Pre GE2025 Lissu akiwa Rais atavunja muungano halafu atawafukuza Wazanzibari wote pamoja na Bakhresa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wewe mbona una matatizo ya akili lkn bado watu wanaheshimu mawazo yako?

Wacheni chuki za kipumbavu.
Yaani mpinzani akitoa mawazo yake basi uvccm hamlali kazi kuponda.
 
Umemaliza kazi kuu iliyokuwa inawalaza maccm bila viatu na kisa ni kwao kutotumia akili.
 
Kabisa kabisa
 
Wewe mbona una matatizo ya akili lkn bado watu wanaheshimu mawazo yako?

Wacheni chuki za kipumbavu.
Yaani mpinzani akitoa mawazo yake basi uvccm hamlali kazi kuponda.
mi sina matatizo ya akili, halafu mi sina ubia na chama chochote kile uvccm mwenyewe na sina chuki!
 
Siku zote Lissu ni wa kupuuzwa Mkuu. Huwa anaropoka kwanza, halafu anafikiria baadae.
 
Ubarikiwe kwa comment yenye akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…