Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Hujafa hujaumbika. Bakiza maneno...
Hawezi kuzunguka zaidi ya mikoa miwili kwa wheelchair!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawezi kuzunguka zaidi ya mikoa miwili kwa wheelchair!
Dunia yote inafahamu kuwa walichofanyiwa na wanachofanyiwa wapinzani wa nchi hii ni uharamia wa ccm na watawala.Lisu anapaswa awe makini na ajiulize, kama alipigwa risasi na mpaka sasa hakuna kesi wala mtuhumiwa, je waliompiga hawtampiga tena na kusitokee chochote? Hao mabeberu walikuwepo kabla na baada ya kupigwa na hawajafanya na hawatafanya chochote. Pili anakesi zilikuwepo na anaweza kuwekwa kizuizini kisheria na akasota humo mpaka ucgaguzi uishe?
Huyu jamaa bado limbukeni sana.Lisu kachacha hata suti haja mechisha koti kivyake,suruali kivyake kasuruali ka mtumba halafu ona viatu hata kiwi hajapiga kwa kuchacha
Ona hadi anatembea na chaja ya simu kawaomba hiyo hapo ukutani aweke simu yake ichaji ajipige hii selfie picha aliyopost
View attachment 1505613
Ile siyo yake, alikabidhi kama ilivyokuwa ile nyumba ya serikaliTundu anatakiwa akiwa amechacha na sio akiwa tajiri kama JPM na Hoteli yake pale Kijitonyama!
Hili hawatathubutu! Wakithubutu, watakakuwa wameshaiharibu Tanzania moja kwa moja.
Hazijafutwa zinamsubiri, ziko hadi court order za kumkamata ziko zinamsubiri atue nchiniKesi zake zimeshafutwa?
Hakuna jambo jipya dunianiHivyo viatu vinaitwa laizoni huku Africa tulishaacha kuvivaa atakuwa kanunua kwenye mitumba enzi hizo vilikuwa vikivaliwa na suruali pana yeye ndie kakumbuka leo!!!! unavaa hivi unaonekana cheki bob wa kienzi hizo huyo mwenye miwani ni baba yangu mdogo akienda kumchumbia mama mdogo na kulia kwake ni mshenga wake!!!!
View attachment 1505636
Duh.Maumbile
Furaha yako kwenye shambulio la kishamba la Lissu inatokana na nini ?Hata akija kashajiandaa anajua kitakachomtokea zile 38 unajua tayari zimemuathiri kisaikoloji bado ana woga w usalama wake
...slim fit....
Vishati vidogo na vitshirt vya kupana mnavyovaa sasa, miaka1970+ziliitwa sleemfit...
Kesi huwa hazifutwi kisa eti mtu katangaza nia ya kugombea udiwani ,ubunge au uraisi!!!! sheria haziko hivyo!!! Kesi Zake Lisu hazijafutwa na anatakiwa kukamatwa apelekwe segerea.COURT ORDER ZIPOKesi zake zimeshafutwa?
Hivi nyie masikini ndio wa kumtisha Lissu ?Daaah! jamaa amechoka kukaa Ulaya, Sasa anataka akapumzike Segerea. Nafurahi kuona Lissu ni mzima lakini naumia nikikumbuka kuwa anakuja Sello.
😆😆😆😆😆Haya bwana, kweli Lissu hajui kuvaa suti, angemuiga mzee uvaaji wa suti asinge kuuzi YEHODAYA kwa kuto mechisha.View attachment 1505705
Kesi kutoka kwa waliotaka kumuuwa ni kesi kwa akili yako? Tafuta wauwaji kwanza.Kesi zake zimeshafutwa?
Cyprian Musiba kaandaa wagojwa wawili wa corona apate kuwapeleka jela walale jela moja na Tundu lisu wamwambukize covid 19 wasingizie alitoka nayo huko UlayaInauma sana jitihada zote hizo za matibabu alafu anakuja kurudi anaishia lupango dhamana inazuiwa hadi uchaguzi upite
A “kangaroo court order”? Or what?COURT ORDER ya kumkamata Lisu ipo akitua tu .COURT ORDER KUITEKELEZA HUWA HAITEGEMEI UWEPO WA SATELLITE!!!!!
Maumbile gani? Kwanza akishatua nchini lazima mpatwe na tumbo la kuendesha.Maumbile
Yani nikitazamaga maneno yenye unaandika na mtazamo wako kuhusu hiki chama cha Kilimanjaro nakuhurumiaga sana,uko kwenye hiza kubwa mno la kupambanua mambo,au inajua isipokua unalipwa kwa kutumika kwako mitandaoni kutafuta kama kuna wajinga,ila kama unakua serious basi wewe ni kisigino cha fikra..chini kabisa,kuna chama cha kuitoa CCM? Kuna chama cha kuitoa ZANU PF? Kuna chama cha kuitoa ANC? hamtumii akili kujua mseme nini kwa wananchi mpaka wawaeleww,na njia mojawapo ndogo sana ni wakati mwingine kukubali mazuri yanayoonekana nchini yakitekelezwa,itaweka morali kwa sisi wananchi kuona kumbe mna busara maana hata ukweli mnauona yamkini nanyi tuwafikirie,vinginevyo kuna siku chama hicho cha kihuni kitabaki na watu wawili kama si mmoja like UDPHili hawatathubutu! Wakithubutu, watakakuwa wameshaiharibu Tanzania moja kwa moja.