PreGE2025 Lissu ameiweka Chadema kwenye mtego mbaya sana. Oneni hapa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,943
Reaction score
37,839
👉Chadema hawatoshiriki uchaguzi wa mwaka 2025 huku vyama vingine vyote Viki shiriki.

👉 CCM wataitumia hii situation kama fursa ya kuiua nguvu ya Chadema kwa kutengeneza "Chama Kikuu Cha Upinzani".

👉 Chama hicho kitakuwa ni ACT Wazalendo. Kitapewa viti vya kutosha bungeni na kwenye udiwani. Sababu itakuwa ni kuionyesha dunia kwamba Uchaguzi ulio fanyika Tanzania ni wa huru na haki. Hoja ya Tume Huru ya Uchaguzi utazikwa rasmi kwa sababu itaonekana haina mashiko.

👉 Kwa miaka yote mitano Chadema haitosikika kwenye majukwaa rasmi ya kisiasa( Bungeni etc) . Wakati huo huo kwa kushirikiana na CCM kimkakati, watatengenezwa wabunge machachari kutoka ACT ambao watakuwa wanaibua hoja nzito ambazo zitakuwa zinafanyiwa kazi.

👉 Wa Tanzania wengi watavutiwa na ACT kwa kuiona chama chenye mipango na mikakati inayo tekelezeka.

PICHA LITAANZA RASMI MWAKA 2030.
....................

1. Kwanza kabla ya yote wakati huo Lissu atakuwa na miaka 62.

2. Hakutakuwa na Tume Huru ya Uchaguzi( Anayo itaka Lissu) na badala yake tume itakuwa hii hii.

NGOMA ITAKUWA HAPA? 👇👇👇
.................................

👉 Chadema ili kuendelea kujiheshimisha kwa wafuasi wao ( Yericko Nyerere anawaita wanaharakati wa mitandaoni) itabidi iendelee kushikilia msimamo wake wa kutoshikiriki uchaguzi.

👉 Tume ya uchaguzi haitobadilishwa.

👉 Chadema hawatoshiriki tena uchaguzi. Uchaguzi utafanyika. So Chadema wataendelea kuwa nje ya ulingo wa siasa rasmi kwa miaka mingine mitano. Wakiendelea na msimamo huu maana yake Chadema yenye wabunge, madiwani, mameya etc, itakuwa ndo imekufa hivyo.

👉 Hiyo mwaka 2030 Chadema wakisema washiriki uchaguzi bila mabadiliko ya Tume wanayo yataka wao, wataonekana hawana msimamo na hawajui wanacho kitaka wala kukisimamia jambo ambalo litawaondolea credibility ya kisiasa kwa wananchi. Mtego mkubwa kweli huu.

USHAURI WANGU :

Chadema walipaswa kujifunza mbinu za kijasusi jinsi ya kushinda uchaguzi na kuchukua dola, kupitia tume hii hii iliyopo. Kama. Wana watu smart, Inawezekana!!.
 
Umekula maharage ya wapi tumbo limekuchafuka.
 
Kwa miaka minne plus chadema haina wabunge wa maana bungeni (Usiniambie covid-19 au Aida Kenani kuwa ni wabunge wa maana), kama haikufa wakati huo basi ni ngumu kufa kwa miaka kadhaa ijayo.
Upinzani kwa maana ya kutokukubaliana na CCM namna inavyotawala kupo mioyoni mwa wengi na ni ukweli ulio wazi kuwa pasipo nguvu za vyombo vya dola, uchawi, wizi, n.k CCM isingekuwa madarakani leo hii.

Kizazi cha wanaoipenda CCM, kimepungua sana, kizazi cha kudanganywa kwa pilau, kofia, khanga, tshirt kimepungua sana.

Kingine ni wakati, wakati huu hauihitaji CCM hii ya sasa, wakati unahitaji chama kingine, au CCM mpya na siyo hii ya sasa, hivyo basi kamwe Watch100 hawezi kuwa rais tena, na hata akifosi akawa atang'oka either kwa heri au shari, kuna nguvu kubwa sana za kiroho zitakazomuondoa. Iko hivi kuna msimu mpya soon unaanza Tanzania na kutakuwa na new Sheriff and systems in town. Msimu huu kaupanga Mungu mwenyewe kamwe hakuna wa kuzuia na ili alichokipanga Mungu kitimie lazima Watch100 ang'oke.
 
Ficha upumbavu wako
 
Mtoa maada lazima uelewe wakati mwingine chama cha siasa hugeuka na kua kama imani [DINI] na sio issue ya siasa tena mkuu. Kwa CHADEMA ilipofikia sio rahisi kufa.
Na kusema ACT iwe chama kikuu cha upinzani ni uongo wewe kwa haraka haraka unawajua wanachama wangapi wa ACT hapo mtaani kwako ?,
Au fanya research ndogo tu uliza watu wa kawaida hapo mtaani kwako kama wanawajua hata viongozi wa ACT totauti na zito kabwe .
 
Kwa miaka minne plus chadema haina wabunge wa maana bungeni (Usiniambie covid-19 au Aida Kenani kuwa ni wabunge wa maana), kama haikufa wakati huo basi ni ngumu kufa kwa miaka kadhaa ijayo.
Upinzani kwa maana ya kutokukubaliana na CCM namna inavyotawala kupo mioyoni mwa wengi na ni ukweli ulio wazi kuwa pasipo nguvu za vyombo vya dola, uchawi, wizi, n.k CCM isingekuwa madarakani leo hii.

Kizazi cha wanaoipenda CCM, kimepungua sana, kizazi cha kudanganywa kwa pilau, kofia, khanga, tshirt kimepungua sana.

Kingine ni wakati, wakati huu hauihitaji CCM hii ya sasa, wakati unahitaji chama kingine, au CCM mpya na siyo hii ya sasa, hivyo basi kamwe Watch100 hawezi kuwa rais tena, na hata akifosi akawa atang'oka either kwa heri au shari, kuna nguvu kubwa sana za kiroho zitakazomuondoa. Iko hivi kuna msimu mpya soon unaanza Tanzania na kutakuwa na new Sheriff and systems in town. Msimu huu kaupanga Mungu mwenyewe kamwe hakuna wa kuzuia na ili alichokipanga Mungu kitimie lazima Watch100 ang'oke.
ACT ilikuwa na wabunge wangapi kwenye bunge la Tanzania bara?

Usichanganye madesa mkuu, kuna tofauti kubwa sana Kati ya bunge kuto kuwa na mbunge hata mmoja wa upinzani vs bunge kuwa na wabunge wengi wa upinzani( Zitto akiwa Kiongozi mkuu wa Upinzani) kwa miaka mitano wakati huo huo Chadema Kikiwa nje ya ulingo wa siasa.

Anyways Time will tell
 
Mtoa maada lazima uelewe wakati mwingine chama cha siasa hugeuka na kua kama imani [DINI] na sio issue ya siasa tena mkuu.

Sio kwa Chadema hii inayo nasibishwa na uchaga na ukristo.
Kwa CHADEMA ilipofikia sio rahisi kufa.

Ipo wapi NCCR MAGEUZI ya Mwamba Lyatonga Mrema?
Na kusema ACT iwe chama kikuu cha upinzani ni uongo

Mwaka 95, NCCR MAGEUZI ilikuwa ndio cha kikuu cha upinzani.

Mwaka 2000 Cuf ikawa ndio Chama Kikuu cha upinzani.
wewe kwa haraka haraka unawajua wanachama wangapi wa ACT hapo mtaani kwako ?,
Au fanya research ndogo tu uliza watu wa kawaida hapo mtaani kwako kama wanawajua hata viongozi wa ACT totauti na zito kabwe .
Sasa ACT si ndo wanaenda kutengenezwa ndani ya miaka hiyo mitano.
 
ACT ilikuwa na wabunge wangapi kwenye bunge la Tanzania bara?

Usichanganye madesa mkuu, kuna tofauti kubwa sana Kati ya bunge kuto kuwa na mbunge hata mmoja wa upinzani vs bunge kuwa na wabunge wengi wa upinzani( Zitto akiwa Kiongozi mkuu wa Upinzani) kwa miaka mitano wakati huo huo Chadema Kikiwa nje ya ulingo wa siasa.

Anyways Time will tell
Hiyo ACT unayosema ina kubalika kuizidi chadema?
We mwenyewe umefungua uzi unaihusu Chadema na hukufungua wa ACT!
 
👉Chadema hawatoshiriki uchaguzi wa mwaka 2025 huku vyama vingine vyote Viki shiriki.

👉 CCM wataitumia hii situation kama fursa ya kuiua nguvu ya Chadema kwa kutengeneza "Chama Kikuu Cha Upinzani".

👉 Chama hicho kitakuwa ni ACT Wazalendo. Kitapewa viti vya kutosha bungeni na kwenye udiwani. Sababu itakuwa ni kuionyesha dunia kwamba Uchaguzi ulio fanyika Tanzania ni wa huru na haki. Hoja ya Tume Huru ya Uchaguzi utazikwa rasmi kwa sababu itaonekana haina mashiko.

👉 Kwa miaka yote mitano Chadema haitosikika kwenye majukwaa rasmi ya kisiasa( Bungeni etc) . Wakati huo huo kwa kushirikiana na CCM kimkakati, watatengenezwa wabunge machachari kutoka ACT ambao watakuwa wanaibua hoja nzito ambazo zitakuwa zinafanyiwa kazi.

👉 Wa Tanzania wengi watavutiwa na ACT kwa kuiona chama chenye mipango na mikakati inayo tekelezeka.

PICHA LITAANZA RASMI MWAKA 2030.
....................

1. Kwanza kabla ya yote wakati huo Lissu atakuwa na miaka 62.

2. Hakutakuwa na Tume Huru ya Uchaguzi( Anayo itaka Lissu) na badala yake tume itakuwa hii hii.

NGOMA ITAKUWA HAPA? 👇👇👇
.................................

👉 Chadema ili kuendelea kujiheshimisha kwa wafuasi wao ( Yericko Nyerere anawaita wanaharakati wa mitandaoni) itabidi iendelee kushikilia msimamo wake wa kutoshikiriki uchaguzi.

👉 Tume ya uchaguzi haitobadilishwa.

👉 Chadema hawatoshiriki tena uchaguzi. Uchaguzi utafanyika. So Chadema wataendelea kuwa nje ya ulingo wa siasa rasmi kwa miaka mingine mitano. Wakiendelea na msimamo huu maana yake Chadema yenye wabunge, madiwani, mameya etc, itakuwa ndo imekufa hivyo.

👉 Hiyo mwaka 2030 Chadema wakisema washiriki uchaguzi bila mabadiliko ya Tume wanayo yataka wao, wataonekana hawana msimamo na hawajui wanacho kitaka wala kukisimamia jambo ambalo litawaondolea credibility ya kisiasa kwa wananchi. Mtego mkubwa kweli huu.

USHAURI WANGU :

Chadema walipaswa kujifunza mbinu za kijasusi jinsi ya kushinda uchaguzi na kuchukua dola, kupitia tume hii hii iliyopo. Kama. Wana watu smart, Inawezekana!!.
Chadema ni dude kubwa sana mbona mnateseka.
 
Criticaly,"nothing goes 4 nothing...."CHADEMA"inakwenda kufa kama NCCR MAGEUZI
If care is not taken.

Jina : Tundu Antipus Lissu.
Umri: Miaka 57.
Occupation: Mwenyekiti Chadema.
Idadi ya wabunge: Sifuri.
Idadi ya madiwani: Sifuri.
Idadi ya wenyeviti serikali za mitaa: O.

.. ..........

Jina : Zitto Kabwe.
Umri : 49.
Kazi : Kiongozi mkuu wa kambi ya upinzani kwenye Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Chama : ACT.

Idadi ya wabunge Tz Bara: 47.

Madiwani : 659.

Mameya : 10.

,.........

Lissu kaiweka Chadema pabaya mno kuliko wanavyo fikiri
 
Back
Top Bottom