Pre GE2025 Lissu amjibu Wenje, asema aliudanganya umma kuhusu suala la Abdul

Pre GE2025 Lissu amjibu Wenje, asema aliudanganya umma kuhusu suala la Abdul

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wewe, mamaako, babaako, mkeo na watoto wako ndio wajinga. Mnang'ang'ania chama cha wenzenu. Mbowe kaishasema Chadema ni chama chake na akiona mambo yanaenda vibaya Kamanda anaingia kati. Nyinyi WAPUMBAVU mmeng'ang'ania tu! Kwanini msianzishe chenu!? Blood desh desh desh!!!
Kama chama ni chake uchaguzi wa nini?si abakie kuwa mfalume wa milele? afute uchaguzi abakie na chama chake
 
..watoto wa viongozi mbalimbali tena waadilifu wa nchi hii wanaishi nje.

..kwa mfano, watoto wa Mzee Paul Kimiti muasisi wa Ccm ni raia wa Uingereza na majuzi walipewa tuzo na malkia.

..pia watoto wa Prof.Kabudi wanaishi nje ya nchi na baba yao amesikika akisema hivyo.

..ukichunguza familia nyingi za vigogo wa Ccm watoto wao wamesoma academy, na nje ya nchi.
Shida si watoto shida ni watu kama wenje kuwa madalali, bila udalali wa wenje leo kusingekuwa na huu mjadala
 
Shida kubwa ya mbowe ni kuzungukwa na mazezeta watupu kila wakimshauri ujinga hakatai na sasa chawa wanavuna pesa zake kwa wingi, pesa zote alizofuja kifisadi zitaliwa na chawa wake ili wamsaidie kuchakachua uchaguzi awe mwenyekiti haramu wa milele ingawa chadema utaenda kuwa kama CUF TLP na NCCR endapo hatampigia magoti Lisu kumuomba awe mpole maisha yaendelee
 
Kwa jinsi hali ilivyokuwa wanufaika wa pesa za mbowe wakiongozwa na Halima mdee wamejipanga kuhakikisha uenyekiti wa mbowe unanunuliwa kwa gharama zozote kwani nje ya mbowe kuwa mwenyekiti hawatakuwa salama pia siri za ufisadi wa mbowe zinajulikana hivyo piga galagaza mbowe atakuwa mwenyekiti wa kudumu mpaka siku anazeeka na kuaga Dunia
 
Kwahiyo Wenje na Mwenyekiti wake walikula pesa za Abdul

Sasa aliyebaki kuhojiwa ni Abdul tu
 
Kwahiyo Wenje na Mwenyekiti wake walikula pesa za Abdul

Sasa aliyebaki kuhojiwa ni Abdul tu

..wabongo tungekuwa tunajitambua tungemng'ang'ania Abduli.

..Abduli akiachwa hivihivi atakwenda kuhonga na wengine.

..Na wabongo mfahamu Abduli naye atakuwa amehongwa, au amefisadi mahali fulani.

.
 
Mzee acha kufikiri kizamani yaani kisa uchaguzi kisa kampeni za kuongea ukweli afukuzwe kweli ? Tambua Lisu hata afukuzwe au aondoke mwenyewe au abaki kama mwanachama wa kawaida haitasaidia chadema kuwa salama mpaka Mbowe aache Tabia zake mbovu za Ubabe uchoyo ubinafsi kufuja pesa za chama kujipa mamlaka ya fedha za chama peke yake
Siasa za kupaka matope wenzako ili wewe uonekana mzuri ni siasa za ovyo kabisa. Mbowe amekuwa treated kama Untouchable ndani ya Chadema na Lissu amekuwa mojawapo wa watu waliomlinda Mbowe kipindi chote hicho. Usisahau Lissu akiwa Mwanasheria Mkuu ndiye aliyesimamia zoezi la kubadili Katiba ya Chadema ili Ayatollah Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti wa Chadema. Unaijua hili?

Kwanini leo baada ya Lissu kuupenda uwenyekiti ndio ionekane ni mbaya Mbowe kuendelea kuwa Mwenyekiti? Soma posts zangu za miaka ya 2009, 2014 na 2019 utaona nilivyopinga Mbowe kuendelea kuwa Mwenyekiti hadi nikambatiza cheo Cha Ayatollah! Ahahahahaha!! Halafu soma posts za watoa povu leo walivyokuwa wanamtetea Mbowe kuendelea kuwa Mwenyekiti.

Hawa wanaolalamika leo, kipindi kile sie tunalalamika Mbowe asizidi vipindi viwili WALIKWINA?
 
Kama chama ni chake uchaguzi wa nini?si abakie kuwa mfalume wa milele? afute uchaguzi abakie na chama chake
Mlimlea hivyo na Lissu alilitetea hilo na ninyi mlitetea hilo. Someni posts zenu za nyuma.
 
Wewe, mamaako, babaako, mkeo na watoto wako ndio wajinga. Mnang'ang'ania chama cha wenzenu. Mbowe kaishasema Chadema ni chama chake na akiona mambo yanaenda vibaya Kamanda anaingia kati. Nyinyi WAPUMBAVU mmeng'ang'ania tu! Kwanini msianzishe chenu!? Blood desh desh desh!!!
Uchawa ni janga kubwa sana Tanzania ila nilichogundua machawa wa chadema ni vilaza kuliko hata CCM
 
Huyo mtoa rushwa na wenje nla rushwa
Legally Abduli ni nani na Wenje ni nani? Unaikumbuka kesi Mzee Lyatonga Mrema aliposema "Mwenyekiti wa CCM ameramba rushwa ya milioni 500?" Unajua kwanini alishinda kesi?

Unajua kwanini Lissu alishinda kesi ya kuropoka "JPM ni dikteta uchwara?"
 
Lissu angekua mropokaji angekutwa na hatia kwenye kesi nyingi sana.
Nchi hii ukisema ukweli unachukiwa, Lisu anayaumbua majizi ndani ya chama anaitwa mropokaji, sawa na Magufuli alipambana kusafisha mafisadi ndani ya nchi,serikalini na kwenye chama chake akapigwa vita hadi akapelekwa futi sita aridhini,kweli majizi yana nguvu sn sidhani Lisu km atatoboa.
 
Back
Top Bottom