Hapana.Acha wacheleweshe kesi.
Akifia jela madhara ya mambo watakayo fanya wafuasi wake, Watesi wake wasije kulialia na kuunda tume nyingine.
Kwa nini wafuasi wake na wafuasi wa chama chake na waTanzania wote wapenda haki wasubiri hadi afie gerezani?.
Acha taratibu zitimizwe, na mkondo wa swala utachukuwa nafasi yake kama wahalifu wamedhamiria kuendelea na njia zao za kihalifu.
Nikuulize: ukijuwa mhalifu anakuja kufanya uhalifu kwako, utasubiri hadi afanye huo uhalifu ndipo umshughulikie?
Hawa majambazi wameachwa kuendelea na ujambazi wao kiasi kwamba wameona ndiyo njia yao ya kawaida ya kuendelea kuwa madarakani kwa mabavu.
Ni wakati sasa waTanzania wawashughulikie; siyo kusubiri waendeleze ujambazi wao..