Wewe unajua sheria kuliko fundi wa sheria ambaye hajawahi kutokea katika maziwa makuu?Hawezi kuja TZ labda kwa sababu Sheria za Ukimbizi hazimruhusu, refugee haruhusiwi kwa sheria za Ukimbizi kurudi nchi ambayo aliikimbia, akikanyaga TZ na ukimbizi wa Ulaya bye bye!
Anayewaambia wanaoomba aongeze mzunguko wa fedha waolewe yeye ndio anafaa?Hakuna hata mmoja hawafai
Wewe unajua sheria kuliko fundi wa sheria ambaye hajawahi kutokea katika maziwa makuu?
Taifa ni kubwa kuliko mtu yoyote katika nchi lakini cha kushangaza mtu ambaye ni mdogo ndiye huliongoza taifa, na niukweli taifa hutikiswa tena sana hata na mtu mmoja tuLissu na Magufuli Ni watu wadogo Sana katika Taifa la Tanzania wote wamelikuta na Wataliacha Wala Taifa haliwezi kutikisika kisa mtu mmoja tu...
Kwa wenye IQ kubwa mtanielewa Ila kwa slow learners you won't understand Me what I mean!
Aje tumpe uenyekiti wa Chadema
Huko watampa sumu au chochote Cha kumdhuru kirahisi.Sio rahisi warudie mtindo ule wa risasi tena kwa sasa, ila mahakamani au jela ni lazima maana ndio sehemu pekee wanaweza kutekeleza nia yao ovu, kwa kujificha kwenye mgongo wa sheria.
Huko watampa sumu au chochote Cha kumdhuru kirahisi.
Kashafukuzwa ukiona hivyo,time yake kutibiwa imekwisha then lazima arudi kwaoNdani ya mwezi mmoja usalama wake umehakikishwa baada ya kudai hawezi kuja Tanzania kwa sababu ya kuhofia usalama wake!
Nimshukuru kwa kutii wito wa mahakama baada ya mdhamini wake kuambiwa na mahakama lazima mtu wake awepo mahakamani au yeye aende segerea!
Wanasiasa wana vituko!
Then anahamia CCM🙄👊Karibu Lissu.Tunamshukuru Mungu kwa muujiza wako.
Huko vijiweni kwenu jamaa huwa wanawachota kirahisi sana.Wewe unajua sheria kuliko fundi wa sheria ambaye hajawahi kutokea katika maziwa makuu?
Heeee, vipi 'Flagyl'? Nani huyo, Jiwe; imekuwaje tena!
Metro ya nini jameni?
Hujui yeye anaitwa 'Pombe' - utachanganyaje hivyo viwili?
Huyo au Zito ndio wanafaa kugombea urais kupitia Upinzani.