Lissu awasilisha maombi kwa hati ya dharura Mahakama ya Rufani

Lissu anapotezwa na kina lema,bora hata Boniyai anaweza kuongoza chama kuliko lissu
Yani nyie wajinga wa lumumba na wauwaji wa watanzania ndio muone nani anafaa kuongozo chadema? Kumbe nilikuwa nafikiri chizi karogwa tena yuko mmoja humu jf lakin nimegundua Kuna biwi.
 
relax basi,
hakuna haja ya kuweweseka na vitu useless kwenye mjadala jukwaani gentleman,

ikiwa huna point, tuliza ball tu na itapendeza sana
Useless ni mamako aliyekuzaa wewe useless ambaye Abdul amekugeuza daso la kudekia kwenye makorido ya Lumumba. By the way point anayo mamako ya kuwa watu.
 
Hapana. Ila nguvu inayotumika kupigia kelele ingetumika miaka hiyo kwenye kesi ya Mashekh huenda tungekuwa tushalimaliza tatizo. Lakn mliona sawa tu na mkapiga kimya wakati Mashekh wanasota rumande
Kila mtu anamlilia wake, ndomaana msiba wajirani hulii kama msiba wa ndugu yako. Unawapazia sauti mashehe wasio husika lolote lile na wewe, si utaonekana mwehu? Wewe na mashehe wako ilitakiwa mlie pamoja, matokeao yake ukafyata mkia ukajificha. Waachie watu wanaolia na Lissu wao
 
hakuna haja ya kuporomosha matusi jukwaani gentleman,
mbona huna hata point kwanza?
acha kusumbua wadau ya JF kwa kuporomosha matusi nonsense tafadhal
 
Hapana. Ila nguvu inayotumika kupigia kelele ingetumika miaka hiyo kwenye kesi ya Mashekh huenda tungekuwa tushalimaliza tatizo. Lakn mliona sawa tu na mkapiga kimya wakati Mashekh wanasota rumande
Yaani kuna watu kazi yao ni kutetea hao masheikh? Lisu anatetewa na wafuasi wake, hao Masheikh walipaswa kutetewa na waumini wao. Au nyie mmekaa hamna mchango wowote, mnasubiri wafuasi wa Lisu ndio wawatetee hao masheikh?
 
Good!
Mjue tu tulifuga wenyewe hii tabia kwa kudhani fulani akionewa hawahusu, leo kwenu sasa.
Anyway, endeleeni na mpambano bila shaka itasaidia next wakidakwa Mashekh itasaidia kufanya reference kwa kesi yenu
 
Kila mtu anamlilia wake, ndomaana msiba wajirani hulii kama msiba wa ndugu yako. Unawapazia sauti mashehe wasio husika lolote lile na wewe, si utaonekana mwehu? Wewe na mashehe wako ilitakiwa mlie pamoja, matokeao yake ukafyata mkia ukajificha. Waachie watu wanaolia na Lissu wao
Safi kabisa. Kila mtu alie na wake. Tutafika tu
 
Watanganyika hatujawa serious bado.

Jamiiforums Team fanyeni hivi :

Funga post zote za mpira mapenzi ujinga ujinga Mwingine let’s focus kuzungumzia lililopo mbele yetu.

Tusipokuwa serious tutaendelea kuburuzwa

Ruhusuni kupost yaliyokea Oct29

Tupo kwenye danger zone kuliko ukaburu wa South Africa

It’s now or never.
Keyboard warrior una mawazo ya kipumbavu
 
Good!
Mjue tu tulifuga wenyewe hii tabia kwa kudhani fulani akionewa hawahusu, leo kwenu sasa.
Anyway, endeleeni na mpambano bila shaka itasaidia next wakidakwa Mashekh itasaidia kufanya reference kwa kesi yenu
Yaani kabisa waisilamu mmekaa kama walemavu hamuwezi kutetea masheikh wenu, mnasubiri hilo jukumu mfanyiwe na kundi jingine?!
 
Useless ni mamako aliyekuzaa wewe useless ambaye Abdul amekugeuza daso la kudekia kwenye makorido ya Lumumba. By the way point anayo mamako ya kuwa watu.
Matusi na kashfa sasa inakaribia kuwa silaha rasmi ya CHADEMA kila wanapokutana na mwenye maoni tofauti na yenu
 
Unajiingiza kwenye league ambayo hutaiweza wewe, mim namshughulikia huyo bwabwa tlatlaah anayejifanya anajua kutoa maneno ya kijinga maana mimi niko kushughulikia wajinga wa namna hio so hio league iache niendelee naye.
 
mahakama ya Tanzania ni muhimili huru na unaofanya kazi zake kwa uwazi, haki na usawa bila kushurutishwa na matakwa ya mtuhumiwa, licha ya kua na haki kuomba anachotaka.
kupewa sio lazima.

ni muhimu sana kwa kila raia mwema kutii shgeria bila shuruti na kujiepusha na mipango ovu ya kihalifu inayokiuka sheria na katiba ya nchi, ili hatimae kuepuka majuto, mahangaiko na kiwewe cha kisaikolojia kama anachopitia huyu kibaraka anasota korokoroni kwa kosa la uhaini alilopanga kwa makusudi na chama chake akifadhiliwa na mabwenyenye ya magharibi.

Nyie PAKA WA LUMUMBA MBA roho mbaya sana.
 
Back
Top Bottom