PreGE2025 Lissu ameiweka Chadema kwenye mtego mbaya sana. Oneni hapa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
JPM alitaka CHADEMA ife matokeo yake kafa yeye CHADEMA bado inadunda!
Kwa ilipofikia, haiwezi kufa...we angalia mfano mdogo tu mama matangazo kila mahali kote nchini bado watu kibao hawajamkubali...Lissu kagusa kusini kdg tu lakini mama kapata hafu hadi kampa kesi ya uhaini...je ushindani ungekuwa sawa hali ingekuwaje?!
 
Kwa miaka minne plus chadema haina wabunge wa maana bungeni (Usiniambie covid-19 au Aida Kenani kuwa ni wabunge wa maana), kama haikufa wakati huo basi ni ngumu kufa kwa miaka kadhaa ijayo.
Upinzani kwa maana ya kutokukubaliana na CCM namna inavyotawala kupo mioyoni mwa wengi na ni ukweli ulio wazi kuwa pasipo nguvu za vyombo vya dola, uchawi, wizi, n.k CCM isingekuwa madarakani leo hii.

Kizazi cha wanaoipenda CCM, kimepungua sana, kizazi cha kudanganywa kwa pilau, kofia, khanga, tshirt kimepungua sana.

Kingine ni wakati, wakati huu hauihitaji CCM hii ya sasa, wakati unahitaji chama kingine, au CCM mpya na siyo hii ya sasa, hivyo basi kamwe Watch100 hawezi kuwa rais tena, na hata akifosi akawa atang'oka either kwa heri au shari, kuna nguvu kubwa sana za kiroho zitakazomuondoa. Iko hivi kuna msimu mpya soon unaanza Tanzania na kutakuwa na new Sheriff and systems in town. Msimu huu kaupanga Mungu mwenyewe kamwe hakuna wa kuzuia na ili alichokipanga Mungu kitimie lazima Watch100 ang'oke.
HIVI HATA MCHANA WATU WANAOTA NDOTO EEE?? JAMAA SIJUI KALALA SEHEMU GANI ANAOTA NDOTO ZAKE MWENYEWE KAAMKA KAJA KUSIMULIA HUMU AISEE KAZI MNAO CHADEMA
 
Message sent
Unapolala wewe wenzako waliamka jana.
Hii ni sayansi ya siasa.
Nakuhakikishia katika hili chadema ni mshindi, ccm sasa hivi wanalaumiana tu.

Muziki wa Lissu unachezwa hadi na ajuza...subiri utaona
 
Askofu amechanganya madesa. Chadema hawajapigwa marufuku kushiriki uchaguzi. Wamesusia uchaguzi
Hawakusaini maadili, hivyo Tume ya Uchaguzi imewapiga stop kutoshiriki uchaguzi kwa miaka mitano, hii ikimaanisha kuwa ndani ya muda huo hata kama utatokea uchaguzi mdogo haitaruhusiwa kushiriki
 
👉 Chama hicho kitakuwa ni ACT Wazalendo. Kitapewa viti vya kutosha bungeni na kwenye udiwani. Sababu itakuwa ni kuionyesha dunia kwamba Uchaguzi ulio fanyika Tanzania ni wa huru na haki. Hoja ya Tume Huru ya Uchaguzi utazikwa rasmi kwa sababu itaonekana haina mashiko.

Kwa nini kipewe hivyo viti ?
Kwa hiyo ni sahihi kabisa kwa chadema kupinga mfumo huu mbovu wa uchaguzi ambao uliopo.
Kwa thread hii inaonyesha jinsi ulivyo na akili finyu ambazo zinakubaliana na mfumo mbovu wa uchaguzi ambao hautoi fursa kwa wananchi kuchagua wawakilishi wao isipokuwa mfumo unaowaletea wananchi wawakilishi wabovu ambao haijawachagua bali wa kupewa.
You are a very stupid idiot
 
👉Chadema hawatoshiriki uchaguzi wa mwaka 2025 huku vyama vingine vyote Viki shiriki.

👉 CCM wataitumia hii situation kama fursa ya kuiua nguvu ya Chadema kwa kutengeneza "Chama Kikuu Cha Upinzani".

👉 Kwa miaka yote mitano Chadema haitosikika kwenye majukwaa rasmi ya kisiasa( Bungeni etc) . Wakati huo huo kwa kushirikiana na CCM kimkakati, watatengenezwa wabunge machachari kutoka ACT ambao watakuwa wanaibua hoja nzito ambazo zitakuwa zinafanyiwa kazi.

👉 Wa Tanzania wengi watavutiwa na ACT kwa kuiona chama chenye mipango na mikakati inayo tekelezeka.

PICHA LITAANZA RASMI MWAKA 2030.
....................

1. Kwanza kabla ya yote wakati huo Lissu atakuwa na miaka 62.

2. Hakutakuwa na Tume Huru ya Uchaguzi( Anayo itaka Lissu) na badala yake tume itakuwa hii hii.

NGOMA ITAKUWA HAPA? 👇👇👇
.................................

👉 Chadema ili kuendelea kujiheshimisha kwa wafuasi wao ( Yericko Nyerere anawaita wanaharakati wa mitandaoni) itabidi iendelee kushikilia msimamo wake wa kutoshikiriki uchaguzi.

👉 Tume ya uchaguzi haitobadilishwa.

👉 Chadema hawatoshiriki tena uchaguzi. Uchaguzi utafanyika. So Chadema wataendelea kuwa nje ya ulingo wa siasa rasmi kwa miaka mingine mitano. Wakiendelea na msimamo huu maana yake Chadema yenye wabunge, madiwani, mameya etc, itakuwa ndo imekufa hivyo.

👉 Hiyo mwaka 2030 Chadema wakisema washiriki uchaguzi bila mabadiliko ya Tume wanayo yataka wao, wataonekana hawana msimamo na hawajui wanacho kitaka wala kukisimamia jambo ambalo litawaondolea credibility ya kisiasa kwa wananchi. Mtego mkubwa kweli huu.

USHAURI WANGU :

Chadema walipaswa kujifunza mbinu za kijasusi jinsi ya kushinda uchaguzi na kuchukua dola, kupitia tume hii hii iliyopo. Kama. Wana watu smart, Inawezekana!!.
Katika members ambao ni mananga wewe unaongoza. Inaonyesha elimu yako ni ndogo sana na possibly unaamini waganga wa kienyeji. Thread zako zote hapa ni za kipuuzi.
 
Upo sahihi kabisa mkuu🙏🙏🙏
 
🤣🤣🤣

Nafurahi jinsi unavyo wajibu wanao kutukana
Mtu mjinga mjinga kama huyo haina haja kupoteza muda kubishana nae. Hoja zangu hata mtoto darasa la sababu akisoma anayaona mashiko yake.
 
Kwa nini kipewe hivyo viti ?
Kwa hiyo ni sahihi kabisa kwa chadema kupinga mfumo huu mbovu wa uchaguzi ambao uliopo.
Kwa thread hii inaonyesha jinsi ulivyo na akili finyu ambazo zinakubaliana na mfumo mbovu wa uchaguzi ambao hautoi fursa kwa wananchi kuchagua wawakilishi wao isipokuwa mfumo unaowaletea wananchi wawakilishi wabovu ambao haijawachagua bali wa kupewa.
You are a very stupid idiot
Sikubaliani na mfumo mbovu Ila nakubaliana na uhalisia.

Suluhisho sio kukwwepa uchaguzi Ila ni kutumia mbinu za kijasusi kuwashinda CCM kwenye uchaguzi kwa tume Yao wenyewe.

Sikujua kama hata wainjilisti huwa wanatukana.

Najua kutukana hufanya watu wenye mapepo
 
Suala hapa si ushindi wa ccm

Suala si ACT kuwa chama kikuu cha upinzania.

Kuna masuala lazima yapatiwe ufumbuzi.

-Ajira-ma elfu ya wanafunzi wanapewa mikopo kusoma elimu ya juu, wanafundishwa kuajiriwa na ajira hakuna! ACT au ccm wanatatuaje hili?

-Matumizi mabaya ya fedha za umma, kama inavyolipotiwa na CAG. ACT au ccm wanazuiaje?

-Huduma za kijamii za msingi wengi hawapati. ACT au ccm wanafanyaje kuhakikisha upatikanaji wake?

-nk nk
 
Mashaka tu na usisiem ndani yake, watanzania sio wajinga tena waamuliwe na lumumba
 
Suala hapa si ushindi wa ccm

Suala si ACT kuwa chama kikuu cha upinzania.

Kuna masuala lazima yapatiwe ufumbuzi.

-Ajira-ma elfu ya wanafunzi wanapewa mikopo kusoma elimu ya juu, wanafundishwa kuajiriwa na ajira hakuna! ACT au ccm wanatatuaje hili?

-Matumizi mabaya ya fedha za umma, kama inavyolipotiwa na CAG. ACT au ccm wanazuiaje?

-Huduma za kijamii za msingi wengi hawapati. ACT au ccm wanafanyaje kuhakikisha upatikanaji wake?

-nk nk
CCM na ACT ndio wawasaidie graduates kutatua tatizo la ajira
 
👉Chadema hawatoshiriki uchaguzi wa mwaka 2025 huku vyama vingine vyote Viki shiriki.

👉 CCM wataitumia hii situation kama fursa ya kuiua nguvu ya Chadema kwa kutengeneza "Chama Kikuu Cha Upinzani".

👉 Chama hicho kitakuwa ni ACT Wazalendo. Kitapewa viti vya kutosha bungeni na kwenye udiwani. Sababu itakuwa ni kuionyesha dunia kwamba Uchaguzi ulio fanyika Tanzania ni wa huru na haki. Hoja ya Tume Huru ya Uchaguzi utazikwa rasmi kwa sababu itaonekana haina mashiko.

👉 Kwa miaka yote mitano Chadema haitosikika kwenye majukwaa rasmi ya kisiasa( Bungeni etc) . Wakati huo huo kwa kushirikiana na CCM kimkakati, watatengenezwa wabunge machachari kutoka ACT ambao watakuwa wanaibua hoja nzito ambazo zitakuwa zinafanyiwa kazi.

👉 Wa Tanzania wengi watavutiwa na ACT kwa kuiona chama chenye mipango na mikakati inayo tekelezeka.

PICHA LITAANZA RASMI MWAKA 2030.
....................

1. Kwanza kabla ya yote wakati huo Lissu atakuwa na miaka 62.

2. Hakutakuwa na Tume Huru ya Uchaguzi( Anayo itaka Lissu) na badala yake tume itakuwa hii hii.

NGOMA ITAKUWA HAPA? 👇👇👇
.................................

👉 Chadema ili kuendelea kujiheshimisha kwa wafuasi wao ( Yericko Nyerere anawaita wanaharakati wa mitandaoni) itabidi iendelee kushikilia msimamo wake wa kutoshikiriki uchaguzi.

👉 Tume ya uchaguzi haitobadilishwa.

👉 Chadema hawatoshiriki tena uchaguzi. Uchaguzi utafanyika. So Chadema wataendelea kuwa nje ya ulingo wa siasa rasmi kwa miaka mingine mitano. Wakiendelea na msimamo huu maana yake Chadema yenye wabunge, madiwani, mameya etc, itakuwa ndo imekufa hivyo.

👉 Hiyo mwaka 2030 Chadema wakisema washiriki uchaguzi bila mabadiliko ya Tume wanayo yataka wao, wataonekana hawana msimamo na hawajui wanacho kitaka wala kukisimamia jambo ambalo litawaondolea credibility ya kisiasa kwa wananchi. Mtego mkubwa kweli huu.

USHAURI WANGU :

Chadema walipaswa kujifunza mbinu za kijasusi jinsi ya kushinda uchaguzi na kuchukua dola, kupitia tume hii hii iliyopo. Kama. Wana watu smart, Inawezekana!!.
You are stupid
 
👉 CCM wataitumia hii situation kama fursa ya kuiua nguvu ya Chadema kwa kutengeneza "Chama Kikuu Cha Upinzani".
Hakuna ndoto kama hio, njoooni huku mikoani muone! Huku Watu wako serious na SIASA
 
CDM wameamua kupigania haki na sio kushiriki kwenye sinema za kuwahadaa Watanzania.

Bora CDM Ife kuliko kushiriki kwenye dhambi ya kudhulumu haki za watu.
 
Back
Top Bottom