Pre GE2025 Lissu akiwa Rais atavunja muungano halafu atawafukuza Wazanzibari wote pamoja na Bakhresa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Sisemi muungano uvunjwe lakini hoja yako ni ya kijinga.

Kuna Wakenya, Wanyarwanda, mpaka Wachina wanaoishi Tanzania na kufanya biashara zao kubwa, kwani Tanzania tumeungana na hayo mataifa?
 
Tundulisu akiwa rais itakuwa poa sana kuwafukuza hawa wazanzibar.huyo bakhresa hata akirudi kwao hakuna hasara tutakayopata Tanganyika zaidi yeye atakosa soko la bidhaa zake Kwa sababu wanzanzibar ni wachache na ni masikini wa kutupwa kuliko mtu yeyote duniani fullstop
 
Kuhusu Lissu Kama Lissu umekurupuka kwenye maandishi yako.
Lissu nimeanza kumfuatilia tangu enzi zile za Kesi ya Kufukiwa Wachimbaji Bulyankulu. Alivyokuwa akifadhiliwa yeye na Mzee Lyatonga Mrema kuendesha Kesi hiyo. Alivyoipenda kuishi Marekani hadi alivyoanza Siasa akiwa NCCR MAHEUZI kabla hajahamia Chadema. Namjua sana bro!
 
Chadema haitakiwi kuongoza, waislamu tutapitia wakati mgumu sana. Chadema kuna udini na ukabila.
 
Hawezi kuuvunja! Lazima ataongoza nchi kwa mjibu wa Katiba ya JMT!
 

Hilo sahau, hakuna chadema wala nani, urais mtausikia tu.

Tena nyie wenye chuki ndio mnachangia kwa kiasi kikubwa chadema kupuuzwa kwa vitisho vyenu, mbali na udini with ukabila ndani ya chama.

Tanzania asilimia kubwa ni waislamu, bila ya waislamu hata hii ccm haitaambulia chochote, labda kufanyike wizi wa kura.
 
Kwani Bakheresa ndie Mungu wa Taifa hili? Mbona hamtaki kuzungusha vichwa hivo.

Wote wenye viwanda na uwekezaji ni Watanganyika au wazawa wa huku??

Walizaliwa wakifanya kazi Azam? Before walikuwa wanafanya shughuli gani? Na Tangu lini serikali ikaanza kuwaza sanaaaaa kuhusu raia wa chini??

Ukweli ni Raia wengi,hawaoni umuhim wa muungano, double standard nyingi sana.
 
Kwahiyo unavyo jua wewe kiasi chote hicho sio mtu anafikiria kabla hajasema jambo.?
 
Lissu anataka haki na siyo huu usanii wenu
 
Sure
 
Mchangie kwanza atengeneze li-V eiti aende nalo ujerumani. Hayo ya urais labda wa ndotoni
 
Hawezi mfukuza isipokuwa muungano
utatazamwa upya na hao wawekezaji watabaki na uwekezaji wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…