Uchaguzi 2020 Lissu akishinda urais, nchi italipuka kwa shangwe isiyo ya kawaida

Tuliwaambia ccm mgombea wao hauziki hawakusikia, tunamshukuru Mungu kutuletea jiwe ili ccm ife. 2015 watz waliichoka ccm wanampenda mgombea wao, this time wamevichoka vyote ccm na mgombea wake muongo muongo, mwizi, fisadi, katili, roho mbaya, mbinafsi, mdini, mkanda, mkabila, anawaumiza watz ili apate furaha, anaegoma kumuabudu anabambikwa uhujumu. Amebomolea watu nyumba zao eti awakumchagua, anawakomoa wafanyakazi eti walimpigia kura Lowasa, anawatishia wapiga kura atawashughulikia wasipomchagulia awatakao.
October tuikomboe nchi yetu
 
Kwann hoja ya kujaza watu sio kigezo cha kura kwa Lisu tu?
 
Time will tell
 
Kama unaamini Mungu amlisaidia Magufuli kupambana na corona ni lazima pia uamini kuwa Mungu alimponya Lissu risasi 16 ili aje kuwa Raisi wako 2020-2025
Lisu aipigwa magorori ya kuwindia ndege, angepigwa risasi halisi hata mungu angechoka kubakiza uhai wake.
 
Ilikua zaidi ya hivi kwa Dr. Slaa, Lowasa ! Ahaa okay Mungu hakua amepanga kipindi hicho maana hata Mwingira kasema !
 
Mnyoa kiduku a.k.a chiba, atashinda humu Jamii forum. Na atakuwa Rais wa mioyo yenu.
Ila kwenye box la kura hawezi pata hata 20%. Hakuna asiyeona aliyofanya Magufuli. Tulio upande wa Magufuli ni wengi sana hatuna mbwembwe wala mihemuko. Tunasubiri 28oct, tunachukua, tunaweka, waa!
Kiduku anarudi kwao ubelgiji... Ataondoka kwa aibu!
 
Jiwe kashafanya mikakati Jana na leo, ndio maana akasogeza mbele Kampeni za Iringa.

Kikao cha Jiwe na MaDed kimefanyika Dodoma Jana na Leo.

Wataiba kura na kuvuruga uchaguzi
Ole wao,wasijaribu sumu kwa kuionja.Watanzania tunataka mabadiliko kwa udi na uvumba,hakuna namna yoyote tutaruhusu wizi wa kura hata moja.Jiandaeni kisaikolojia kwa kuwa hatudanganyiki tena.
 
Yani Lisu ashinde urais?

Wa wasafi ama?
Kwa uchaguzi wa rais nchi hii kushinda ni jambo moja na kutangazwa ni jambo jingine kabisa.
Lissu anaweza na atashinda, shughuli pevu ipo kwenye kumtangaza. Hii tume ya CCM haiwezi kamwe kumtangaza Lissu mshindi.
Na mbaya zaidi ya yote ni uchaguzi wa rais kutokupingwa ktk mahakama yoyote hapa TZ. Hilo lipo kikatiba na ndiyo kasoro na udhaifu mkubwa wa katiba yetu ambao nyie MATAGA mnaufurahia sana. Ndiyo maana unatoa maneno ya kejeli maana unajua kitakachofanywa na tume.
 
Jiwe kashafanya mikakati Jana na leo, ndio maana akasogeza mbele Kampeni za Iringa.

Kikao cha Jiwe na MaDed kimefanyika Dodoma Jana na Leo.

Wataiba kura na kuvuruga uchaguzi
Hata maDED washachoka na ukoloni huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…