Lissu ataongozaje chama wakati anaishi Ubelgiji, na familia yake yote ipo huko

Waliomchagua ndio ambao akili hawana
 
Moderators kuruhusu threads za kizushi kama hii ni kutokulitenda haki Jukwaa hili. Lissu nyumbani kwake ni Tegeta huwa anakwenda Ubelgiji kwa medical checkup hivyo uzi huu kutoka kwa mwanaccm unalenga kumnyanyapaa Lissu kwa madhila yalisababishwa na serikali ya CCM. Hii si sawa hata kidogo hebu kuweni na ubinadamu.
 
Kwann hukuleta hoja before?
 
Familia ya lisu iko ubelgiji wewe huko ndio kwake
 
Mbowe alikuwa anaishi wapi mpaka kushindwa kuendesha chama?
 
Dah!!!!! Nilidhani kwa umri wangu huu nshamaliza kuona upuuzi wote duniani😂 nakupa namba za Paul Bia wa Cameroon,then umuulize kua anawezaje kuongoza nchi na wakati anaishi Ufaransa,au ndio TAL huyu?
Ndio utuambie sasa ataongozaje akiwa nje ya nchi, sijawahi kuona kiongozi anaeongoza kutokea nje ya nchi
 
Hamna sera,
Zimeliwa zenu hela,
Maselaaaaa,
 
Pengine watachukua hatua soon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…