo fulani baya nyuma ya pazia..
Naweza kuamini hili la Tundu Lissu kwa 99%...
Mabeyo hawezi kupoteza muda wake kutengeneza kesi za kishamba za kigaidi.Natudia niliisema sehemu Anayeongoza nchi ni Mabeyo na Vyombo vya Usalama Mama akiwa kama kivuli ila Majaliwa na mchengelwa hawana wanalojua hapo LISSU naye kachemka!!! Nchi iko kwa Mabeyo kitambo sana
Britanicca
Samia anatia huruma sanaa, natamani kumsadia kwa mambo mengi sana. shida ndiyo hivyoAkiongea katika kipindi cha Maria Sarungi Space Jana akijibu maswali mbalimbali ya washiriki wa mjadala huo, Tundu Lissu ametoa taarifa serious kidogo kuhusu Rais na nchi yetu...
Kwamba, taarifa walizonazo kwa sasa ni kuwa "....Madam President Samia Suluhu Hassan is held hostage..." , kwamba si yeye anayeongoza nchi kwa sasa. Ameshauriwa yeye akae pembeni na swala la usalama wa nchi awaachie PM Majaliwa na waziri wa usalama, Mchengelewa washughulike nalo...
View attachment 1932324
MAONI YANGU:
Kama hii ni kweli, kikatiba imekaaje? Kama Rais huyu mama kakubali ushauri huu, atakuwa anajua kweli jukumu na wajibu wake kama Rais wa nchi...? Kwanini washauri wake wakuu wamefanya hivi..?
Kuna possibility kubwa hili linaweza kuwa la kweli kwa kuangalia viashiria fulani fulani...
Hebu chunguzeni ziara na matukio anayoshiriki Rais Samia Suluhu kwa takribani miezi miwili iliyopita, ni utoto utoto tu huku maswala serious burning issues haki ngumu ya uchumi, tozo kandamizi, haki tete na mbaya ya kisiasa na mengine mengi yanayohusu nchi na wananchi yakielea elea hewani bila mwongozo thabiti toka kwa Rais kiongozi makini wa nchi...
Angalia matukio anayoshiriki Rais; mfano Royal Tour, kushiriki tamasha la ngoma za kienyeji Magu Mwanza nk nk ni ya kupumbaza tu kwa lengo fulani baya nyuma ya pazia..
Naweza kuamini hili la Tundu Lissu kwa 99%...
Kuna hoja gani hapo zaidi porojo za bwabwa lenu liuso?Jibu hoja msukule wa Lumumba acha mipasho kike.
kifupi ni kuwa sera zimemuishia...Kumbe na ubelgiji viroba vipo...jamaa kaishiwa kabisa..
Tulia tuli mkuu dawa ikuingie mbona huko ndani taarifa nje nje Usimlaumu TAL jilaumuni ninyi wenyewe wanaovujisha hiyo mikakati yenu si ninyi wenyewe, ndio mambo ya mnara wa Babeli hayo.Huyu bwana lissu ashukuru kukimbilia kwa mabeberu,angekuwa singida sasa hivi angekuwa anaokota makopo,anachokiongea Wala hakieleweki.
Soon mtamuona akirejea nyumbani baada ya mambo kumshinda huko aliko.Akiongea katika kipindi cha Maria Sarungi Space Jana akijibu maswali mbalimbali ya washiriki wa mjadala huo, Tundu Lissu ametoa taarifa serious kidogo kuhusu Rais na nchi yetu...
Kwamba, taarifa walizonazo kwa sasa ni kuwa "....Madam President Samia Suluhu Hassan is held hostage..." , kwamba si yeye anayeongoza nchi kwa sasa. Ameshauriwa yeye akae pembeni na swala la usalama wa nchi awaachie PM Majaliwa na waziri wa usalama, Mchengelewa washughulike nalo...
View attachment 1932324
MAONI YANGU:
Kama hii ni kweli, kikatiba imekaaje? Kama Rais huyu mama kakubali ushauri huu, atakuwa anajua kweli jukumu na wajibu wake kama Rais wa nchi...? Kwanini washauri wake wakuu wamefanya hivi..?
Kuna possibility kubwa hili linaweza kuwa la kweli kwa kuangalia viashiria fulani fulani...
Hebu chunguzeni ziara na matukio anayoshiriki Rais Samia Suluhu kwa takribani miezi miwili iliyopita, ni utoto utoto tu huku maswala serious burning issues haki ngumu ya uchumi, tozo kandamizi, haki tete na mbaya ya kisiasa na mengine mengi yanayohusu nchi na wananchi yakielea elea hewani bila mwongozo thabiti toka kwa Rais kiongozi makini wa nchi...
Angalia matukio anayoshiriki Rais; mfano Royal Tour, kushiriki tamasha la ngoma za kienyeji Magu Mwanza nk nk ni ya kupumbaza tu kwa lengo fulani baya nyuma ya pazia..
Naweza kuamini hili la Tundu Lissu kwa 99%...
Ulitaka aanze kuimba mapambio? kwa lipi?Kumbe na ubelgiji viroba vipo...jamaa kaishiwa kabisa..
Kama mfuatiliaji wa historia ya Mashariki ya mbali korea ,china, japan .... Han Clan ilitawala sana maeneo hayo ... Lilitokea vugu vugu maeneo ya wakazi kusini mashariki ya south Korea taifa moja la Gaya likazaliwa na ndio lilokuja kuungana na kuishusha Baekje na sehemu ya Goryeo(Goguryeo) na kuunda taifa jipya lililo kuwa na nguvu la Shilla ... Hapa naunganisha tu Han - Gaya .. Na huyu chief Hangaya ataleta shida... (Kwa muda wako soma hiyo historia ya hizo dynaties Han, Gaya, Shilla, Goryeo, na Goguryeo). Ndio North na Msouth Korea wa leo .Hii nchi sio Tanzania tena, ni Jamhuri wa watu wa Hangaya tu,