Pre GE2025 Lissu akiwa Rais atavunja muungano halafu atawafukuza Wazanzibari wote pamoja na Bakhresa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Cha kwanza atawasamehe wale mawakala wote wa shetani, na kupatikana katiba mpya,uchaguzi huru na haki utakao fuata baada ya tume huru ya uchaguzi.Hapo vipi Chiembe😂
 
👁!
 
Ongezea na southafrica ambapo kafungua kiwanda ambacho serikali ya southafrica imekiita state of art ,kweli wazanzibar wanataka mamlaka yao kamili
 
Lissu ni mwanasiasa mahiri na ni msomi na ni mwanasheria 👁

Anazijua sheria za kimataifa vizuri sana
Kwahiyo hawezi kufanya vitu vya kijinga kijinga kama hivyo vya kufukuza fukuza watu 👁😷😇
 
Watu wajinga huwa kwa kawaida wana fikra finyu, sasa unapo deal na mjinga lazima uwe very smart.

Kwa sisi kuhoji namna bora ya kuboresha muungano huu ili kila upande wa muungano apate haki zake anazostahiki kwao ni kosa tena wanadai ni kosa la kutaka kuuvunja.
 
Ujinga siku zote huwa ni mzigo mzito 👁🫵
 


Ninachojua atafuata katiba, kama kufuata katiba ni kuwafukuza na kumwondoa Bakhresa, basi afafanya hivyo, na ni sahihi maana ndo katiba yetu ilivyo..
 
Nilivyoona "Tanzania inawawekezaji wengi kutoka Zanzibar" nikachoka kabisa.
 
nani atampatia huo urais kwanza tuanzie hapo ndiyo tuendelee kutoa maoni mengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…