Uchaguzi 2020 Lissu atua Ujerumani katika maandalizi ya mwisho kutua Tanzania

Mambo ya uhalifu wa ndani ya nchi hayahusiani na international community ni kukamata tu mhalifu. aliyefanya uhalifu ndani ya nchi
 
Daaah! jamaa amechoka kukaa Ulaya, Sasa anataka akapumzike Segerea. Nafurahi kuona Lissu ni mzima lakini naumia nikikumbuka kuwa anakuja Sello.
Court order ipo tayari siku nyingi inamsubiri tu.
 
Musisahau kuwa na mutarumbeta.. ila utafikaje kumpokea?.. Mkuu wenu kashamuwapa nauli.. huko mikoani? Muje Dar kufuta matongo ya machoni.. kwa maendeleo yalivyo..😀
 
Mambo ya uhalifu wa ndani ya nchi hayahusiani na international community ni kukamata tu mhalifu. aliyefanya uhalifu ndani ya nchi
Yani kama nyie ndio washauri huko basi kazi ipo kwahiyo Lissu kushambuliwa ule ni uhalifu sio?
 
Satellites zote zitaelekezwa Tanzania! Mwambieni Sirro huu si wakati wa kuwapiga watanzania kama “mbwa koko”! Haya!
COURT ORDER ya kumkamata Lisu ipo akitua tu .COURT ORDER KUITEKELEZA HUWA HAITEGEMEI UWEPO WA SATELLITE!!!!!
 
Haya bwana, kweli Lissu hajui kuvaa suti, angemuiga mzee uvaaji wa suti asinge kuuzi YEHODAYA kwa kuto mechisha.
 
Wewe kweli punda kihongwe, mixid suit unaijua?
Ushamba wa chato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…