Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuhusu Lissu Kama Lissu umekurupuka kwenye maandishi yako.Siku zote Lissu ni wa kupuuzwa Mkuu. Huwa anaropoka kwanza, halafu anafikiria baadae.
Lissu nimeanza kumfuatilia tangu enzi zile za Kesi ya Kufukiwa Wachimbaji Bulyankulu. Alivyokuwa akifadhiliwa yeye na Mzee Lyatonga Mrema kuendesha Kesi hiyo. Alivyoipenda kuishi Marekani hadi alivyoanza Siasa akiwa NCCR MAHEUZI kabla hajahamia Chadema. Namjua sana bro!Kuhusu Lissu Kama Lissu umekurupuka kwenye maandishi yako.
Chadema haitakiwi kuongoza, waislamu tutapitia wakati mgumu sana. Chadema kuna udini na ukabila.Leo nimejikuta nawaza hili jambo, inawezekana tukawa tunamchukulia Lissu kwa urahisi rahisi, kumbe mwenzetu ana jambo zito zaidi. Tanzania ina wawekezaji wengi kutoka zanzibar, na wengine wameoa bara.
Bakhresa ni mmoja wa wawekezaji wakubwa sana na analipa kodi kubwa kuliko huyo Lissu.
Nawaza hawa walioajiriwa pamoja na wauza ukwaju, vingamuzi, walioajiriwa viwandani wote watakosa kazi, familia zao zitaishije?
Lissu pia atasababisha maelfu ya ndoa zivurugike kwa kuwa wenza wa baadhi atawafukuza
Tundulisu akiwa rais itakuwa poa sana kuwafukuza hawa wazanzibar.huyo bakhresa hata akirudi kwao hakuna hasara tutakayopata Tanganyika zaidi yeye atakosa soko la bidhaa zake Kwa sababu wanzanzibar ni wachache na ni masikini wa kutupwa kuliko mtu yeyote duniani fullstop
Kwahiyo unavyo jua wewe kiasi chote hicho sio mtu anafikiria kabla hajasema jambo.?Lissu nimeanza kumfuatilia tangu enzi zile za Kesi ya Kufukiwa Wachimbaji Bulyankulu. Alivyokuwa akifadhiliwa yeye na Mzee Lyatonga Mrema kuendesha Kesi hiyo. Alivyoipenda kuishi Marekani hadi alivyoanza Siasa akiwa NCCR MAHEUZI kabla hajahamia Chadema. Namjua sana bro!
Lissu anataka haki na siyo huu usanii wenuLeo nimejikuta nawaza hili jambo, inawezekana tukawa tunamchukulia Lissu kwa urahisi rahisi, kumbe mwenzetu ana jambo zito zaidi. Tanzania ina wawekezaji wengi kutoka zanzibar, na wengine wameoa bara.
Bakhresa ni mmoja wa wawekezaji wakubwa sana na analipa kodi kubwa kuliko huyo Lissu.
Nawaza hawa walioajiriwa pamoja na wauza ukwaju, vingamuzi, walioajiriwa viwandani wote watakosa kazi, familia zao zitaishije?
Lissu pia atasababisha maelfu ya ndoa zivurugike kwa kuwa wenza wa baadhi atawafukuza
Hawa UWT wamezoea kumpiga mizinga BakhresaKwani Bakhresa ni Mungu?
SureAcha uoga. Hata yatokee majanga kama ya enzi za nuhu wafe viongozi wote nchini pamoja na wasomi wabaki watu 10000 tu nchini. Nchi itasimama kama nchi na maendeleo yatakuwepo tu. Tunadanganyana sana kama taifa. SSB hata afunge viwanda leo ufumbuzi utajulikana tu.