PreGE2025 Lissu ameiweka Chadema kwenye mtego mbaya sana. Oneni hapa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
JPM alitaka CHADEMA ife matokeo yake kafa yeye CHADEMA bado inadunda!
Kwa ilipofikia, haiwezi kufa...we angalia mfano mdogo tu mama matangazo kila mahali kote nchini bado watu kibao hawajamkubali...Lissu kagusa kusini kdg tu lakini mama kapata hafu hadi kampa kesi ya uhaini...je ushindani ungekuwa sawa hali ingekuwaje?!
 
HIVI HATA MCHANA WATU WANAOTA NDOTO EEE?? JAMAA SIJUI KALALA SEHEMU GANI ANAOTA NDOTO ZAKE MWENYEWE KAAMKA KAJA KUSIMULIA HUMU AISEE KAZI MNAO CHADEMA
 
Message sent
Unapolala wewe wenzako waliamka jana.
Hii ni sayansi ya siasa.
Nakuhakikishia katika hili chadema ni mshindi, ccm sasa hivi wanalaumiana tu.

Muziki wa Lissu unachezwa hadi na ajuza...subiri utaona
 
Askofu amechanganya madesa. Chadema hawajapigwa marufuku kushiriki uchaguzi. Wamesusia uchaguzi
Hawakusaini maadili, hivyo Tume ya Uchaguzi imewapiga stop kutoshiriki uchaguzi kwa miaka mitano, hii ikimaanisha kuwa ndani ya muda huo hata kama utatokea uchaguzi mdogo haitaruhusiwa kushiriki
 

Kwa nini kipewe hivyo viti ?
Kwa hiyo ni sahihi kabisa kwa chadema kupinga mfumo huu mbovu wa uchaguzi ambao uliopo.
Kwa thread hii inaonyesha jinsi ulivyo na akili finyu ambazo zinakubaliana na mfumo mbovu wa uchaguzi ambao hautoi fursa kwa wananchi kuchagua wawakilishi wao isipokuwa mfumo unaowaletea wananchi wawakilishi wabovu ambao haijawachagua bali wa kupewa.
You are a very stupid idiot
 
Katika members ambao ni mananga wewe unaongoza. Inaonyesha elimu yako ni ndogo sana na possibly unaamini waganga wa kienyeji. Thread zako zote hapa ni za kipuuzi.
 
Katika members ambao ni mananga wewe unaongoza. Inaonyesha elimu yako ni ndogo sana na possibly unaamini waganga wa kienyeji. Thread zako zote hapa ni za kipuuzi.
Upo sahihi kabisa mkuuπŸ™πŸ™πŸ™
 
🀣🀣🀣

Nafurahi jinsi unavyo wajibu wanao kutukana
Mtu mjinga mjinga kama huyo haina haja kupoteza muda kubishana nae. Hoja zangu hata mtoto darasa la sababu akisoma anayaona mashiko yake.
 
Sikubaliani na mfumo mbovu Ila nakubaliana na uhalisia.

Suluhisho sio kukwwepa uchaguzi Ila ni kutumia mbinu za kijasusi kuwashinda CCM kwenye uchaguzi kwa tume Yao wenyewe.

Sikujua kama hata wainjilisti huwa wanatukana.

Najua kutukana hufanya watu wenye mapepo
 
Suala hapa si ushindi wa ccm

Suala si ACT kuwa chama kikuu cha upinzania.

Kuna masuala lazima yapatiwe ufumbuzi.


-Ajira-ma elfu ya wanafunzi wanapewa mikopo kusoma elimu ya juu, wanafundishwa kuajiriwa na ajira hakuna! ACT au ccm wanatatuaje hili?

-Matumizi mabaya ya fedha za umma, kama inavyolipotiwa na CAG. ACT au ccm wanazuiaje?

-Huduma za kijamii za msingi wengi hawapati. ACT au ccm wanafanyaje kuhakikisha upatikanaji wake?

-nk nk
 
Mashaka tu na usisiem ndani yake, watanzania sio wajinga tena waamuliwe na lumumba
 
CCM na ACT ndio wawasaidie graduates kutatua tatizo la ajira
 
You are stupid
 
πŸ‘‰ CCM wataitumia hii situation kama fursa ya kuiua nguvu ya Chadema kwa kutengeneza "Chama Kikuu Cha Upinzani".
Hakuna ndoto kama hio, njoooni huku mikoani muone! Huku Watu wako serious na SIASA
 
CDM wameamua kupigania haki na sio kushiriki kwenye sinema za kuwahadaa Watanzania.

Bora CDM Ife kuliko kushiriki kwenye dhambi ya kudhulumu haki za watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…