Pre GE2025 Lissu amjibu Wenje, asema aliudanganya umma kuhusu suala la Abdul

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
M
Mbowe=Wenje=Abdul=Lissu=Msigwa=CCM
Mi sijaelewa watu wanataka au wameshahongwa ili wafanye nini. ??!

Wasigombee kwenye uchaguzi au wampigie kura Nani ?!

Basi huyo anayeitwa Abdul’s anamijihela kweli kweli !!
Basi kama ni hivyo na Mimi naihitaji hiyo mijihela ya sadaka !
Nipo pande hii ya kanda ya Ziwa !
Karibu na Maganzo !
 
Inji hii ukitaka ushughulikiwe chapchap jaribu kuwa Msema Kweli uone cha mtema kuni !
Hiyo haina ubishi !
Wanasemaga huyu ana Kiherehere sana ! 😳
 
ab
abdul wa mama anaishi dubai,adamu malima Alikuwa anaishi ulaya hadi alipoitwa kuja kuchukuwa ubunge hatimae uwaziri,na ukihitaji wengine pia nitakutajia,hata hivyo sheria ya uraia pacha imefanyiwa marekebisho sasa diaspora wana special status hapa nchini hivyo hiyo sio issue kwa sassa
 
..tusubiri Wenje atasema nini.

..au hata Abduli anaweza kujitokeza pia.
Maelezo yao bila vithibitisho ni kelele tu, tunataka uthibitisho wa maelezo yao, lakini siyo maneno matupu.
Ushahidi usioacha shaka, receipt za malipo, au account zilipowekwa na kutoka, kama cash basi video, au audio za makubaliano yao.
 
Wewe ukishakariri kuwa mbowe ni mungu wako ni vigumu ukubali chochote hivyo ngoja tukuache umsaidie mbowe kuwa mwenyekiti wa kudumu chadema iwe ni safari yenu kuelekea kwa TLP NCCR na CUF
Hahaha wafuasi wa Lisu mnaminyoi kweli.
Mnamuamini sana.
 
Wewe unajua sheria kuliko Lissu?

Wewe unadhani watoa rushwa wanatoa risiti?

Msikilize Lissu (Kwenye Audio Part3) usikie jinsi walivyojaribu kumtega na kumcorner kwenye kamati kuu , ila Ushahidi wake mbele ya kamati kuu ukathibitishwa na mtu mwingine (Marehemu) ndani ya chama, Wakajaribu kurekodi video ya kikao hicho, alipowanyoosha hata video hiyo hawakuitoa!
 
Baada ya kumsikiliza Lissu nimejiridhisha kuwa hayuko sawa, ana shida mahali aidha uelewa wake wa mambo ni mdogo au ana tatizo la kisaikolojia. Kwa maoni yangu atajitoa kabla ya siku ya uchaguzi kwa vile atakuwa ameshafanya damage iliyokusudiwa kwa CDM.
 
Kwa kukufichia aibu kijana, watoto wa Lissu walizaliwa Marekani ulitegemea kwa mfano baba yako angekuzalia Uingereza halafu anaporudi akurudishe huko mtogole ulipo? Mzazi yoyote mwenye akili hawezi kurudisha wanae shitholeni kama anajua wana access ya akili ya dunia, hata mzazi wako asingefanya. Acha chuki isiyo na msingi jenga hoja msiyemtaka kaja mnapambana nuruni na gizani!
 
Ila yeye kama baba analilia kuongoza shithole sio? Ahahahahaha!! Mwamba una akiliiii!!!!
 
Hahaha wewe uliuona huo ushahidi, au ulikuwepo kamati kuu, au kwasababu kasema Lisu?

Masikio yenu yanasikia sauti ya Lisu tu, na kuamini asemacho Lisu tu.

Wangapi wamesema, hamsikii na hamuamini?

Lisu alisema kikao kili rekodiwa, umeshaiona hiyo record ya kikao au audio yake? Au aliondoka nayo Abdul?

Hivyo kila mtu amuamini kwasababu tu, anajua sheria?
 
Ila yeye kama baba analilia kuongoza shithole sio? Ahahahahaha!! Mwamba una akiliiii!!!!
Unataka aende wapi? Nchi ya baba yake hii sio pagara lenu, yani hata hao wanae wakiamua baada ya kukamata mielimu watakuja tu kuongoza shithole, hamna shida na utabaki jf unamaliza miaka yako tu na chuki zako! Wasipokuja kufanya siasa watakua maCEO na wataongoza tu wakitaka!
 
Mimi nafikiri salama ya Chadema kama chama Cha siasa ni KUMFUKUZA LISSU uwanachama aidha kabla ya uchaguzi ili asiwaharibie chama au baada ya uchaguzi ili wabaki salama baada ya uchaguzi. Sababu Kuu ni kwamba "Mtu mstaarabu haropokiropoki!".
Kwanini asifukuzwe Wenje?

Kwanini mla rushwa anaruhusiwa kugombea umakamu wa Mwenyekiti?

Lissu anachofanya ni kuweka facts sawa. Labda kaamua kutoka nje baada ya kuona central commitee members hawachukui hatua yoyote maana Lissu anasema taarifa wanayo. Bila shaka na wao ni wanufaika wa hela za Mama Abdul
 
Mimi nafikiri salama ya Chadema kama chama Cha siasa ni KUMFUKUZA LISSU uwanachama aidha kabla ya uchaguzi ili asiwaharibie chama au baada ya uchaguzi ili wabaki salama baada ya uchaguzi. Sababu Kuu ni kwamba "Mtu mstaarabu haropokiropoki!".
Nenda uko mtu akiwa msema kweli kuwa kuna pesa chafu zinaingia ndani ya chama basi afukuzwe uwanachama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…