Lissu asema CHADEMA itaigawa Tanzania kwa Majimbo. Kila jimbo litakula kwa urefu wa kamba yake

China yenyewe imefanya devolution ..pamoja na ujamaa wao ..sembuse Tanzania..
huko kwenye unitary states duniani kwengine regional leaders awawajibiki? Na solution zao ni zipi?
 
Alicho fanya magufuli ni kukwapua kazi za serikali za mitaa.. ndio maana kwa kawaida tamisemi inatakiwa iqe chini ya waziri mkuu ila kipindi hiki tamisemi imekumbatiwa na Rais.

Hili jambo ni sahihi na ndio maana ya serikali za mitaa - kuamua mambo yanayohusu halmashauri husika!!

Meya ndie anayepaswa kuwa kiongozi wa wilaya na sio mkurugenzi wala mkuu wa wilaya. Hapa ndipo kila Meya angetaka kuhakikisha anafanya mambo ya maana na kuchaguliwa tena. Au anapigiwa kura za kuondolewa kama hafanyo kitu!

Tungeacha kusikia halmashauri zinazoongozwa na upinzani zikiambiwa “mnatekeleza ilani ya chama fulani” huku chama hicho kikihakikisha kinamuangusha meya!
 
Ila awamu ya tano imeharibu sana hadi wananchi wameanza kujitambua.
Southa Africa,Nigeria, Ulaya ndio kabisaa tatizo la hawa mataga ni wachoyo,wanyimi na wana roho za kwanini sijawahi ona vichawi manake wachawi wanajuana
 
Tatizo hamfuati huo mgawanyo.. eti sehemu za wapinzani hampeleki maendeleo..

Katiba gani mnaitumia awanu ya tano?
Sera ya kibaguzi, distribution of resources should be evenly distributed across the country. Kila siku tunasema chadema ni wabaguzi wanakataa
 
Hii kitu sidhani kama vijana wa leo wanakuwa madhara yake. Kwenye huu mfumo kigumu kinakuja kwenye kugawanya rasilimali za nchi ikiwemo ardhi na mali asili. Kila upande inashika change na kuwabagua wengine. Mifano ni mingi sana duniani, kuanzia China, Afrika ya kisini mpaka Marekani. Kote kuna matatizo sugu ya kugawana rasilimali za taifa.
 
Ebu tumia Marekani kama case study, elezea namna wanavyopata changamoto ya mgawanyo wa Rasimali.
 
Duh we jamaa inabidi ukasome upya vitabu vya US history. Ndugu in short kuna mambo mengi yalitokea leading to American revolution main instigators of the states rebellion were taxes put upon them from UK parliament which were deemed unreasonable.

Kama umesoma historia vizuri utaona kabla ya states kuungana ilikuwa moja iki rebel waingereza wanaenda kutembeza kichapo jamaa wanatia adabu na kurudi kwenye mstari. Ili kukabiliana na colonial master ikabidi waungane unofficially na baadae kuungana rasmi kwa katiba 1787 baada ya kushinda vita.

Huo muungano wa states wa awali ulikuwa wa kimaslahi dhidi ya colonial masters. Kwa ivyo kuna baadhi ya states walitaka some aspects of their autonomy kutokana na jinsi walivyokuwa wanafanya mambo kwao and that remains the foundation of US federal union to date.

Kuna muungano wa states halafu kuna muungano wa wafanyabiashara na wenyewe ulikuwa na watu kama kina Rockefeller, Rothschild, J.P Morgan na wengineo walioudhuria mkutano wa ‘Jekyll Island’ (ukitaka full story soma kitabu kinachoitwa ‘the creature from Jekyll Island’) matter of fact every economist should read that book and those people were unscrupulous characters; ndio waliotengeneza US capitalist system.

Kwa ivyo how US federal government operates is based on early reasons of uniting na uchumi wao upo based na misingi ya early entrepreneurs na hizo ndio siasa za US mpaka leo.

Ni hivi nchi zilizotawalia nyingi mpaka 20th century katiba zake zipo based on their colonial government. Wakati wao colonial masters katiba zao zina misingi yake na sababu zao maalum.

Ndio maana mnaulizwa mnalilia federal system how exactly would it work? Hamna majibu rasmi na kuanza kuleta hadithi za sijui nani na nani wanafanya nini, mara sijui porojo watu wataiba ideas zenu kha, etc with nonsense.

Ni hivi the whole idea from CDM/Lissu and yourself is based na kuona mambo yanavyofanyika nchi zingine bila ya kuelewa sababu zao.
Hoja yako uliandika hivi:-
Vitu vingine mtu anaposema kuna historia yake lazima utambue US kuungana kwao hakukuwa kwa utashi wa states, ili walazimu kuungana kumfukuza colonial master wao, baadae kuhakikisha wanabaki na nguvu ikawa utake usitake utaungana na wakapigana kisa kuungana.
Na hapa tunazungumzia masuala ya Federal States, na wewe mwenyewe unazungumzia masuala ya Federal States!!!

Na hapa narudia tena.... wakati wa American Revolutionary War HAPAKUWA na federal union! Kama suala la kurudi kusoma history, wewe ndo unatakiwa kufanya hivyo!

Before Revolutionary War, there's no federation but confederation!

Narudia kama nilivyokuambia mwanzoni kabisa... unachanganya kati ya confederation and federation! Suala la UTAKE USITAKE ulilosema hapo juu HALIWEZI kuwepo kwenye confederation but 100% linaweza kuwepo kwenye federation kama ambavyo ilitokea Nigeria na kutokea Nigerian Civil War pale Biafra ilipotaka kutoka kwenye federal government au hata kama ilivyokuwa imetokea US from 1861 na kuleta civil war pale Southern States zilipotoka kwenye federal government!

Haliwezi kuwepo kwenye confederation kwa sababu unlike federation ambayo inaweza kuwa "utake usitake", confederation ni voluntary union, and in most cases confederate states bado zinabaki na sehemu kubwa ya power yake na ndio maana inakuwa ngumu kuwa na confederate state!

Kwa maana nyingine, hicho unachosema cha "utake usitake" kilitokea wakati US imeshakuwa Federal State... zaidi ya miaka 70 tangu wapate uhuru!

Na hii ilitokea pale Southern States walipoona dalili za Abraham Lincoln kuwa kwenye nafasi kubwa ya kushinda the then coming relation.

Hofu ya Southern States ambayo ilikuwa ni hofu sahihi ilitokana na Lincoln kuwa mpinzani mkubwa wa wanaondelea kumiliki Watumwa wakati Lower Southern States bado walikuwa hawajaachana na mambo ya kushikilia Watumwa huku uchumi wao pia ukitegemea sana nguvu kazi ya Watumwa!

Baada ya kunusa ushindi wa Lincoln, ndipo Southern States zikajitoa kwenye federation na kurudisha tena Confederacy, na hapa ndipo ikazuka Civil War kati ya Union States dhidi ya Watukutu waliokuwa wamerudisha Confederacy!
Ni hivi the whole idea from CDM/Lissu and yourself is based na kuona mambo yanavyofanyika nchi zingine bila ya kuelewa sababu zao.
Bila ya kujua sababu zao zipi wakati nilikuuliza na ukashindwa kujibu?!

Ulitaja suala la ukubwa, nikakuuliza ukubwa wa nini! Wa eneo au nini hasa... HUJAJIBU!!

Nikakupa orodha ya nchi kadhaa hapa ambazo ni federal states na nikakuuliza zilikuwa federa states kwa sababu zipi?! Kwa sababu ya ukubwa wake au kutokana na historical background lakini umeshindwa kuielezea nchi hata moja na kinyume chake ndo kwanza ukaeleza jinsi Kenya ilivyoanza kuwa federal state!

Nikakuuliza hiyo Kenya imeanza lini kuwa federal state, na lenyewe umeshindwa kujibu!!

Btw, hivi unitary system in Tanzania tulibuni sisi wenyewe na sio kwamba tuliona kilichokuwa kwenye nchi zingine ndipo nasi tukafuata huo mfumo, na hatimae kufuta mfumo wa majimbo ambao tulikuwa nao hapo kabla?!

Sasa ikiwa hata unitary system tulifuata wanachofanya wengine, kinachokushangaza ni nini CHADEMA kutaka Serikali za Majimbo baada ya kuona wafanyavyo wengine?!

The problem watu mlikaririshwa na mkakariri barabara, na mkatishwa na mkatishika barabara! Mambo ambayo mlikaririshwa na kutishwa ni pamoja na:-

-Nyerere akitoka madarakani nchi itaingia vitani! Hivi sasa sio tu katoka madarakani, na kujifia kajifia lakini bado hatujaingia vitani!

-Tukileta vyama vingi nchi itaingia vitani... tunakaribia miaka 30 sasa hatujaingia vitani!

-Mkichagua upinzani nchi itaingia vitani... kila mwenye akili timamu anafahamu anayeshindwa ndie huingia vitani na sio aliyeshinda! Kwa maana nyingine, CCM wanatuambia tukichagua upinzani tu; wanaingia msituni!

-Serikali ya Majimbo italeta vita... kuna nchi luluki zinazofuata sera ya majimbo lakini hazijaingia vitani! WHY vita iwe Tanzania?! Au ni CCM ndio wataleta Vita kwa sababu tayari wameshasema upinzani ukishinda basi wanaingia vitani?
 
Alimalizia kwa kusema kuwa serikali itamalizia kuangalia hayo mengine ambayo hayazalishi, ili kusawazisha mambo mwisho wa siku. Usitudanganye, wenzio tulikuwepo hapo hapo kwenye kampeni.
 
Kenya hiyo hapo, wametumia huo mfumo wa gatuzi au kugawa nchi kwa vipande toka 2010. Leo hii wanagombania nani apate nini, maeneo ya pande za kaskazini ya Kenya ambapo hawana vitu vingi, wamekuwa masikini zaidi kuliko walivyokuwa hawatumii huo mfumo.

Mkifiri eti kuwa na gatuzi ndio wananchi watachochea maendeleo, hiyo sio kweli. Maendeleo yanatokana na usimamizi madhubuti wa rasilimali, watu, ardhi na elimu.
Unazijua siasa za kenya au unahadithiwa?
 
Hoja yako uliandika hivi:-
Na hapa tunazungumzia masuala ya Federal States, na wewe mwenyewe unazungumzia masuala ya Federal States!!!

Na hapa narudia tena.... wakati wa American Revolutionary War HAPAKUWA na federal union! Kama suala la kurudi kusoma history, wewe ndo unatakiwa kufanya hivyo!

Before Revolutionary War, there's no federation but confederation!

Narudia kama nilivyokuambia mwanzoni kabisa... unachanganya kati ya confederation and federation! Suala la UTAKE USITAKE ulilosema hapo juu HALIWEZI kuwepo kwenye confederation but 100% linaweza kuwepo kwenye federation kama ambavyo ilitokea Nigeria na kutokea Nigerian Civil War pale Biafra ilipotaka kutoka kwenye federal government au hata kama ilivyokuwa imetokea US from 1861 na kuleta civil war pale Southern States zilipotoka kwenye federal government!

Haliwezi kuwepo kwenye confederation kwa sababu unlike federation ambayo inaweza kuwa "utake usitake", confederation ni voluntary union, and in most cases confederate states bado zinabaki na sehemu kubwa ya power yake na ndio maana inakuwa ngumu kuwa na confederate state!

Kwa maana nyingine, hicho unachosema cha "utake usitake" kilitokea wakati US imeshakuwa Federal State... zaidi ya miaka 70 tangu wapate uhuru!

Na hii ilitokea pale Southern States walipoona dalili za Abraham Lincoln kuwa kwenye nafasi kubwa ya kushinda the then coming relation.

Hofu ya Southern States ambayo ilikuwa ni hofu sahihi ilitokana na Lincoln kuwa mpinzani mkubwa wa wanaondelea kumiliki Watumwa wakati Lower Southern States bado walikuwa hawajaachana na mambo ya kushikilia Watumwa huku uchumi wao pia ukitegemea sana nguvu kazi ya Watumwa!

Baada ya kunusa ushindi wa Lincoln, ndipo Southern States zikajitoa kwenye federation na kurudisha tena Confederacy, na hapa ndipo ikazuka Civil War kati ya Union States dhidi ya Watukutu waliokuwa wamerudisha Confederacy!
Bila ya kujua sababu zao zipi wakati nilikuuliza na ukashindwa kujibu?!

Ulitaja suala la ukubwa, nikakuuliza ukubwa wa nini! Wa eneo au nini hasa... HUJAJIBU!!

Nikakupa orodha ya nchi kadhaa hapa ambazo ni federal states na nikakuuliza zilikuwa federa states kwa sababu zipi?! Kwa sababu ya ukubwa wake au kutokana na historical background lakini umeshindwa kuielezea nchi hata moja na kinyume chake ndo kwanza ukaeleza jinsi Kenya ilivyoanza kuwa federal state!

Nikakuuliza hiyo Kenya imeanza lini kuwa federal state, na lenyewe umeshindwa kujibu!!

Btw, hivi unitary system in Tanzania tulibuni sisi wenyewe na sio kwamba tuliona kilichokuwa kwenye nchi zingine ndipo nasi tukafuata huo mfumo, na hatimae kufuta mfumo wa majimbo ambao tulikuwa nao hapo kabla?!

Sasa ikiwa hata unitary system tulifuata wanachofanya wengine, kinachokushangaza ni nini CHADEMA kutaka Serikali za Majimbo baada ya kuona wafanyavyo wengine?!

The problem watu mlikaririshwa na mkakariri barabara, na mkatishwa na mkatishika barabara! Mambo ambayo mlikaririshwa na kutishwa ni pamoja na:-

-Nyerere akitoka madarakani nchi itaingia vitani! Hivi sasa sio tu katoka madarakani, na kujifia kajifia lakini bado hatujaingia vitani!

-Tukileta vyama vingi nchi itaingia vitani... tunakaribia miaka 30 sasa hatujaingia vitani!

-Mkichagua upinzani nchi itaingia vitani... kila mwenye akili timamu anafahamu anayeshindwa ndie huingia vitani na sio aliyeshinda! Kwa maana nyingine, CCM wanatuambia tukichagua upinzani tu; wanaingia msituni!

-Serikali ya Majimbo italeta vita... kuna nchi luluki zinazofuata sera ya majimbo lakini hazijaingia vitani! WHY vita iwe Tanzania?! Au ni CCM ndio wataleta Vita kwa sababu tayari wameshasema upinzani ukishinda basi wanaingia vitani?
Before the American revolution kulikuwa na colonies tu zinazoongozwa na governors with devolved powers to make local decisions, asilimia kubwa ya sheria za US zilikuwa zinatoka UK na wala US awakuwa na constitution yao.

Kasome kwanza historia ya US vizuri apparently bado unapwaya hizo confederates zilianza with new US constitution in 1787 before that the same states were just colonies.

323247AC-04A0-41FA-A112-D877BD7DDB24.jpeg

Muwe na tabia ya kusoma vitabu vinavyowapa foundation ya discipline husika kwanza kabla ya kurukia vitabu vikubwa.

Icho ni kitabu cha A level politics UK kinachofundisha US politics ni toleo la zamani lakini unapata foundation ya US politics. Kuanzia ‘Hernando Cortes’ defeat of Aztec Empire to last English Colony acquired in US which was Georgia State.

Na kila changamoto zilizokuwepo huko vita na Spain, French, Dutch, peace treaties baina yao and everything mpaka modern politics za US.

Amuanzi na basic kwenye kujenga uelewa wenu ndio maana mnaelewa vitu juu kwa juu. Kasome kwanza kuhusu US politics na kuelewa misingi yake.

Maana huko kwenye kujadili constitution yenyewe kuna mambo ya preambles aspects zinazo cover ‘declaration principles za nchi’ institution za serikali zitakavyofanya kazi, amendment procedures, systems of parliaments one or more and why.

Sasa kama basic reasoning ya kwanini nchi fulani ni federal na nyingine ni unitary hujui kuanza kuzungumzia principles of ‘constitution law’ nadhani ntakuwa nakuingiza kwenye uncharted waters.
 
~naiona Arusha kama Carlifornia
~Mtwara kama Texas
~Kilimanjaro kama New York
~Dar kama Chicago
~na Zanzibar kama Jimbo la Hawaii kama laiti Lissu akishinda
~Tabora kama jimbo la Nevada
Daaaah!
Ongezea Las Vegas nikacheze kamari [emoji2][emoji2]
 
Kazi ya serikali kuu imesha isha.. turudi kwenye majimbo/ mikoa..

Kwanza kutakua na ushindani mkubwa sana kimaendeleo.

..mimi siliangalii suala hili kwa "lens" ya ushindani.

..sasa hivi tuna mikoa na hakuna ushindani. now what makes you believe kwamba tukiwa na majimbo kutakuwa na ushindani?

..tunayo majimbo ya uchaguzi, je kuna ushindani wa kimaendeleo kati ya jimbo moja na jimbo jirani au lolote lile nchini?

..mimi nadhani hoja hii imelenga kupunguza madaraka ya serikali kuu, na kuyashusha chini waliko wananchi ktk wilaya na halmashauri.

..suala hapa ni jinsi gani tunafanikisha azma hiyo hapo juu, na tutatumia muundo gani wa kiutawala.
 
Mkuu wewe unadhani chanzo cha maendeleo ni nini?

Sijui unajua habari za ugatuzi/Decentralizatio?
Ama sijui unajua madaraka kwa Uma
Ama unajua Madaraka mikoani sera ya Ama vijiji vya ujamaa

Sera za Mwalimu Jk Nyerere
Decentralization ataijulia wapi wakati Lumumba wanakaririshwa tu mabeberu ndio chanzo cha matatizo ya Tanzania. Na watu wa aina ya huyo jamaa ndio mshipa mkuu wa damu ya ccm. Hawa ndio wanaipa ccm uhai.
 
Before the American revolution kulikuwa na colonies tu zinazoongozwa na governors with devolved powers to make local decisions, asilimia kubwa ya sheria za US zilikuwa zinatoka UK na wala US awakuwa na constitution yao.

Kasome kwanza historia ya US vizuri apparently bado unapwaya hizo confederates zilianza with new US constitution in 1787 before that the same states were just colonies.

View attachment 1570751

Muwe na tabia ya kusoma vitabu vinavyowapa foundation ya discipline husika kwanza kabla ya kurukia vitabu vikubwa.

Icho ni kitabu cha A level politics UK kinachofundisha US politics ni toleo la zamani lakini unapata foundation ya US politics. Kuanzia ‘Hernando Cortes’ defeat of Aztec Empire to last English Colony acquired in US which was Georgia State.

Na kila changamoto zilizokuwepo huko vita na Spain, French, Dutch, peace treaties baina yao and everything mpaka modern politics za US.

Amuanzi na basic kwenye kujenga uelewa wenu ndio maana mnaelewa vitu juu kwa juu. Kasome kwanza kuhusu US politics na kuelewa misingi yake.

Maana huko kwenye kujadili constitution yenyewe kuna mambo ya preambles aspects zinazo cover ‘declaration principles za nchi’ institution za serikali zitakavyofanya kazi, amendment procedures, systems of parliaments one or more and why.

Sasa kama basic reasoning ya kwanini nchi fulani ni federal na nyingine ni unitary hujui kuanza kuzungumzia principles of ‘constitution law’ nadhani ntakuwa nakuingiza kwenye uncharted waters.

..nadhani mnajichanganya mnapoyazungumzia majimbo ya Marekani ktk hoja hii.

..Marekani wao walianza na majimbo ambayo yalikwenda kuunda/kuzaa nchi.

..Tanzania tunaanza na nchi na tunakwenda kuunda majimbo. Kumbuka kwamba tayari tuna mikoa ambayo chimbuko lake ni majimbo.

..Sina uhakika kama Raisi wa Marekani anaweza kuigawa nchi yake na kuunda majimbo mapya.

..Raisi wa Tanzania atakuwa na uwezo wa kuunda majimbo, kama anavyofanya sasa hivi ktk mikoa.

..Pia sitegemei majimbo yatakayoundwa hapa Tanzania yatakuwa na mamlaka mapana kama yaliyonayo majimbo ya mataifa mengine kama Marekani, Nigeria, au Afrika Kusini.

..Mwisho, sote tunakubaliana kwamba serikali yetu ina madaraka makubwa mno. Sasa tuangalie ni madaraka yapi yanaweza kuondolewa toka serikali kuu na kupelekwa kwenye mamlaka nyingine kama majimbo[kama tutaamua kuyaunda], mikoa, majiji, au halmashauri.
 
Yuko sahihi kwa mfano Shinyanga una majimbo ambayo yanatoa madini ya mabilioni lakini Wananchi maskini wa kutupwa. Wakati Dar es salaam hamna rasilimali yoyote ujanja ujanja na utapeli kama wakina Gwajima.

Halafu ndio kuna maendeleo hakuna vumbi barabara zote ziko vizuri.borea kila mtu ale cake alipo...kama uko Jimbo ambalo halizalishi basi hamia lile lenye shughuli za uchumi kubwa.imeisha hiyo

Back
Top Bottom