Uchaguzi 2020 Lissu atua Ujerumani katika maandalizi ya mwisho kutua Tanzania

Dunia yote inafahamu kuwa walichofanyiwa na wanachofanyiwa wapinzani wa nchi hii ni uharamia wa ccm na watawala.

Na hii ni pamoja nakupigwa risasi Lissu na kesi zinazomkabiri.

Jichanganyeni mwone kitachotokea
 
Hakuna jambo jipya duniani
Modo mnazovaa sasa miaka ya 1980+ ziitwa tinabuu au dont touch.
Vishati vidogo na vitshirt vya kupana mnavyovaa sasa, miaka1970+ziliitwa sleemfit.

Raba mnazovaa ziliitwa raba mtoni
Kuna viatu viliitwa mokasini na stileto sasa ivi ndizo mnavaa bila soksi.

WEWE NDIYO BONGE LA MSHAMBA TOKA CHATO
 
Hata akija kashajiandaa anajua kitakachomtokea zile 38 unajua tayari zimemuathiri kisaikoloji bado ana woga w usalama wake
Furaha yako kwenye shambulio la kishamba la Lissu inatokana na nini ?

Namuomba Mungu akupige laana ya milele wewe na kizazi chako chote , amina
 
Kesi zake zimeshafutwa?
Kesi huwa hazifutwi kisa eti mtu katangaza nia ya kugombea udiwani ,ubunge au uraisi!!!! sheria haziko hivyo!!! Kesi Zake Lisu hazijafutwa na anatakiwa kukamatwa apelekwe segerea.COURT ORDER ZIPO
 
Daaah! jamaa amechoka kukaa Ulaya, Sasa anataka akapumzike Segerea. Nafurahi kuona Lissu ni mzima lakini naumia nikikumbuka kuwa anakuja Sello.
Hivi nyie masikini ndio wa kumtisha Lissu ?
 
Inauma sana jitihada zote hizo za matibabu alafu anakuja kurudi anaishia lupango dhamana inazuiwa hadi uchaguzi upite
Cyprian Musiba kaandaa wagojwa wawili wa corona apate kuwapeleka jela walale jela moja na Tundu lisu wamwambukize covid 19 wasingizie alitoka nayo huko Ulaya
 
COURT ORDER ya kumkamata Lisu ipo akitua tu .COURT ORDER KUITEKELEZA HUWA HAITEGEMEI UWEPO WA SATELLITE!!!!!
A “kangaroo court order”? Or what?

Wauwaji mmeshawatafuta? Au bado mnamsubiri dereva? Teh
 
Hili hawatathubutu! Wakithubutu, watakakuwa wameshaiharibu Tanzania moja kwa moja.
Yani nikitazamaga maneno yenye unaandika na mtazamo wako kuhusu hiki chama cha Kilimanjaro nakuhurumiaga sana,uko kwenye hiza kubwa mno la kupambanua mambo,au inajua isipokua unalipwa kwa kutumika kwako mitandaoni kutafuta kama kuna wajinga,ila kama unakua serious basi wewe ni kisigino cha fikra..chini kabisa,kuna chama cha kuitoa CCM? Kuna chama cha kuitoa ZANU PF? Kuna chama cha kuitoa ANC? hamtumii akili kujua mseme nini kwa wananchi mpaka wawaeleww,na njia mojawapo ndogo sana ni wakati mwingine kukubali mazuri yanayoonekana nchini yakitekelezwa,itaweka morali kwa sisi wananchi kuona kumbe mna busara maana hata ukweli mnauona yamkini nanyi tuwafikirie,vinginevyo kuna siku chama hicho cha kihuni kitabaki na watu wawili kama si mmoja like UDP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…