Lissu awaalika Wananchi wa Dar na mikoa ya jirani kufika Mahakamani Kisutu kwa wingi tarehe 26 kusikiliza shauri lake

Lissu awaalika Wananchi wa Dar na mikoa ya jirani kufika Mahakamani Kisutu kwa wingi tarehe 26 kusikiliza shauri lake

Chadema i am goddamn serious.!
Fanyeni yote ila msilete ujinga Lissu akakosa kwenda Dom tarehe 26 tutalala na nyie mbele.!

Mkitaka mbaki kama chama kikuu cha upinzani na tuwasamehe kwa ile record breaking blunder ya 2015 basi fanyeni yote afike Dom iyo 26!

Wekeni akaunti,

Wekeni namba za mpesa,tigo pesa et al.
Enough is enough.!
Kwa sasa priority ni Dodoma kurudisha fomu na kusubiria muda wa mapingamizi uishe. Huko mahakamani aende wakili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mgombea urais wa Chadema, mh Tundu Lisu amesema atahudhuria mahakama ya kisutu kujibu kesi inayomkabili siku ya tarehe 26/08/2020 baada ya kuwa amekamilisha matakwa yote ya kisheria kule Tume ya uchaguzi.

Tundu Lisu amesema kesi yake ni ya wazi ( open case) hivyo amewaomba wanachama wa Chadema na watu wote wenye mapenzi mema kumsindikiza mahakamani siku hiyo.

Chanzo: Star tv habari!
Wil be there
 
Mahakama imemnyenyekea sana kwamba aje kwenye kesi yeye akwa na visingizio unaona matokeo yake sasa??
Mahakama imechukua hatua gani kwa aliyeua Akwilina? Acha bange basi.
 
Kwa nini serikali inamuogopa lissu?rais wagu lisu ana nini?hasa mbaka anaogopwa hivo?
 
K
Mgombea urais wa Chadema, mh Tundu Lisu amesema atahudhuria mahakama ya kisutu kujibu kesi inayomkabili siku ya tarehe 26/08/2020 baada ya kuwa amekamilisha matakwa yote ya kisheria kule Tume ya uchaguzi.

Tundu Lisu amesema kesi yake ni ya wazi ( open case) hivyo amewaomba wanachama wa Chadema na watu wote wenye mapenzi mema kumsindikiza mahakamani siku hiyo.

Chanzo: Star tv habari!
Kwani ameshatoka karantini? Mambo ya kesi anende mahakamani asisemee mitaani yeye si mwanasheria msomi duniani
 
Watu wanaposema kwamba huyu jamaa akili yake haiko sawa hawakosei.
Yaani wafuasi wa chadema kutoka mkoa wa Dar es Salaam na mikoa jirani wote waende kwenye mahakama ya Kisutu kusikiliza kesi yake ya uhaini, yeye anaona patatosha! Kwa nini asiwatake hao wana sheria wake wa Amsterdam Lawers wawepo bila kukosa mahakamani pale kumtetea?
 
Mwambieni Lissu tuko tayari kumchangia pesa akodi ndege au helikopta,aende akalale Dodoma kesho,tarehe 26 akisha kamilisha taratibu zote pale NEC fasta imrudishe Dar kuhandle maswala ya kesi zake
Mbona ujamchangia Mdude?

Watanzania kwa unafiki unaweza kuhisi upo nao pamoja kumbe MAKUNGURU tu.
 
Dah mwaka huu wamiliki wa mabas kutoka singida na Arusha watapiga hela Sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Mwambieni Lissu tuko tayari kumchangia pesa akodi ndege au helikopta,aende akalale Dodoma kesho,tarehe 26 akisha kamilisha taratibu zote pale NEC fasta imrudishe Dar kuhandle maswala ya kesi zake
Vipi akaunti za Lisu na Chadema zimeshakauka hazina pesa ? Mbona mumeishiwa mapema na ngoma ya kampeni haijaanza!!! Kasafari tu ka Dodoma mnahitaji michango!!!!!
 
Watu wanaposema kwamba huyu jamaa akili yake haiko sawa hawakosei.
Yaani wafuasi wa chadema kutoka mkoa wa Dar es Salaam na mikoa jirani wote waende kwenye mahakama ya Kisutu kusikiliza kesi yake ya uhaini, yeye anaona patatosha! Kwa nini asiwatake hao wana sheria wake wa Amsterdam Lawers wawepo bila kukosa mahakamani pale kumtetea?
Kwa kijibatiza Dr Akili basi nafsi yako imejiaminisha kuwa unazo akili!! Wabongo kazi mnayo kweli kweli. Yaani mtu mlitaka kumtoa uhai, Muumba akawakatalia. Mmenyima haki yake ya kulipiwa gharama za matibabu, lakini amepona. Mkaona haitoshi, mkamvua ubunge. Mmefanya kampeni miaka yote mitano peke yenu mkitamba mtakavyo, na mkafanya "mambo makubwa sana ambayo hakuna raisi aliyetangulia aliwahi kufanya" (kwa mujibu wa akili zenu nyingi, mkifikiri Watz wote wana akili nyingi kama nyie), na bado mnamwogopa huyo huyo mliyetaka kumuua. Mnataka kupata ushindi wa mezani? Mnatumia mbinu na propoganda za enzi ya USSR! Kweli nyie ni ma Dr Akili.
 
Mgombea urais wa Chadema, mh Tundu Lisu amesema atahudhuria mahakama ya kisutu kujibu kesi inayomkabili siku ya tarehe 26/08/2020 baada ya kuwa amekamilisha matakwa yote ya kisheria kule Tume ya uchaguzi.

Tundu Lisu amesema kesi yake ni ya wazi ( open case) hivyo amewaomba wanachama wa Chadema na watu wote wenye mapenzi mema kumsindikiza mahakamani siku hiyo.

Chanzo: Star tv habari!

KUSANYIKO LA CHADEMA WAKIFANYA MAOMBI YA NGUVU KWA MUUMBA
Chama cha CHADEMA kipo na uhai wa kisiasa wa hali ya juu Tunduma, hawatetereki tizama maombi, mshikamano na michango ya wana Tunduma waliotoa wanachadema kwa Tundu Lissu. Kilio cha wanaCHADEMA na wananchi kimefikishwa kwa Bwana maana hatuna jeshi, jeshi la adui lina silaha kubwa na uzoefu lakini vita hii itapiganwa na Bwana na hakika Bwana atalishinda 'jeshi' la CCM kwa niaba yetu wanaotaka kutumia njia zisizo safi hata huu mwaka wa 2020

Back
Top Bottom