Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #41
Mnajifariji si ndio? Na nyie mpeni airtime huyo kibaraka wenu kwani shida Iko wapi? ππ
View: https://x.com/MfanyakaziNews/status/1870450392255062519?t=rWa8E8aCqn9z11gpnBErVw&s=19
Ni tuu pale waenguaji hawana maslahi na Mwenyekiti.Sabato Njema Wakuu!
Uamuzi wa Mbowe ni sahihi kwa HAKI yake ya kikatiba ila kwa heshima sio uamuzi sahihi. Kwani kushindwa kwake haitakuwa Jambo la kufurahisha na Jambo la heshima. Kustaafishwa kwa kuangukia pua haitakuwa historia nzuri kwa Mhe. Mbowe.
Nina uhakika Lisu atamshinda Mbowe kwa Sababu zifuatazo;
1. Kuondoa uchagadema ndani ya CHADEMA.
Wanachadema wengi hasa wanaotoka kanda zingine hata humu ndani hawafurahishwi na propaganda zinazoendelea kuhusu CHADEMA ni uchagadema.
Kumtoa Mbowe pale kutapunguza hayo madai.
2. Kuondoa kumuabudu mtu.
Kiongozi anapokaa Muda mrefu inajengeka Hali ya kumuogopa, kumuabudu, na yeye kukita mizizi.
Kwa sasa Hapana Shaka Mbowe ni kama mungu mtu hapo CHADEMA. Umungu mtu hutengeneza machawa na worship teams.
3. Wanachadema wengi hawataki kudai HAKI kwa kubembelezana.
Mbowe yeye hupenda kudai HAKI kwa njia ya kumlambalamba mtu miguu. Kumnyenyekea, mazungumzo na njia zote ambazo ni passive.
Kama mjuavyo Njia passive haziletagi matokeo ya haraka. Huweza kuchukua Miaka hata Mia moja. Tofauti na njia active.
CHADEMA wengi wanaamini kwa njia active ambazo Lisu naye huamini hivyo.
Kama CHADEMA ingetumia Njia active kwa kumaanisha Leo hii tungekuwa tunazungumzia habari nyingine hapa. Kariba mpya ingekuwa tayari, hayo mambo ya tume Huru ya uchaguzi yangekuwa mambo madogomadogo kuyashughulikia.
4. Kushindwa kwa Lisu ni kuanguka kwa CHADEMA.
Hilo liko wazi. Wengi wataleta ulinganifu wa sijui wakina Zitto, kina Slaa n.k.
Lakini Lisu lazima ashinde ili CHADEMA iwe hai.
Kwa sasa pale CHADEMA mtu pekee mwenye nafasi ya juu ambaye watu wanaomuona ni mpinzani wa kweli. Yaani anayemaanisha ni Lisu.
Lisu kushindwa ni upinzani kushindwa.
Matokeo ya uchaguzi yataisha Lisu Akiwa mbele kwa 53% Mbowe 46%
Tupumzike
Hata Kagame na Museveni huwaambia wananchi wao hivyo hivyo. Ukomo wa uongozi ni sehemu muhimu ya demokrasia.Tuache Demokrasia ichukue mkondo wake
Anzisheni chama chenu basi maana Wafuasi wa Mke wa Amsterdam mpo na pesa za chama chenu mtachangishana kama alivyowaambia huyo ropo ropo wenuCHADEMA Mmeiua nyie wapuuzi.
Vita inaelekea tamati.
Nakuhakikishia uchaguzi huu CCM wameibuka washindi
Anzisheni chama chenu basi maana Wafuasi wa Mke wa Amsterdam mpo na pesa za chama chenu mtachangishana kama alivyowaambia huyo ropo ropo wenu
Kama uchaguzi utakuwa huru na haki. Ikawa hakuna mambo ya kununua wajumbe
Kama Chadomo kimekufa kaanzisheni chenu na ropo ropo wenu kwani Kuna shida?Kwa nini lakini mmekiua CHADEMA?
Maana mwaka 2025 mtauanza vizuri Sana
Kampeni au uchaguzi wowote haufanywi Kwa porojo za mdomoni pesa itakununua Hadi wewe.Sahihi Kabisa
Kama Chadomo kimekufa kaanzisheni chenu na ropo ropo wenu kwani Kuna shida?
Kampeni au uchaguzi wowote haufanywi Kwa porojo za mdomoni pesa itakununua Hadi wewe.
Fukara na siasa wapi na wapi?
Atashinda kwenye chama chake Cha NCCR ,,Kwa Chadomo imekula kwake na ndio mwisho wake hapoMimi chama changu mbona kinajulikana. Sina Haja ya kuanzisha kingine.
Lisu ashinde
Atashinda kwenye chama chake Cha NCCR ,,Kwa Chadomo imekula kwake na ndio mwisho wake hapo
Fukara lazima anunulike ,usiponunjlika utapata hasara mara 2Sio kila mtu ananunuliwa Mkuu.
Hata hao wanaotoa pesa wanajua Hilo.
Kushinda ili kuwa nani?Wakati mwingine shirikisha ubongo na keyboard.Kushinda ni Jambo Moja kuwa Mwenyekiti ni Jambo jingine. Wapo huelewi
Mnae Ili awe kama nani huko Chadomo ?Sio mwisho wake ila mwisho wa CHADEMA
Lisu bado tunaye sana
Naona chawa wa Lisu mumeumia.sana ππππ
Mojawapo wa chawa wake ni wewe,wiki hii umekesha mitandaoni kuomba Dua la kuku limegoma kumpata mwewe.Lisu hana Chawa
Chawa ni wanufaika wa Lisu Moja kwa Moja.
Kushinda ili kuwa nani?Wakati mwingine shirikisha ubongo na keyboard.