Lissu awasilisha maombi kwa hati ya dharura Mahakama ya Rufani

Lissu awasilisha maombi kwa hati ya dharura Mahakama ya Rufani

Yaani watu wamemuweka mtu gerezani mwaka unaenda kutimia kwa tuhuma za uhaini halafu ushahidi ni video ya YouTube na mabodaboda na walima mboga za majani.

Kesi imeshapoteza uelekeo jamhuri wanatapatapa wamekimbilia mahakama ya rufani lengo kuu ni kuchelewesha hadi tarehe mwezi wa 4 lile genge la Chande litakapokabidhi ripoti uchwara ya tume uchwara kwa muuaji ambayo wameshapanga hila chafu dhidi ya CHADEMA.

Mimi kama mtu niliyewahi kuishi katika maeneo tofauti ambapo nilishuhudia uvunjifu wa haki uliokithiri ninaelewa matokeo ya watu waliochoka kutafuta haki katika njia rasmi basi wataitafuta katika njia isiyo rasmi.

Hivyo muda utatueleza tu maana hakuna mtu aliye na haki juu ya mwingine.
Si afadhali ya Lissu. Mwaka tu! Tena kesi imesikilizwa sana tu. Mashekhe wa Uamsho walisota more than 8yrs na kesi ilisimama kabisa
 
Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amewasilisha maombi mbele ya Mahakama ya Rufaa akiomba kusikilizwa kwa haraka kwa kesi yake ya uhaini.

Kesi hiyo iliahirishwa wiki tatu zilizopita baada ya upande Jamhuri kukata rufaa katika Mahakama ya Rufani, ukitaka marejeo ya uamuzi wa Mahakama kuu kukubaliana na mapingamizi ya Lissu ya kukataa kuingizwa kwa ushahidi mpya.

Mpaka sasa haijajulikana rufaa hiyo itasikilizwa lini ili kesi ya msingi iendelee.

Lissu a aynayekabiliwa na kesi ya uhaini, ameshakaa gerezani kwa zaidi ya miezi 11 tangu alipokamatwa Aprili 9 na kufunguliwa kesi hiyo Aprili 10, 2025.

Katika barua ya Lissu iliyosainiwa Machi 10, Lissu ameomba rufani hiyo isikilizwe kwa hati ya dharura, huku ikielezwa kuwa hali yake kiafya inazidi kuzorota.

Hapana, bado ni mapema mno! Kuikomboa nchi si lelemama!
Ajifunze kwa Mandela. Avumilie tu at least 5yrs hv
 
Yaani mhaini anaomba hukumu yake iharakishwe ila waliostaki hawataki kesi I iende kwa haraka ili kuokoa muda na pesa za walipa kodi.
Aibu naona mimi
Ndio maana ikawekwa siku ya hukumu baada ya binaadam sote kufariki. Kuziba haya matundu yanaotokea hapa duniani
 
Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amewasilisha maombi mbele ya Mahakama ya Rufaa akiomba kusikilizwa kwa haraka kwa kesi yake ya uhaini.

Kesi hiyo iliahirishwa wiki tatu zilizopita baada ya upande Jamhuri kukata rufaa katika Mahakama ya Rufani, ukitaka marejeo ya uamuzi wa Mahakama kuu kukubaliana na mapingamizi ya Lissu ya kukataa kuingizwa kwa ushahidi mpya.

Mpaka sasa haijajulikana rufaa hiyo itasikilizwa lini ili kesi ya msingi iendelee.

Lissu a aynayekabiliwa na kesi ya uhaini, ameshakaa gerezani kwa zaidi ya miezi 11 tangu alipokamatwa Aprili 9 na kufunguliwa kesi hiyo Aprili 10, 2025.

Katika barua ya Lissu iliyosainiwa Machi 10, Lissu ameomba rufani hiyo isikilizwe kwa hati ya dharura, huku ikielezwa kuwa hali yake kiafya inazidi kuzorota.

wamuachie tu
 
20 March 2026
JamiiForums

"Tundu Antipas Lissu files urgent application at the Court of Appeal."

View: https://m.youtube.com/watch?v=W3XFAy-_ytA

  • Tundu Lissu, CHADEMA Chairman, has filed an application before the Court of Appeal requesting an expedited hearing of his treason case.
  • This move follows the postponement of his treason case in the High Court.
  • A review petition has been filed with the Court of Appeal challenging the decision of the High Court (Dar es Salaam Sub-Registry) which dismissed the Republic's notice to submit new evidence.
This development underscores the urgency and gravity of his situation. Clearly Samia Suluhu wants Lissu to wither and hopes he dies in illegal detention before he sees justice! This is not an exaggeration! We need immediate action.

Source : Maria Sarungi : MariaSTsehai@ X
 
Unajua kuna utofauti wa kosa na tuhuma?

Sasa kama kafanya kosa kwa nini hadi sasa awe mbaroni kwa miezi 11 pasipo hukumu ya mahakama?
ikiwa hana kosa au hana tuhuma, kuweweseka na njaa kizimbani kuna tokea wapi?

ni minyoo tu au ana tatizo la kuhara na kuharisha kwasababu ya woga na hofu ya kurstishjwa in pisi au kufungwa maisha?
 
mahakama ya Tanzania ni muhimili huru na unaofanya kazi zake kwa uwazi, haki na usawa bila kushurutishwa na matakwa ya mtuhumiwa, licha ya kua na haki kuomba anachotaka.
kupewa sio lazima.

ni muhimu sana kwa kila raia mwema kutii shgeria bila shuruti na kujiepusha na mipango ovu ya kihalifu inayokiuka sheria na katiba ya nchi, ili hatimae kuepuka majuto, mahangaiko na kiwewe cha kisaikolojia kama anachopitia huyu kibaraka anasota korokoroni kwa kosa la uhaini alilopanga kwa makusudi na chama chake akifadhiliwa na mabwenyenye ya magharibi.

Crap from crippled brain. This Tlaatlaah is mental problem case.
 
ushauri wa maana na muhimu sana huu ndugu mdau wa JF,

ila kwa nature ya kosa lake,
msamaha wa eti kwenye miaka ya 2031 sidhani kama utatolewa,
huenda msamaha wa bada la ya hukumu ya kurestishwa in peace, akapunguziwa na kua life sentence.
Bwabwa la lumumba nakupa taarifa lissu atawauwa Kwa pressure kianzia wewe,mama yenu na wajinga wenzio
 
Bwabwa la lumumba nakupa taarifa lissu atawauwa Kwa pressure kianzia wewe,mama yenu na wajinga wenzio
hakuna mtu atauawa Tanzania gentleman,
but muhalifu yeyote yule husuisani muhaini ndie pekee huhukumiwa kunywongwa hadi kufa na sio kuuawa.
 
Back
Top Bottom