Uchaguzi 2020 Lissu atua Ujerumani katika maandalizi ya mwisho kutua Tanzania

Uchaguzi 2020 Lissu atua Ujerumani katika maandalizi ya mwisho kutua Tanzania

Kaeni chini mfanye assessment mihemko inaweza kuamsha mambo ambayo yatawaletea chalenge ku neutralize Mmesha spark International communities attention hakuna sababu za kudeal na TAL kwa sasa mana hata mkimuacha azulule nchi nzima hawezi kushida hata kidogo sasa ya nini kuhangaika nae
Mambo ya uhalifu wa ndani ya nchi hayahusiani na international community ni kukamata tu mhalifu. aliyefanya uhalifu ndani ya nchi
 
Daaah! jamaa amechoka kukaa Ulaya, Sasa anataka akapumzike Segerea. Nafurahi kuona Lissu ni mzima lakini naumia nikikumbuka kuwa anakuja Sello.
Court order ipo tayari siku nyingi inamsubiri tu.
 
Musisahau kuwa na mutarumbeta.. ila utafikaje kumpokea?.. Mkuu wenu kashamuwapa nauli.. huko mikoani? Muje Dar kufuta matongo ya machoni.. kwa maendeleo yalivyo..😀
 
Mambo ya uhalifu wa ndani ya nchi hayahusiani na international community ni kukamata tu mhalifu. aliyefanya uhalifu ndani ya nchi
Yani kama nyie ndio washauri huko basi kazi ipo kwahiyo Lissu kushambuliwa ule ni uhalifu sio?
 
Satellites zote zitaelekezwa Tanzania! Mwambieni Sirro huu si wakati wa kuwapiga watanzania kama “mbwa koko”! Haya!
COURT ORDER ya kumkamata Lisu ipo akitua tu .COURT ORDER KUITEKELEZA HUWA HAITEGEMEI UWEPO WA SATELLITE!!!!!
 
Lisu kachacha hata suti haja mechisha koti kivyake,suruali kivyake kasuruali ka mtumba halafu ona viatu hata kiwi hajapiga kwa kuchacha

Ona hadi anatembea na chaja ya simu kawaomba hiyo hapo ukutani aweke simu yake ichaji ajipige hii selfie picha aliyopost

View attachment 1505613
Haya bwana, kweli Lissu hajui kuvaa suti, angemuiga mzee uvaaji wa suti asinge kuuzi YEHODAYA kwa kuto mechisha.
tapatalk_1591632262536.jpg
 
Lisu kachacha hata suti haja mechisha koti kivyake,suruali kivyake kasuruali ka mtumba halafu ona viatu hata kiwi hajapiga kwa kuchacha

Ona hadi anatembea na chaja ya simu kawaomba hiyo hapo ukutani aweke simu yake ichaji ajipige hii selfie picha aliyopost

View attachment 1505613
Wewe kweli punda kihongwe, mixid suit unaijua?
Ushamba wa chato
 
Back
Top Bottom