PreGE2025 Lissu ameiweka Chadema kwenye mtego mbaya sana. Oneni hapa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
👉Chadema hawatoshiriki uchaguzi wa mwaka 2025 huku vyama vingine vyote Viki shiriki.

👉 CCM wataitumia hii situation kama fursa ya kuiua nguvu ya Chadema kwa kutengeneza "Chama Kikuu Cha Upinzani".

👉 Chama hicho kitakuwa ni ACT Wazalendo. Kitapewa viti vya kutosha bungeni na kwenye udiwani. Sababu itakuwa ni kuionyesha dunia kwamba Uchaguzi ulio fanyika Tanzania ni wa huru na haki. Hoja ya Tume Huru ya Uchaguzi utazikwa rasmi kwa sababu itaonekana haina mashiko.

👉 Kwa miaka yote mitano Chadema haitosikika kwenye majukwaa rasmi ya kisiasa( Bungeni etc) . Wakati huo huo kwa kushirikiana na CCM kimkakati, watatengenezwa wabunge machachari kutoka ACT ambao watakuwa wanaibua hoja nzito ambazo zitakuwa zinafanyiwa kazi.

👉 Wa Tanzania wengi watavutiwa na ACT kwa kuiona chama chenye mipango na mikakati inayo tekelezeka.

PICHA LITAANZA RASMI MWAKA 2030.
....................

1. Kwanza kabla ya yote wakati huo Lissu atakuwa na miaka 62.

2. Hakutakuwa na Tume Huru ya Uchaguzi( Anayo itaka Lissu) na badala yake tume itakuwa hii hii.

NGOMA ITAKUWA HAPA? 👇👇👇
.................................

👉 Chadema ili kuendelea kujiheshimisha kwa wafuasi wao ( Yericko Nyerere anawaita wanaharakati wa mitandaoni) itabidi iendelee kushikilia msimamo wake wa kutoshikiriki uchaguzi.

👉 Tume ya uchaguzi haitobadilishwa.

👉 Chadema hawatoshiriki tena uchaguzi. Uchaguzi utafanyika. So Chadema wataendelea kuwa nje ya ulingo wa siasa rasmi kwa miaka mingine mitano. Wakiendelea na msimamo huu maana yake Chadema yenye wabunge, madiwani, mameya etc, itakuwa ndo imekufa hivyo.

👉 Hiyo mwaka 2030 Chadema wakisema washiriki uchaguzi bila mabadiliko ya Tume wanayo yataka wao, wataonekana hawana msimamo na hawajui wanacho kitaka wala kukisimamia jambo ambalo litawaondolea credibility ya kisiasa kwa wananchi. Mtego mkubwa kweli huu.

USHAURI WANGU :

Chadema walipaswa kujifunza mbinu za kijasusi jinsi ya kushinda uchaguzi na kuchukua dola, kupitia tume hii hii iliyopo. Kama. Wana watu smart, Inawezekana!!.
Wanaofikiri kutoshiriki kwa Chama kwenye uchaguzi ndiyo mwisho wake wajiulize: Swali ni: Je, kuna chama chochote cha siasa ambacho kilipigwa marufuku kushiriki katika chaguzi ambazo baadaye kiliingia madarakani? Jibu ni Ndiyo, kuna matukio kadhaa katika historia ambapo vyama vya siasa ambavyo awali vilipigwa marufuku au kukandamizwa viliingia madarakani baadaye. Hapa kuna mifano michache mashuhuri:
1. African National Congress (ANC) - Afrika Kusini: ANC ilipigwa marufuku mwaka 1960 chini ya utawala wa ubaguzi wa rangi. Licha ya kuwa vuguvugu la chinichini kwa miaka mingi, hatimaye liliibuka kama nguvu inayoongoza dhidi ya ubaguzi wa rangi. Baada ya miaka mingi ya mapambano, ANC ilihalalishwa tena mwaka 1990, na ilishinda uchaguzi wa kwanza wa rangi mbalimbali mwaka 1994, na kupelekea Nelson Mandela kuwa rais wa kwanza mweusi.
2. Fatah - Palestine: Chama cha Fatah, ambacho kilihusishwa kwa kiasi kikubwa na Chama cha Ukombozi wa Palestina (PLO), kilikabiliwa na ukandamizaji na kupigwa marufuku na tawala mbalimbali katika eneo hilo. Hata hivyo, baadaye kilikuja kuwa nguvu kubwa ya kisiasa katika ardhi za Palestina baada ya kuanzishwa kwa Mamlaka ya Ndani ya Palestina.
3. Chama cha Bolshevik - Russia: Kikundi cha Wabolshevik cha Chama cha Russian Social Democratic Labour kilipigwa marufuku na kukandamizwa baada ya mapinduzi yaliyoshindwa ya 1905. Hata hivyo, kilijipanga upya na hatimaye kuingia madarakani wakati wa Mapinduzi ya Oktoba mwaka wa 1917, na kusababisha kuanzishwa kwa Urusi ya Kisovieti.
4. Chama cha Kitaifa cha Wafanyakazi wa Kijamii cha Kisoshalisti (NSDAP) - Ujerumani: Chama cha Nazi kilipigwa marufuku baada ya Vita vya Kwanza vya Kidunia na wakati wa Jamhuri ya Weimar kutokana na maoni yake yenye msimamo mkali. Hatimaye ilipanda madarakani kihalali kupitia uchaguzi mapema miaka ya 1930, na kupelekea Adolf Hitler kuwa Chansela mwaka wa 1933.
5. Chama cha Sinn Féin - Ireland: Sinn Féin ilipigwa marufuku kwa nyakati tofauti na ilikabiliwa na upinzani mkubwa wa kiserikali, hasa wakati wa Shida. Hata hivyo, baadaye ikawa nguvu kubwa ya kisiasa katika Ireland Kaskazini na Jamhuri ya Ireland, ikishiriki katika uchaguzi na kuunda serikali.
Mifano hii inaonyesha kwamba mienendo ya kisiasa inaweza kubadilika kwa kiasi kikubwa baada ya muda, kuruhusu vyama vilivyopigwa marufuku au vilivyokandamizwa hatimaye kupata mamlaka na ushawishi. Si mwana CHADEMA ila bado naona kuukosa uchaguzi mmoja siyo kifo chake. Heri iwe kwenye rekodi kuwa chama fulani kilikataa “maadili” yasiyo adilifu.

Ameandika askofu Severin Niwemugizi
 
Ndo wanaenda kuchukua nafasi ya Chadema
Kumbuka nimeandika kuna msimu mpya u karibu sanaa na katika msimu huo ni either chadema au ccm mpya ndo watawale. ACT haina ubavu wa kuwa mbadala wa cha CDM kwa sasa najua wanatamani sana kuwa hivyo na pengine hata wewe unatamani sana iwe hivyo lakini hesabu za yale Mungu anayotaka kuyafanya msimu huo mpya kwa Tanzania zinakataa kabisaa ACT kuwa mbadala wa CDM Mungu akishatimiza kusudi lake miaka kadhaa baadae labda ACT inaweza kuwa mbadala ila kwa msimu ulio mbele siku chache sana zijazo ACT kamwe haiwezi kuwa mbadala wa CDM.
 
How?

Strong vipi Vila wabunge na madiwani miaka mitano huku wenzao ACT wakiwa na wabunge na madiwani?
Kwani miaka hii mitano inayoisha cdm ina wabunge wangapi achana na covid-19 na yule wa kifuta machozi Aida Kenani?
 
Wanaofikiri kutoshiriki kwa Chama kwenye uchaguzi ndiyo mwisho wake wajiulize: Swali ni: Je, kuna chama chochote cha siasa ambacho kilipigwa marufuku kushiriki katika chaguzi ambazo baadaye kiliingia madarakani? Jibu ni Ndiyo, kuna matukio kadhaa katika historia ambapo vyama vya siasa ambavyo awali vilipigwa marufuku au kukandamizwa viliingia madarakani baadaye. Hapa kuna mifano michache mashuhuri:
1. African National Congress (ANC) - Afrika Kusini: ANC ilipigwa marufuku mwaka 1960 chini ya utawala wa ubaguzi wa rangi. Licha ya kuwa vuguvugu la chinichini kwa miaka mingi, hatimaye liliibuka kama nguvu inayoongoza dhidi ya ubaguzi wa rangi. Baada ya miaka mingi ya mapambano, ANC ilihalalishwa tena mwaka 1990, na ilishinda uchaguzi wa kwanza wa rangi mbalimbali mwaka 1994, na kupelekea Nelson Mandela kuwa rais wa kwanza mweusi.
2. Fatah - Palestine: Chama cha Fatah, ambacho kilihusishwa kwa kiasi kikubwa na Chama cha Ukombozi wa Palestina (PLO), kilikabiliwa na ukandamizaji na kupigwa marufuku na tawala mbalimbali katika eneo hilo. Hata hivyo, baadaye kilikuja kuwa nguvu kubwa ya kisiasa katika ardhi za Palestina baada ya kuanzishwa kwa Mamlaka ya Ndani ya Palestina.
3. Chama cha Bolshevik - Russia: Kikundi cha Wabolshevik cha Chama cha Russian Social Democratic Labour kilipigwa marufuku na kukandamizwa baada ya mapinduzi yaliyoshindwa ya 1905. Hata hivyo, kilijipanga upya na hatimaye kuingia madarakani wakati wa Mapinduzi ya Oktoba mwaka wa 1917, na kusababisha kuanzishwa kwa Urusi ya Kisovieti.
4. Chama cha Kitaifa cha Wafanyakazi wa Kijamii cha Kisoshalisti (NSDAP) - Ujerumani: Chama cha Nazi kilipigwa marufuku baada ya Vita vya Kwanza vya Kidunia na wakati wa Jamhuri ya Weimar kutokana na maoni yake yenye msimamo mkali. Hatimaye ilipanda madarakani kihalali kupitia uchaguzi mapema miaka ya 1930, na kupelekea Adolf Hitler kuwa Chansela mwaka wa 1933.
5. Chama cha Sinn Féin - Ireland: Sinn Féin ilipigwa marufuku kwa nyakati tofauti na ilikabiliwa na upinzani mkubwa wa kiserikali, hasa wakati wa Shida. Hata hivyo, baadaye ikawa nguvu kubwa ya kisiasa katika Ireland Kaskazini na Jamhuri ya Ireland, ikishiriki katika uchaguzi na kuunda serikali.
Mifano hii inaonyesha kwamba mienendo ya kisiasa inaweza kubadilika kwa kiasi kikubwa baada ya muda, kuruhusu vyama vilivyopigwa marufuku au vilivyokandamizwa hatimaye kupata mamlaka na ushawishi. Si mwana CHADEMA ila bado naona kuukosa uchaguzi mmoja siyo kifo chake. Heri iwe kwenye rekodi kuwa chama fulani kilikataa “maadili” yasiyo adilifu.

Ameandika askofu Severin Niwemugizi
Askofu amechanganya madesa. Chadema hawajapigwa marufuku kushiriki uchaguzi. Wamesusia uchaguzi
 
👉Chadema hawatoshiriki uchaguzi wa mwaka 2025 huku vyama vingine vyote Viki shiriki.

👉 CCM wataitumia hii situation kama fursa ya kuiua nguvu ya Chadema kwa kutengeneza "Chama Kikuu Cha Upinzani".

👉 Chama hicho kitakuwa ni ACT Wazalendo. Kitapewa viti vya kutosha bungeni na kwenye udiwani. Sababu itakuwa ni kuionyesha dunia kwamba Uchaguzi ulio fanyika Tanzania ni wa huru na haki. Hoja ya Tume Huru ya Uchaguzi utazikwa rasmi kwa sababu itaonekana haina mashiko.

👉 Kwa miaka yote mitano Chadema haitosikika kwenye majukwaa rasmi ya kisiasa( Bungeni etc) . Wakati huo huo kwa kushirikiana na CCM kimkakati, watatengenezwa wabunge machachari kutoka ACT ambao watakuwa wanaibua hoja nzito ambazo zitakuwa zinafanyiwa kazi.

👉 Wa Tanzania wengi watavutiwa na ACT kwa kuiona chama chenye mipango na mikakati inayo tekelezeka.

PICHA LITAANZA RASMI MWAKA 2030.
....................

1. Kwanza kabla ya yote wakati huo Lissu atakuwa na miaka 62.

2. Hakutakuwa na Tume Huru ya Uchaguzi( Anayo itaka Lissu) na badala yake tume itakuwa hii hii.

NGOMA ITAKUWA HAPA? 👇👇👇
.................................

👉 Chadema ili kuendelea kujiheshimisha kwa wafuasi wao ( Yericko Nyerere anawaita wanaharakati wa mitandaoni) itabidi iendelee kushikilia msimamo wake wa kutoshikiriki uchaguzi.

👉 Tume ya uchaguzi haitobadilishwa.

👉 Chadema hawatoshiriki tena uchaguzi. Uchaguzi utafanyika. So Chadema wataendelea kuwa nje ya ulingo wa siasa rasmi kwa miaka mingine mitano. Wakiendelea na msimamo huu maana yake Chadema yenye wabunge, madiwani, mameya etc, itakuwa ndo imekufa hivyo.

👉 Hiyo mwaka 2030 Chadema wakisema washiriki uchaguzi bila mabadiliko ya Tume wanayo yataka wao, wataonekana hawana msimamo na hawajui wanacho kitaka wala kukisimamia jambo ambalo litawaondolea credibility ya kisiasa kwa wananchi. Mtego mkubwa kweli huu.

USHAURI WANGU :

Chadema walipaswa kujifunza mbinu za kijasusi jinsi ya kushinda uchaguzi na kuchukua dola, kupitia tume hii hii iliyopo. Kama. Wana watu smart, Inawezekana!!.
NO REFORMS NO ELECTION ndo mpango mzima.
Hao wenye ndoto za kuwa vyama vikuu vya upinzani
watasubiri sanau Tusiongee mengi tusubiri ifike oktoba.
wenye ccemu yao wameichoka,sasa hao wanaosubiri kuokota mizoga wataipata wapi wakati simba
anayejua kukamata na kuua nyati kauwawa?
 
Hakuna CCM alie ichoka CCM tusidanganyane kama watoto wadogo
 
NO REFORM NO ELECTION imeshafeli tayari
 
Hakuna CCM alie ichoka CCM tusidanganyane kama watoto wadogo
Nimekwambia tusiongee mengi tusubiri muda uongee,
hakuna anayependa kuishi amepiga magoti,ukiona unashangiliwa
usisahau kuwa hata idd amin alikuwa na wapambe,lakini alipokutwa na yaliyomkuta aliikimbia ikulu peke yake.
 
Aisee
 
👉Chadema hawatoshiriki uchaguzi wa mwaka 2025 huku vyama vingine vyote Viki shiriki.

👉 CCM wataitumia hii situation kama fursa ya kuiua nguvu ya Chadema kwa kutengeneza "Chama Kikuu Cha Upinzani".

👉 Chama hicho kitakuwa ni ACT Wazalendo. Kitapewa viti vya kutosha bungeni na kwenye udiwani. Sababu itakuwa ni kuionyesha dunia kwamba Uchaguzi ulio fanyika Tanzania ni wa huru na haki. Hoja ya Tume Huru ya Uchaguzi utazikwa rasmi kwa sababu itaonekana haina mashiko.

👉 Kwa miaka yote mitano Chadema haitosikika kwenye majukwaa rasmi ya kisiasa( Bungeni etc) . Wakati huo huo kwa kushirikiana na CCM kimkakati, watatengenezwa wabunge machachari kutoka ACT ambao watakuwa wanaibua hoja nzito ambazo zitakuwa zinafanyiwa kazi.

👉 Wa Tanzania wengi watavutiwa na ACT kwa kuiona chama chenye mipango na mikakati inayo tekelezeka.

PICHA LITAANZA RASMI MWAKA 2030.
....................

1. Kwanza kabla ya yote wakati huo Lissu atakuwa na miaka 62.

2. Hakutakuwa na Tume Huru ya Uchaguzi( Anayo itaka Lissu) na badala yake tume itakuwa hii hii.

NGOMA ITAKUWA HAPA? 👇👇👇
.................................

👉 Chadema ili kuendelea kujiheshimisha kwa wafuasi wao ( Yericko Nyerere anawaita wanaharakati wa mitandaoni) itabidi iendelee kushikilia msimamo wake wa kutoshikiriki uchaguzi.

👉 Tume ya uchaguzi haitobadilishwa.

👉 Chadema hawatoshiriki tena uchaguzi. Uchaguzi utafanyika. So Chadema wataendelea kuwa nje ya ulingo wa siasa rasmi kwa miaka mingine mitano. Wakiendelea na msimamo huu maana yake Chadema yenye wabunge, madiwani, mameya etc, itakuwa ndo imekufa hivyo.

👉 Hiyo mwaka 2030 Chadema wakisema washiriki uchaguzi bila mabadiliko ya Tume wanayo yataka wao, wataonekana hawana msimamo na hawajui wanacho kitaka wala kukisimamia jambo ambalo litawaondolea credibility ya kisiasa kwa wananchi. Mtego mkubwa kweli huu.

USHAURI WANGU :

Chadema walipaswa kujifunza mbinu za kijasusi jinsi ya kushinda uchaguzi na kuchukua dola, kupitia tume hii hii iliyopo. Kama. Wana watu smart, Inawezekana!!.
Nafikiri wewe unaweza zaidi kuelezea uchawi na sio siasa
 
Deception with hallucinations can kill beings Fake in real life, live life like fake emage in reality!
 
Back
Top Bottom