tindo,
'mwenye changamoto ya afya ya viungo vya mwili baada ya shambulio la risasi'.
Kwanza so far lissu hajasema kama hana uwezo wa kugombea Urais sababu ya physical challenge au chochote kile.
CDM ili-bugi big time kuwachukua mamluki wa CCM hio inajulikana na iko wazi na ni makosa yalijitokeza na wao wamejifunza kwa hilo,so sababu walikosea 2015 ndo na sasa hivi unaona wakosee tena kimakusudi ili tu kukuonyesha kwamba hawana tatizo na zitto?Hell no
Membe ataokotwa na ACT huku CDM hatakiwi.
Khs Zitto kama mnapenda sana si ana chama chake cha ACT aende akagombee huko huko,mtu aliyekua anaingiziwa mamilioni ya Fedha na kitengo ili aibomoe chadema eti leo apewe kugombea urais.
Au unadhani tumesahau maneno ya Zitto aliposema Chacha Wangwe died,i won't.
Unaweza kutusaidia unadhani alimaanisha nini hapo?
Kipindi hicho ndio hela za kitengo zimemkolea mbaya kabisa akawa anamtuhumu Mbowe upuuzi kama huo,eti leo apewe nafasi huko CDM?Never
Eti leo kawa na machungu na wapinzani,hahah.
BIG FAT LIE