mangichogo
JF-Expert Member
- Oct 30, 2023
- 1,229
- 2,414
Mama anashukuru Lissu kukaa ndani muda mrefu maana Lissu ni simba wa kizimkazi huwa anamkosesha raha sana
Wewe ndo hukuona , aliweka tangu mwanzo.Asante sana mkuu! Ndo mambo napenda haya, unaanzisha mada unaweka na viambatanisho. Imekaa poa hii.
Uko sahihi kabisa, mi league hiyo ya mitusi ilishanishinda siku nyingi that's why nikajiweka mbali BAVICHA ya zama hiziUnajiingiza kwenye league ambayo hutaiweza wewe, mim namshughulikia huyo bwabwa tlatlaah anayejifanya anajua kutoa maneno ya kijinga maana mimi niko kushughulikia wajinga wa namna hio so hio league iache niendelee naye.
tuliza mihemko nonsense gentlemanNyie PAKA WA LUMUMBA MBA roho mbaya sana.
20 March 2026
JamiiForums
"Tundu Antipas Lissu files urgent application at the Court of Appeal."
This development underscores the urgency and gravity of his situation. Clearly Samia Suluhu wants Lissu to wither and hopes he dies in illegal detention before he sees justice! This is not an exaggeration! We need immediate action.
- Tundu Lissu, CHADEMA Chairman, has filed an application before the Court of Appeal requesting an expedited hearing of his treason case.
- This move follows the postponement of his treason case in the High Court.
- A review petition has been filed with the Court of Appeal challenging the decision of the High Court (Dar es Salaam Sub-Registry) which dismissed the Republic's notice to submit new evidence.
Source : Maria Sarungi : MariaSTsehai@ X
Una akili sana na wapumbavu wakina wanaocoment upumbavu na uchawa kwenye mambo ya msingi wakufungiwa TWatanganyika hatujawa serious bado.
Jamiiforums Team fanyeni hivi :
Funga post zote za mpira mapenzi ujinga ujinga Mwingine let’s focus kuzungumzia lililopo mbele yetu.
Tusipokuwa serious tutaendelea kuburuzwa
Ruhusuni kupost yaliyokea Oct29
Tupo kwenye danger zone kuliko ukaburu wa South Africa
It’s now or never.
Mond kwanini mnashidwa kufungia huyu jamaa hapa JFtuliza mihemko nonsense basi gentleman mwenye akili
Hana akili hiyo pale yupo tu kama mtoto wewe kwa akili ya kawaida yeye anashidwa kuona kwamba hiyo inaogeza chuki dhidi yake ukijumlisha na October 29. Alafu anataka maridhiano stupidSamia inabidi awaulize wanaomshikilia Lissu lengo ni nini hasa; kama uchaguzi umeshapita.
Hata kama hana control na nchi, lakini kuna mambo akili ya kawaida tu inaona huu wazimu, kama ili la Lissu.
Sidhani kama wanaomshikilia Lissu hata wanaelawa ‘end game’ zaidi ya kumuweka tu jela.
Ukiona judge mkuu na makamu wa raisi na wenyewe wanashangaa hiyo kesi inavyoendeshwa, elewa washauri wako (raisi) kwenye ‘kitchen cabinet’ hamnazo.
Wewee😪Watanganyika hatujawa serious bado.
Jamiiforums Team fanyeni hivi :
Funga post zote za mpira mapenzi ujinga ujinga Mwingine let’s focus kuzungumzia lililopo mbele yetu.
Tusipokuwa serious tutaendelea kuburuzwa
Ruhusuni kupost yaliyokea Oct29
Tupo kwenye danger zone kuliko ukaburu wa South Africa
It’s now or never.
Shetani mkubwa wewe 👉🏻👉🏻👉🏻 MamaSamia2025Lissu aombe msamaha watanzania wote ili asamehewe. Kwa sababu ni kosa lake la kwanza mahakama inaweza kumhukumu miaka kadhaa halafu kwenye 2031 akatoka kwa msamaha wa Rais.
Unamjaza Lissu matumaini hewa. Mshauri aombe msamaha angalau apunguziwe adhabu apewe miaka michache kama 30 hivi.Shetani mkubwa wewe 👉🏻👉🏻👉🏻 MamaSamia2025
Mteke na kuua watu nyie, mfile mikundu ya watu nyie, mlawiti watu nyie halafu mnataka Tundu Lissu awaombe msamaha..!!??
You look so ignorant, foolish and stupid...
Mimi nakuapisha na ushindwe kwa jina la Yesu Kristo...💪🏻💪🏻💪🏻
Tundu Lissu haombi msamaha ili aachiwe huru kwa kuwa amefanya kosa lolote...
Anawataka nyie mnaomshitaki, mnayemwona ana kosa la uhaini, basi thibitisheni kosa hilo mahakamani. Cha ajabu nyie washitaki wake ndio mnaikimbia kimbia kesi yenu halafu kama wapumbavu vile mnataka awaombe msahama..., Really...?
Tunataka shauri liendelee kusikilizwa ili kama ana hatia (kama unavyoota wewe hapa) apewe adhabu anayostahili....
Lakini as far as we all understand, mpaka hatua ya hapa tulipo kwa kesi hii na kwa ushahidi mkuu uliokwisha kutolewa na kukataliwa na mahakama, TUNDU LISSU HANA KESI YA KUJIBU, HANA HATIA YOYOTE...!
Kinachofanyika ni MamaSamia2025 kutaka kuendelea kuzama katika ubatili na uongo wake kutaka kulazimisha hatia kwa Rais wetu Tundu Lissu ili mradi tu amfunge au amuue....
Lakini tunawakikishia jambo moja, kuwa, HAMTAWEZA KAMWE. HILA ZENU NA UOVU WENU KAMWE HAUTAMPATA TUNDU LISSU NA UTAWARUDIA NYIE WENYEWE KWENYE VICHWA VYENU NA VYA WATOTO WENU...!!
GIZA/UDHALIMU (Samia Suluhu Hassan na genge lake la uovu) KAMWE hautaishinda NURU/HAKI ya MUNGU iliyo ndani ya Tundu Lissu...!
Kama unataka uone na uthibitishe, subiri kufa kwako...
Akijibu nistueKuweza kuongoza chama ni kufuata watakacho ccm?