Pre GE2025 Lissu akiwa Rais atavunja muungano halafu atawafukuza Wazanzibari wote pamoja na Bakhresa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
..Bakhresa amewekeza Rwanda, Burundi, DRC, na kote huko hawana muungano na Zanzibar.

..Kama Bakhresa amewekeza katika nchi nilizozitaja ambazo hazina muungano na Zanzibar, basi anaweza kuwekeza hapa Tanganyika hata kukiwa hakuna muungano.

..Na haitakuwa ajabu Bakhresa kuwa anachukia muungano kwasababu Wazanzibari waliowengi, na haswa Wapemba, wanapinga muungano, na kulilia Zanzibar yenye mamlaka kamili.
 
Wasiwasi wako tu. How do you know?
 
Elimu elimu elimu
 
Acha propaganda za kindezi!
 

Aliondoka mwingereza itakuwa huyo muuza energy drink !.
 
Mbona Dangote ana viwanda Tanzania, kwani TZ ina muungano na Naija?
 
Punguza umasikini wako,kwani Bakhresa siyo binadamu?

Kama atatakiwa kufukuzwa afukuzwe tu
 
Muungano unakusaidia nini ?.
 
Kwa nini uwafukuze? Zenj itakua nchi kamiri, kama Uganda, au Kenya, na raia wake watafata sheria kama wengine tu, atakae taka kuwa mbongo, anaomba uraia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…