Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
gentleman,wewe huwa ni muiraqii
nadhani ni muhimu zaidi kijikita kwenye hoja,
ukabila si kitu muhimu sana katika kipindi hiki cha sayansi na teknolojia.
gentleman,wewe huwa ni muiraqii
Aombe msamaha kwa kosa gani. Yeye anataka kesi iendelee ili mdhibitishe kosa lake. Na sio kukaa kimya wakati ameshawashinda keenye kesi. Wajinga ndio huwa wanaomba msamaha kwa kuonewa.Lissu aombe msamaha watanzania wote ili asamehewe. Kwa sababu ni kosa lake la kwanza mahakama inaweza kumhukumu miaka kadhaa halafu kwenye 2031 akatoka kwa msamaha wa Rais.
ushauri wa maana na muhimu sana huu ndugu mdau wa JF,Lissu aombe msamaha watanzania wote ili asamehewe. Kwa sababu ni kosa lake la kwanza mahakama inaweza kumhukumu miaka kadhaa halafu kwenye 2031 akatoka kwa msamaha wa Rais.
Siku moja ma wewe utakwenda gerezani, and you will get hurt the same wayushauri wa maana na muhimu sana huu ndugu mdau wa JF,
ila kwa nature ya kosa lake,
msamaha wa eti kwenye miaka ya 2031 sidhani kama utatolewa,
huenda msamaha wa bada la ya hukumu ya kurestishwa in peace, akapunguziwa na kua life sentence.
Kama wewe ni mtanzania, embu eleza alivyokukosea ili aombe msamahaLissu aombe msamaha watanzania wote ili asamehewe. Kwa sababu ni kosa lake la kwanza mahakama inaweza kumhukumu miaka kadhaa halafu kwenye 2031 akatoka kwa msamaha wa Rais.
Waliofungua kesi wanaikimbia Kesi yaoYaani mhaini anaomba hukumu yake iharakishwe ila waliostaki hawataki kesi I iende kwa haraka ili kuokoa muda na pesa za walipa kodi.
Aibu naona mimi
Hahahajwewe huwa ni muiraqii
Akili za CCM ndiyo zimegotea hapa.mahakama ya Tanzania ni muhimili huru na unaofanya kazi zake kwa uwazi, haki na usawa bila kushurutishwa na matakwa ya mtuhumiwa, licha ya kua na haki kuomba anachotaka.
kupewa sio lazima.
ni muhimu sana kwa kila raia mwema kutii shgeria bila shuruti na kujiepusha na mipango ovu ya kihalifu inayokiuka sheria na katiba ya nchi, ili hatimae kuepuka majuto, mahangaiko na kiwewe cha kisaikolojia kama anachopitia huyu kibaraka anasota korokoroni kwa kosa la uhaini alilopanga kwa makusudi na chama chake akifadhiliwa na mabwenyenye ya magharibi.
KafanyajeAkili za CCM ndiyo zimegotea hapa.
Wewe ni mkongwe JF lkn akili zako za kushikiwa huna tofauti na chama chako.mahakama ya Tanzania ni muhimili huru na unaofanya kazi zake kwa uwazi, haki na usawa bila kushurutishwa na matakwa ya mtuhumiwa, licha ya kua na haki kuomba anachotaka.
kupewa sio lazima.
ni muhimu sana kwa kila raia mwema kutii shgeria bila shuruti na kujiepusha na mipango ovu ya kihalifu inayokiuka sheria na katiba ya nchi, ili hatimae kuepuka majuto, mahangaiko na kiwewe cha kisaikolojia kama anachopitia huyu kibaraka anasota korokoroni kwa kosa la uhaini alilopanga kwa makusudi na chama chake akifadhiliwa na mabwenyenye ya magharibi.
Ukijikita wewe inatosha.kijikita kwenye hoja,
ukabila si kitu muhimu
Inasikitisha sana kwa kweli.Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amewasilisha maombi mbele ya Mahakama ya Rufaa akiomba kusikilizwa kwa haraka kwa kesi yake ya uhaini.
Kesi hiyo iliahirishwa wiki tatu zilizopita baada ya upande Jamhuri kukata rufaa katika Mahakama ya Rufani, ukitaka marejeo ya uamuzi wa Mahakama kuu kukubaliana na mapingamizi ya Lissu ya kukataa kuingizwa kwa ushahidi mpya.
Mpaka sasa haijajulikana rufaa hiyo itasikilizwa lini ili kesi ya msingi iendelee.
Lissu a aynayekabiliwa na kesi ya uhaini, ameshakaa gerezani kwa zaidi ya miezi 11 tangu alipokamatwa Aprili 9 na kufunguliwa kesi hiyo Aprili 10, 2025.
Katika barua ya Lissu iliyosainiwa Machi 10, Lissu ameomba rufani hiyo isikilizwe kwa hati ya dharura, huku ikielezwa kuwa hali yake kiafya inazidi kuzorota.
Ni shetani.Ma CCM yana roho za kishetani
Anachofanyiwa Lissu ni uonevu mkubwa mno
Yule Mama ana roho mbaya sana
relax bas itapendeza zaidUkijikita wewe inatosha.
Acha wengine wawe na mawazo huru.
Uhaini hakuna miaka kadhaa, ni death penaltyLissu aombe msamaha watanzania wote ili asamehewe. Kwa sababu ni kosa lake la kwanza mahakama inaweza kumhukumu miaka kadhaa halafu kwenye 2031 akatoka kwa msamaha wa Rais.
jikite kwenye hoja bila mihemko wala kuweweseka gentlemanWewe ni mkongwe JF lkn akili zako za kushikiwa huna tofauti na chama chako.
tuliza mihemko gentleman ikiwa umefika kiwango chako cha mwisho cha kufikiriAkili za CCM ndiyo zimegotea hapa.