Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Kwa sasa priority ni Dodoma kurudisha fomu na kusubiria muda wa mapingamizi uishe. Huko mahakamani aende wakili.Chadema i am goddamn serious.!
Fanyeni yote ila msilete ujinga Lissu akakosa kwenda Dom tarehe 26 tutalala na nyie mbele.!
Mkitaka mbaki kama chama kikuu cha upinzani na tuwasamehe kwa ile record breaking blunder ya 2015 basi fanyeni yote afike Dom iyo 26!
Wekeni akaunti,
Wekeni namba za mpesa,tigo pesa et al.
Enough is enough.!
Sent using Jamii Forums mobile app