Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Wewe mbona una matatizo ya akili lkn bado watu wanaheshimu mawazo yako?yule ni rambaramba mdomo wake utakutisha kama hauna ufahamu na utakuteka kama haina punje ya akili!.
yule jamaa anataka kuturudisha karne za nyuma sana!
kama hafanyi kwa kusudi basi anatatizo fulani!.
ikiwa ataweza kuwa rais basi kaa ukijua hakuna mabadiliko makubwa utayaona maana kile chama nacho ni rambaramba tu!.
anaongea hayo anayoongea kwasababu ndio hoja alizonazo kwasasa na ndio anaona zitabamba ila akikalishwa kitini nakufahamu ndani nje nchi inavyoongozwa ataufyata na hautaamini kuwa ni yeye!.
wanasiasa wengi hivi sasa wanahofia matumbo yao tu! rejelea 2015 lowasa alipowania urais kupitia chadema,rejelea maneno ya lisu huyo ni makamu mwenyeki sasa rejelea miaka nyuma ya 2015, utaona mishipa ilivyokuwa ikiwasimama wakisema lowasa fisadi.
kwa mwenye akili timamu kile chama sio chama ni chama la chama....[emoji23]
Wacheni chuki za kipumbavu.
Yaani mpinzani akitoa mawazo yake basi uvccm hamlali kazi kuponda.